Haya maisha ya kuishi kwa kufurahisha watu ,kwamba flani ataniona hivi sio maisha .
Kwamba kila mtu lengo lake duniani ni kuoa ,kuolewa na kuzaa , ni mawazo mfu .
Si kila mtu anafaa kuoa ,kuolewa au kuzaa , haya mambo ya kulazimisha ndio yanaleta matatizo kwenye jamii , watu wanaoa ,au kuolewa na haya kuzaa ila kiuhalisia hawana sifa za kuwa wazazi au mume au kuwa mke
Matatizo ndio hayo kuwa na watoto wenye malezi duni , kuvunjika kwa ndoa na mahusiano kwa idadi kubwa , visa na matukio ya violence na mauaji kwa wanandoa au wenza ,
Si kila mtu vision yake ni kuoa ,kuolewa au kuzaa pia .