Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

Natamani sana kama maisha yangekuwa yanakuja na handbook yenye kanuni za jumla za kufuata; na zikafuatika! Yangekuwa rahisi sana yaani!

Kwa maisha ya sasa vijana wengi tu watakuwa wanaigusa 40 kabla hawajaoa wala kuolewa (japo wanaweza kuwa na watoto!). Nadhani tunakoelekea tutakuwa kama nchi za Kimagharibi ambako ndoa itakua siyo jambo la lazima kivile; na mtu ataishi vile anavyotaka bila kubughudhiwa na mtu wala hizi presha za kijamii.

Ati; ndoa (bado) ni lazima? 🖐🚶🏿‍♂️
Shida itakuja ambapo wazee wengi watakuwa maskini😂 maana serikali yetu hailei wazee wasiojiweza seriously kama ilivyo ulaya.
 
Uchafu ni fedheha sana nikimtembelea mtu kwake nikiona mazingira siyo rafiki sita kula chakula wala kunywa maji labda niletewe soda.
Uko sahihi mkuu zamani wakati nahangaika na kaka zangu wa bongo usafi kilikuwa kigezo changu cha kwanza
 
Mkuu uko sahihi si uwa natumia zako umesahau?🤣

Hizi comments za makasiriko ndo napendaga
Hahaha hapa nilijichanganya sikupaswa kusema hivyo am very sorry luckyline truly from the bottom of my heart
 
Back
Top Bottom