Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

Eeeh mna mambo nyie!saa hivi nikiclick hii mchumba yako inasoma Analyse mmmh Kwa hiyo ephen,na analyse na mchumba ni ID za Mtu mmoja
Ukiwa na penzi lako unataka kulirasimisha, unawachek mods wanakuwekea tag mnayoipendekeza. Mimi na mchumba tumechagua tag hii.

Ila unaweza chagua jina lolote mnalopenda na linakuwa rasmi ni lenu. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Na wananitafutia ban kinguvu toka jana aisee ulijuaje?? Kuna jinga moja lilinivaa kwenye ule uzi wa chama mpk nikapewa ban ya kutokuchangia uzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Na watakupata tu. Kumbe unapigwa vita Kila upande?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…