Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Lakini ndio wanaotupa misaada sisi magaidi na majangiri wa kwenye ndoa na mahusiano,mwanamke naye ni kiumbe mwenye nafsi na utashi kama mwanaume kwanini kumkandamiza sana?wengi tumezaliwa na kulelewa na wazazi wetu wa kike malezi na makuzi yetu 90% yametoka kwa mama zetu,still bado hatumthamini mwanamke na tuko proud humu kumkandamiza na mumdharau mwanamke. Shame on you guys.
Na wenyewe hao wanawake wako proud kumkandamiza na kutunyanyasa sisi wanaume.

Ndio maana kampeni nyingi za kumdunisha mwanaume zime anzishwa kuna feminism, women empowerment, ladies first n.k

Kama mwanamke na yeye ana utashi na nafsi na wao wapambane na hali zao, Sio kutaka misaada na michango ya wanaume.

Mambo ya kusema mwanaume anapaswa kumhudumia mwanamke halafu, Hapohapo mwanamke huyo anataka haki sawa ni unyonyaji na upumbavu. Kama wanawake wanataka haki sawa na wao wawe tayari kujihudumia.

Halafu sio kweli kwamba 90% ya malezi yametoka kwa mama zetu, Hizi ni prapaganda za kutetea upande wa mwanamke tu .
 
Mwisho wa siku haya yanabaki kuwa maoni yako kwasababu binadamu hatufanani,wengine tulijaribu kuwa bad boys tulijikuta tunaharibu na kufanya nyumba chungu,tatizo lenu mnataka kuendekeza mfumo dume kitu ambacho mnasahau ni kuwa mambo yamebadirika mfumo huo haufanyi kazi ipasavyo miaka hii,wanaume wenzangu tukumbuke wanawake nao ni binadamu kasoro tu hapo kati kuna maumbile mawili tofauti, sasa wewe jifanye una mtreat kama mnyama utegemee akutendee unayotaka,mtaishia kusema kataa ndoa.
 
Mwisho wa siku haya yanabaki kuwa maoni yako kwasababu binadamu hatufanani,wengine tulijaribu kuwa bad boys tulijikuta tunaharibu na kufanya nyumba chungu,tatizo lenu mnataka kuendekeza mfumo dume kitu ambacho mnasahau ni kuwa mambo yamebadirika mfumo huo haufanyi kazi ipasavyo miaka hii,wanaume wenzangu tukumbuke wanawake nao ni binadamu kasoro tu hapo kati kuna maumbile mawili tofauti, sasa wewe jifanye una mtreat kama mnyama utegemee akutendee unayotaka,mtaishia kusema kataa ndoa.
Na ndio maana ikaitwa jamii forums
Maana yake mwanajamii anauhuru wakuongea kile apendachho

Lazima tu tutatofautiana mtazamo

Yess!! Wanawake wako tofauti japo 70% akili zao ni MOJA!
Wote waliepo humu wanawanawake tofauti tofauti tofauti na ndio mana majibu yamekua tofauti tofauti
Wewe kama wakwako mnaenda sawa ..alhamdullilah tunashukuru,ila hawa wengine acha tuendelee na spana tu
 
Na ndio maana ikaitwa jamii forums
Maana yake mwanajamii anauhuru wakuongea kile apendachho

Lazima tu tutatofautiana mtazamo

Yess!! Wanawake wako tofauti japo 70% akili zao ni MOJA!
Wote waliepo humu wanawanawake tofauti tofauti tofauti na ndio mana majibu yamekua tofauti tofauti
Wewe kama wakwako mnaenda sawa ..alhamdullilah tunashukuru,ila hawa wengine acha tuendelee na spana tu
Naam usikariri paper utakula mweleka
 
Hii nadhani ni true. Mimi pia nimeiangalia kwa angle nyingine. It is either wachangiaji wengi humu bado ni "wavulana" wengi hawana ndoa; au ni wanaume ambao waliwahi kupata masahibu katika mahusiano; au wanafuata tu mkumbo ili naye aonekane amechangia kuponda wanawake. Last but not least, hizi nyuzi za kuponda wanawake zimekuwa nyingi sana huku JF, je, ni kampeni kuwa wanawake HAWAHITAJIKI TENA hapa duniani? Je, ni mkakati wa kueneza mahusiano kati ya wanaume kwa wanaume? Msinipige mawe tu jamani sina nia mbaya!🏃🏃🏃🏃🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️.

