Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

Acha kuniita kwa sauti niko na beib wangu tunanyegeshana..!! 😜
Ww jeuri ya kuniriga mimi huna?? Hao ndege sio kuwaperurusha nitahakikisha wanahama kiota kabisaa!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe na huyo bebe wako mtaacha tu nawaambia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Missy Gf njoo nikwambie kitu mtoto mzuri 😊
 
N
Hilo baba jitu zima lioe, halafu huyo mchafu ungeendelea kukagua vizuri nna imani usingekosa kopo au chupa ya mikojo….!!!
Na ungechimba zaidi ungekuta boksa zilizojaa shahawa sababu ya nyeto
Ina wafanyakazi watatu nyumbani sasa hivi,interior and exterior,ila bado,natamani nipate mke, watu wanajidanganya aisee
 
Hilo baba jitu zima lioe, halafu huyo mchafu ungeendelea kukagua vizuri nna imani usingekosa kopo au chupa ya mikojo….!!!
Na ungechimba zaidi ungekuta boksa zilizojaa shahawa sababu ya nyeto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu una nn wee lakini?
 
Tukipenda wenye pesa mtuelewe, hatutaki wanaume wa kutuambukiza umaskini.
N.b, hii comment haiwahusu ke/me wenye mikono miwili hawajishughulishi wanasubiri serikali iwaajiri

Juzi nilipita kwa jamaa yangu ni bachela umri anazaidi ya miaka 35 ila nilichokiona ndani mwake nikama anaishi dampo.

Yaani amepanga chumba na sebule lakini ukiingia ndani hujui chumba ni kipi na sebule ni ipi vitu vimetapakaa chupa za bia makopo ya double kick enegy nguo ziko kwenye kochi, vyombo vimechafuka balaa mabaki ya maandazi ugali.

Kuna umri ukifika ni aibu baba mzima tena unakuta na kipara kabisa kimejitokeza kuinama unaosha vyombo, kupiga deki ,kusugua sufuria, kukata kata nyanya etc

Jamani vijana wenzangu tusilazimishe ubachela kama hatuwezi gharama zake, yaani asilimia kubwa ya mabachela ukiwashitukiza wanapokaa wengi utakuta wanaishi kwenye vyumba kama jalalani hata kufua shuka tu na boksa hawawezi, wengine hata kitanda wahatandiki.

Lakini hawa hawa mabachela wengi wao kila ijumaa na jmosi utawakuta wako club wanamwagilia moyo, kununua wanawake na kucheza kamari.

Kama maisha ya ubachela huyawezi usijizalilishe waachie vijana wanao yaweza Wanaoweza kulipia gharama za kufanyiwa usafi, kupikiwa kuishi maisha bora huku wakiendelea na shughuli zao za utafutaji kama kawaida.

Sasa mtu unafikisha hadi miaka 40 uko bachelor huna mtoto huna pesa huna mali ya maana unategemea utakuja upate mwanamke wa maana wa kuishi nae wakati uzee umeshakuingia au unatakakuja kutafutia watu lawama?

Kuna vijana wanajimudu kimaisha halafu wana Mali hata wakikaa bachela kwa it's OK sasa wewe pangu pakavu.

Moja ya faida ya kuishi na mwanamke anaejielewa ni dawa ya kuondoa uvivu kwa mwanaume yaani utatoka tu ukatafute upambane ulete msosi mezani, gambe, kamari, Malaya utapunguza na ndio itakuwa chanzo cha maendeleo yako binafsi na ya familia
Uchafu ni fedheha sana nikimtembelea mtu kwake nikiona mazingira siyo rafiki sita kula chakula wala kunywa maji labda niletewe soda.
 
Back
Top Bottom