Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
🤣🤣🤣🤣🤣Hujaona nakutetea Kwa mtoto mzuri?Unatumia I'd zako kunivurugia, sawa tu 😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Hujaona nakutetea Kwa mtoto mzuri?Unatumia I'd zako kunivurugia, sawa tu 😅😅
Utazeeka mapema sana!life haitaki huu userios brother😇Kuna mafara wamevamia uzi wanachati usengerema wao tu wanaharibu uzi, mnakatwa.
Mpaka mtoto mzuri arudi kwenye himaya yangu ndio nitakuwa na amani🤣🤣🤣🤣🤣Hujaona nakutetea Kwa mtoto mzuri?
Ngoja tuone kwanza🤔Mpaka mtoto mzuri arudi kwenye himaya yangu ndio nitakuwa na amani
Nimeshazeeka tayari.Utazeeka mapema sana!life haitaki huu userios brother😇
Ni ushauri tu maana naona una makasiriko sana...sawa Ngoja nikitulize ki keiNimeshazeeka tayari.
Halafu sikumtaja mtu jina kitulize.
Si ajabu hata hicho kiungo huna. Ila maficho ya keyboard yamekufanya ujigeuze jinsia, usake attention kwa watu wasio kufahamu..Ni ushauri tu maana naona una makasiriko sana...sawa Ngoja nikitulize ki kei
SawaNgoja tuone kwanza🤔
Kwenye hao watatu nawe umoHuu ujinga wanaume wenzangu wakichagga wanao bila kuwasahau wamasai, warangi na wasandawe
Hahahahaha eti i'd zako...means anazo nyingi eehUnatumia I'd zako kunivurugia, sawa tu 😅😅
HahahahahaYaani nipoteze pesa kufuga litoto la mtu , niache kufuga ng'ombe ,nguruwe ,bata na kuku ,niwe nakula nyama na maziwa kila siku ,aisee
Kuna watu wanaishi kwenye "MATRIX"
Nonsense
Kama 4 hiviHahahahaha eti i'd zako...means anazo nyingi eeh
Hahahahaha..ok ok we kweli master ..huwa nahisi hivyo ila napotezeagaKama 4 hivi
Mimi kiongozi siyo bachelor😅😅😅Kwenye hao watatu nawe umo
Basi hao marafiki zako wakanye waache uchafuMimi kiongozi siyo bachelor😅😅😅