Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ex wako huyo id yake nyingine 🤣🤣🤣Hizi I'd Nina mashaka nazo 🤣🤣
Nakufuta kweli katibu niko makini 🤣🤣🤣🤣Nikirudi nifutwe uanachama
Utajinunulia Pete kama Nandera😅😅?Shindwaaa 🤣🤣🤣
Harusi ninayo hata kwa kujiozesha mwenyewe
Wee huyo Capt Tamar anaonekana ana pesa hebu niache miye 🤣🤣🤣Utajinunulia Pete kama Nandera😅😅?
Hana kitu huyo niamini ,utanikumbuka!Wee huyo Capt Tamar anaonekana ana pesa hebu niache miye 🤣🤣🤣
Wewe zako hazijakazaa ninaogopa jinsia yako plz usije tena utapigwa mpaka zako zichakaeNakuja mama yoyoo kukaza nati zilizolegea 😘
Wewe nakufahamu ndio zako kunibania 🤣🤣🤣Hana kitu huyo niamini ,utanikumbuka!
Da Mau chagua style kabisaa hiyo ngomosi itawaka moto nakwambia 🤣🤣🤣Wewe zako hazijakazaa ninaogopa jinsia yako plz usije tena utapigwa mpaka zako zichakae
MCHAFU NI MCHAFU TU!!!!Juzi nilipita kwa jamaa yangu ni bachela umri anazaidi ya miaka 35 ila nilichokiona ndani mwake nikama anaishi dampo.
Yaani amepanga chumba na sebule lakini ukiingia ndani hujui chumba ni kipi na sebule ni ipi vitu vimetapakaa chupa za bia makopo ya double kick enegy nguo ziko kwenye kochi, vyombo vimechafuka balaa mabaki ya maandazi ugali.
Kuna umri ukifika ni aibu baba mzima tena unakuta na kipara kabisa kimejitokeza kuinama unaosha vyombo, kupiga deki ,kusugua sufuria, kukata kata nyanya etc
Jamani vijana wenzangu tusilazimishe ubachela kama hatuwezi gharama zake, yaani asilimia kubwa ya mabachela ukiwashitukiza wanapokaa wengi utakuta wanaishi kwenye vyumba kama jalalani hata kufua shuka tu na boksa hawawezi, wengine hata kitanda wahatandiki.
Lakini hawa hawa mabachela wengi wao kila ijumaa na jmosi utawakuta wako club wanamwagilia moyo, kununua wanawake na kucheza kamari.
Kama maisha ya ubachela huyawezi usijizalilishe waachie vijana wanao yaweza Wanaoweza kulipia gharama za kufanyiwa usafi, kupikiwa kuishi maisha bora huku wakiendelea na shughuli zao za utafutaji kama kawaida.
Sasa mtu unafikisha hadi miaka 40 uko bachelor huna mtoto huna pesa huna mali ya maana unategemea utakuja upate mwanamke wa maana wa kuishi nae wakati uzee umeshakuingia au unatakakuja kutafutia watu lawama?
Kuna vijana wanajimudu kimaisha halafu wana Mali hata wakikaa bachela kwa it's OK sasa wewe pangu pakavu.
Moja ya faida ya kuishi na mwanamke anaejielewa ni dawa ya kuondoa uvivu kwa mwanaume yaani utatoka tu ukatafute upambane ulete msosi mezani, gambe, kamari, Malaya utapunguza na ndio itakuwa chanzo cha maendeleo yako binafsi na ya familia.
Umekuja duniani kuishi kwa kufurahisha watu au kutimiza matakwa yako na kuridhisha nafsi yako ?Juzi nilipita kwa jamaa yangu ni bachela umri anazaidi ya miaka 35 ila nilichokiona ndani mwake nikama anaishi dampo.
Yaani amepanga chumba na sebule lakini ukiingia ndani hujui chumba ni kipi na sebule ni ipi vitu vimetapakaa chupa za bia makopo ya double kick enegy nguo ziko kwenye kochi, vyombo vimechafuka balaa mabaki ya maandazi ugali.
Kuna umri ukifika ni aibu baba mzima tena unakuta na kipara kabisa kimejitokeza kuinama unaosha vyombo, kupiga deki ,kusugua sufuria, kukata kata nyanya etc
Jamani vijana wenzangu tusilazimishe ubachela kama hatuwezi gharama zake, yaani asilimia kubwa ya mabachela ukiwashitukiza wanapokaa wengi utakuta wanaishi kwenye vyumba kama jalalani hata kufua shuka tu na boksa hawawezi, wengine hata kitanda wahatandiki.
