Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

Tukipenda wenye pesa mtuelewe, hatutaki wanaume wa kutuambukiza umaskini.
N.b, hii comment haiwahusu ke/me wenye mikono miwili hawajishughulishi wanasubiri serikali iwaajiri.
hizo pesa wewe unazo? Yaan uende kwa jaama ww mwenyewe masikini halaf unataka eti anaekuoa awe nazo.
 
Mleta mada unawataka wanaume waoe ili kufanyiwa usafi, kupikiwa na kupata watoto wa kuwalea uzeeni? Kama hizi ndiyo faida za kuoa basi ni bora watu wasioe.

Kuna uwezekano ukaoa mwanamke mvivu, mchafu na mgumba au anaweza kuzaa lkn watoto wakafa uzee wa wazazi unapoanza .

Imeandikwa: amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu.

Lengo la ndoa ni ngono tu, out of that ni kujidanganya tu.
dronedrake Poor Brain Intelligent businessman Mbaga Jr
 
Haya maisha ya kuishi kwa kufurahisha watu ,kwamba flani ataniona hivi sio maisha .
Kwamba kila mtu lengo lake duniani ni kuoa ,kuolewa na kuzaa , ni mawazo mfu .
Si kila mtu anafaa kuoa ,kuolewa au kuzaa , haya mambo ya kulazimisha ndio yanaleta matatizo kwenye jamii , watu wanaoa ,au kuolewa na haya kuzaa ila kiuhalisia hawana sifa za kuwa wazazi au mume au kuwa mke
Matatizo ndio hayo kuwa na watoto wenye malezi duni , kuvunjika kwa ndoa na mahusiano kwa idadi kubwa , visa na matukio ya violence na mauaji kwa wanandoa au wenza ,
Si kila mtu vision yake ni kuoa ,kuolewa au kuzaa pia .
uzi hapa ndo umeanza kuwa motooo
 
Tukipenda wenye pesa mtuelewe, hatutaki wanaume wa kutuambukiza umaskini.
N.b, hii comment haiwahusu ke/me wenye mikono miwili hawajishughulishi wanasubiri serikali iwaajiri.
Kwani hata Hao wenye pesa munawapenda basi, ni njaa zenu tu ndio zinawapelekesha🤣🤣🤣
 
Wewe ni mtu wa tatu kusema Ivo, Sijajua kwanini inakuaga ivyo, mwanaume kwenye miaka 18-23 unapata pisi zinazokupenda kweli, juu ya hapo, miaka 25-hadi uzee kupata demu anaekupenda ni ngumu, sijui wanaume tukifika miaka 25,26,27,28 tunazeeka kimuonekano Vishu Mtata
Majukumu yanazidi, huwazi sana kuhusu wanawake, hukutani nao sana na hata ukikutana nao huwawazii ngono kama hapo kabla.

Umri huo huhangaiki kutafuta pisi hovyo, wewe na washkaji zako hampigi tena zile stori za nimeiona pisi kali maeneo flani nk.
 
U

Uzee uko spidi sana...vijana mjipange mapema na haya mavyakula ndo kabisa unakuta mtu 25 li upara hilooo...mara mkitambi...
 
U

Uzee uko spidi sana...vijana mjipange mapema na haya mavyakula ndo kabisa unakuta mtu 25 li upara hilooo...mara mkitambi...
Upara na kitambi sio viashiria vya uzee ila sura.

Vijana wengi sana wana upara ila hawana hata daliki za uzee nyusoni mwao.
 
Back
Top Bottom