Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

Shida itakuja ambapo wazee wengi watakuwa maskini😂 maana serikali yetu hailei wazee wasiojiweza seriously kama ilivyo ulaya.
 
Uchafu ni fedheha sana nikimtembelea mtu kwake nikiona mazingira siyo rafiki sita kula chakula wala kunywa maji labda niletewe soda.
Uko sahihi mkuu zamani wakati nahangaika na kaka zangu wa bongo usafi kilikuwa kigezo changu cha kwanza
 
Mkuu uko sahihi si uwa natumia zako umesahau?🤣

Hizi comments za makasiriko ndo napendaga
Hahaha hapa nilijichanganya sikupaswa kusema hivyo am very sorry luckyline truly from the bottom of my heart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…