Ukweli mchungu kama UVCCM tu wanaweza kukusanya maelfu haya kwenye ngome za Upinzani hali ni mbaya zaidi 2025

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
Hebu angalia kwa makini video hizi kisha ufikirie Uchaguzi ujao wa 2025 katika angle ya Upinzani kupata hata jimbo moja tu,

Huyu ndio Crde Kenani Kihongosi Mkt wa UVCCM taifa huko Mkoani Geita,

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Upinzani wa kweli aliuua mbowe alipokiuza chama kwa kada wa ccm Lowassa, sasa hivi zimebaki porojo tu.

Halafu Lowassa akaleta asilimia 40 ya kura za urais, haijawahi tokea. Mpaka kupelekea upinzani kupigwa stop mpaka leo. Kwa Sasa Tanzania ni mfumo wa chama kimoja, unaolazimisha wapinzani waonekane wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…