Mmezidi mno mpaka inaonekana mnamkosoa Mungu kuumba hiki kiumbe kinaitwa mwanamke na kukileta hapa duniani.
Mkuu MUNGU hakosolewi!!
Tena hata usimuingize hapa

Feminist-super woman
Na tule tuvikundi twao ndio shida ilipo
Wale wamefanya mwanamke asahau wajibu wake na sio mungu

Zamani ndoa zilidumu sana
Mambo haya hayakuepo
Je wale wa zamani waliumbwa na nani?
 
Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake.

Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla.

Je dunia inampenda baba bora/mume bora?

The evidence says NO.

Experience inaonyesha kwamba mwanaume ukijaribu kuwa mume bora au baba bora basi dunia itampa adhabu kwa " kosa" la kuwa mume /baba bora.

Zifuatazo ni baadhi ya adhabu ambazo dunia humpa baba/mume bora.

1. Kudhauriwa na mtu ambae ana stahili kukuheshimu/ kudharauliwa sehemu ambayo una stahili kuheshimiwa

Mtu wa kwanza atakae kudhaurau ni mwanamke ambae uta propose kumuoa. The moment umeanza kusuggest wazo la kumuoa ndio the moment atalapo anza kukudharau na siku mtakayo funga ndoa ndio siku atakayo kudharau zaidi . Kwenye ndoa ndio dharau zitakuwa pro max( hii mnaita mwanamke kutoa makucha yake baada ya kuingia kwenye ndoa)

Kwanini anakudharau;

1. Anakudharau kwa sababu she think you are a nice guy. Women don't like nice guys. Women don't respect nice guys. Because to them a nice guy means a foolish guy. Asking for her hand in marriage is you playing a nice guy card . And you being nice to her is the same as you being a foolish guy. Wanawake wanajuaga mwanaume wa ukweli hawezi kutaka kuoa mwanamke. Wazo la kutaka kuoa mwanamke haliwezi kukaa kwa mwanaume halisi. For a real man the idea of wanting to get married is a crazy idea.

Kwa wanawake walio wengi, mwanaume wa ukweli ni yule anae jua kila kitu kuhusu wanawake . Na mwanaume anae jua kila kitu kuhusu wanawake ni yule anae jua kwamba hajui chochote kuhusu wanawake. KWA sababu hii basi mwanaume huyu wa ukweli hawezi kutaka kuoa mwanamke kwa sababu hawezi kuoa kitu ambacho hakijui vizuri. Misahafu inajua vizuri kuhusu ukweli huu ndio maana imeshauriwa kwamba mwanaume akipandwa na " kichaa" cha kutaka kuoa basi aozeshwe mke mara moja kabla " kichaa" hakijashuka akaghairi.

So mwanaume unapo mwambia mwanamke unataka kumuoa anakudharau sana kwa sababu anakuona wewe ni mwanaume ambae hawajui wanawake vizuri na hujui unacho kifanya. Atakuwa na wewe kwa sababu maisha yake yanakuhitaji wewe kwa wakati huo lakini hawezi kukuheshimu. Mbaya zaidi iwe wewe mwenyewe ndio uwe umeleta wazo la ndoa na sio yeye tena kwa kukuroga na kukusumbua kwa muda mrefu .

Anakudharau kwa sababu hujamkuta akiwa bikira. Anakushangaa wewe ni mjinga kiasi gani hata uende kumuoa yeye ilihali umemkuta tayari ameshatumika. Mwanamke huyu atawaheshimu zaidi wale walio pita nae na kutembea nae kuliko wewe ambae umemuoa kabisa. Tena kama ulimkuta ana mtoto ( single mother) then ukamuoa basi ndio atakudharau mara kumi zaidi kwamba u mjinga wa wapi wewe unaenda kuoa mwanamke aliezalishwa na mwanaume mwingine na.kumuacha ila wewe ndio umemuona mke huyo.Ndio maana wanaume wengi wanao toka na single mothers wakiamini single mothers watawaheshimu huwa wanaishia kuwa disappointed na kuanza kuwaponda single mothers. Hii ni kwa sababu single mothers sio wajinga . Hata wao wanajua mwanaume wa ukweli hawezi kudili na single mothers wakati vigoli wamejaa tele. Wanajua something is missing in you ndio maana umeangukia kwao.