Lakini hawa hawa mabachela wengi wao kila ijumaa na jmosi utawakuta wako club wanamwagilia moyo, kununua wanawake na kucheza kamari.
Kama maisha ya ubachela huyawezi usijizalilishe waachie vijana wanao yaweza Wanaoweza kulipia gharama za kufanyiwa usafi, kupikiwa kuishi maisha bora huku wakiendelea na shughuli zao za utafutaji kama kawaida.
Sasa mtu unafikisha hadi miaka 40 uko bachelor huna mtoto huna pesa huna mali ya maana unategemea utakuja upate mwanamke wa maana wa kuishi nae wakati uzee umeshakuingia au unatakakuja kutafutia watu lawama?
Kuna vijana wanajimudu kimaisha halafu wana Mali hata wakikaa bachela kwa it's OK sasa wewe pangu pakavu.
Moja ya faida ya kuishi na mwanamke anaejielewa ni dawa ya kuondoa uvivu kwa mwanaume yaani utatoka tu ukatafute upambane ulete msosi mezani, gambe, kamari, Malaya utapunguza na ndio itakuwa chanzo cha maendeleo yako binafsi na ya familia.
Haya maisha ya kuishi kwa kufurahisha watu ,kwamba flani ataniona hivi sio maisha .Juzi nilipita kwa jamaa yangu ni bachela umri anazaidi ya miaka 35 ila nilichokiona ndani mwake nikama anaishi dampo.
Yaani amepanga chumba na sebule lakini ukiingia ndani hujui chumba ni kipi na sebule ni ipi vitu vimetapakaa chupa za bia makopo ya double kick enegy nguo ziko kwenye kochi, vyombo vimechafuka balaa mabaki ya maandazi ugali.
Kuna umri ukifika ni aibu baba mzima tena unakuta na kipara kabisa kimejitokeza kuinama unaosha vyombo, kupiga deki ,kusugua sufuria, kukata kata nyanya etc
Jamani vijana wenzangu tusilazimishe ubachela kama hatuwezi gharama zake, yaani asilimia kubwa ya mabachela ukiwashitukiza wanapokaa wengi utakuta wanaishi kwenye vyumba kama jalalani hata kufua shuka tu na boksa hawawezi, wengine hata kitanda wahatandiki.
Lakini hawa hawa mabachela wengi wao kila ijumaa na jmosi utawakuta wako club wanamwagilia moyo, kununua wanawake na kucheza kamari.
Kama maisha ya ubachela huyawezi usijizalilishe waachie vijana wanao yaweza Wanaoweza kulipia gharama za kufanyiwa usafi, kupikiwa kuishi maisha bora huku wakiendelea na shughuli zao za utafutaji kama kawaida.
Sasa mtu unafikisha hadi miaka 40 uko bachelor huna mtoto huna pesa huna mali ya maana unategemea utakuja upate mwanamke wa maana wa kuishi nae wakati uzee umeshakuingia au unatakakuja kutafutia watu lawama?
Kuna vijana wanajimudu kimaisha halafu wana Mali hata wakikaa bachela kwa it's OK sasa wewe pangu pakavu.
Moja ya faida ya kuishi na mwanamke anaejielewa ni dawa ya kuondoa uvivu kwa mwanaume yaani utatoka tu ukatafute upambane ulete msosi mezani, gambe, kamari, Malaya utapunguza na ndio itakuwa chanzo cha maendeleo yako binafsi na ya familia.
Habari mtanzania, unajua kwamba muda huu unaosoma hii text mke wako anapigwa paipu na walume? kama unabisha mpigie simu uone kama atapokeaAisee ubachelor katika old age ni balaa. Hapa Nina wiki moja wife kakimbia ukiingia nyumbani utanionea huruma. Yaani sijui hawa wahuni huwa wanaishi vipi? Kula kushida, usafi shida Kila kitu ni shida.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mtu wa tatu kusema Ivo, Sijajua kwanini inakuaga ivyo, mwanaume kwenye miaka 18-23 unapata pisi zinazokupenda kweli, juu ya hapo, miaka 25-hadi uzee kupata demu anaekupenda ni ngumu, sijui wanaume tukifika miaka 25,26,27,28 tunazeeka kimuonekano Vishu MtataTatizo ishu zetu zinafanya ukutane na pisi chuma ulete.
Kuna kaumri fulani unapata wanawake wanaokupenda kwa dhati kabisa, ukishavuka hapo, ukawa bize na mitikasi ya maisha pisi utazokua unakutana nazo ni zile kausha damu tu.