Anakudharau kwa kuwa ana mwanaume zaidi ya mmoja ila katika wote wewe ndio umekuwa foolish enough kufunga nae ndoa.

Umeshawahi kuambiwa na mwanamke ambae umeingia nae kwenye mahusiano " umebadilika kwa kuwa umesha kipata unacho kitaka?" Kama bado hujawahi basi tambua kwamba something is missing in you. Kama mwanamke hajaona kitu hiki kwako basi wewe una mapungufu katika uanaume wako kwa sababu ukiwa mwanaume ulie kamilika lazima uta onyesha hali ya kumkinai mwanamke ambae umesha sex nae hata awe mzuri namna gani. Wanawake wanajua vizuri kuhusu ukweli huu ndio maana ukienda kununua mwanamke wale wanao jiuza anataka umpe hela yake kwanza ndo atoe utelezi kwa sababu anajua ukisha kojoa tu thamani yake kwako itashuka na utakuwa mgumu kutoa hela.

Vivyo hivyo ndivyo wanawake wanavyo tuchukulia kwenye mahusiano. Wanajua sisi huwa tunawashusha thamani tukishawavua Chupi. Wewe unae muongezea thamani baada ya kumvua Chupi " kwa kumuoa kabisa " lazima akudharau sana kwa sababu anakuona sio mwanaume ulie kamilika.

Umeshawahi jiuliza kwanini wanawake walio olewa wanawapenda wanaume wanao tembea na wake za watu? KWA sababu wana amini wanaume wa ukweli ni waharibifu by nature, wanawachukulia wanawake kama chombo cha starehe na hawa amini katika ndoa. Wao wenyewe hawawezi kuoa wala hawaiheshimu ndoa ndio maana wanaona poa kutembea na wake za watu kwa sababu to them ndoa ni upuuzi fulani hivi... wanawake wanataka KUKUTANA na mwanaume mwenye mindset kama hii kwa sababu wana amini huyo ndio mwanaume halisi.

All women love bad guys hata wamama huwapenda zaidi watoto wao wa kiume watukutu kuliko wale ambao sio watukutu.

A woman will only stay loyal in a relationship where:

1. She knows that she can be easily replaced by another woman who is more beautiful than her.

2. Her man can break up with her at any time if she dare messing up with him.

Hivi vitu havipatikani mwenye ndoa hasa hasa ndoa ya kizungu. Ndoa ya kizungu inampa mwanamke guarangww na " guarantee " kwa mwanamke kwenye mahusiano ni adui wa uhusiano huo. Kwenye mahusiano mwanamke anatakiwa kuwa na wasiwasi muda wote. Wasiwasi wa kuachwa. Wasiwasi wa kuibiwa mume etc. Akivikosa hivi vitu kwako ataenda kuvitafuta kwa mwanaume mwingine kwa sababu asipo vipata atajiona kama vile hayupo na mwanaume.

Adhabu ya pili itakuja hivi punde
Mwanamke anatakiwa kuwa treated kikoloni ila usifikie viwango vya kuvunja utu na Haki za binadamu.

Na ndio maana wanaume wanaojifanya kuoenda sana wake zao Huwa lazima watende yaani mwanamke anakuwa na wasiwasi Kwa nini anakuwa anamlilia Lilia like hajiamini.

Ndio maana Huwa Nina mipaka ya kubembeleza mwanamke utoto Huwa sipendi but ukiweza kuwa na affection harafu bad boy inakuwa poa zaidi.
 
Hahaha mkuu umenena
Na wanapenda haswa
Me nna kidem changu kimoja chenyewe kilinitamkia waziwazi kua kinanipenda kwakua nakipelekea moto sana
Ila kuna videmu vingine vikijua kua wwe hutowi pesa yako hadi ugonge,lazima kalazimishe kukuletea mbunye ugonge alafu ukatowe na mshiko,wanawake wanauza k kwa style nyingi sana! Mwanamke ndiyo Msanii no moja kwenye Mapenzi!!
 
Back
Top Bottom