Ukweli mchungu kama UVCCM tu wanaweza kukusanya maelfu haya kwenye ngome za Upinzani hali ni mbaya zaidi 2025

Ukweli mchungu kama UVCCM tu wanaweza kukusanya maelfu haya kwenye ngome za Upinzani hali ni mbaya zaidi 2025

Upinzani tupa kule, watu tumechoka na usanii wao

Unechokaje na usanii wao, wakati Wana miaka Saba hawafanyi siasa?. Unechokaje na mtu ambaye hafanyi siasa kwa miaka Saba Sasa. Punguza unafiki. Na bado karma itakuja kuwauumbua.

Mmebakia kukandamiza watu na tozo na kukopa tu. Maisha magumu na mfumuko wa Bei juu.
 
Hata wao wanaujua ukweli, hakuna mtu mwenye akili timamu anaitaka CCM
 
Magufuli aliuua

Alijaribu kuua kwa kuupinga stop kufanya mikutano na kujitangaza mwenyewe kwa miaka mitano. Bado akashindwa ikabidi alime watu Risasi na kesi kibao, ila mwisho yakamshinda ikabidi afe tu auache upinzani.

Somo la kujifunza kutoka kwa Magufuli ni kwamba ukitaka kuua upinzani utaiishia kufa wewe.
 
Simple logic tu. Ukataze mikutano then Wewe peke Yako ufanye mikutano Kisha upost video kuwa "hakuna kama wewe" utakua mzima kweli wewe? Kwanini udingetafuta hata video ya ku-edit ukaweka??
Wanajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Hebu angalia kwa makini video hizi kisha ufikirie Uchaguzi ujao wa 2025 katika angle ya Upinzani kupata hata jimbo moja tu,

Huyu ndio Crde Kenani Kihongosi Mkt wa UVCCM taifa huko Mkoani Geita,

View attachment 2294684
View attachment 2294686
Kwanza Watzn walishawapuuza wapinzani kitambo,wanaonekana ni watu wasiojitambua..

Mmja wa hao ni Mimi,yaani nihangaike kuwachagua harafu baadae wageuke Kisa asali,si bora kila mtu apambane kivyake kutafuta hiyo asali..

Sijawahi kushabikia kiongozi yeyote wa ccm ila kwa sasa naunga mkono Samia na sio ccm wala wapinzani.
 
Upinzani ni biashara kama biashara nyingine Tu, stuka kijana wa Ufipa

Hakuna mtu anaendekeza siasa za kipuuzi. CCM imedhihirika haina uwezo wa ushindani wa kisiasa zaidi ya kutegemea vyombo vya dola. Mtu mwenye muda mchafu tu ndio ataenda kupiga kura.
 
Kwanza Watzn walishawapuuza wapinzani kitambo,wanaonekana ni watu wasiojitambua..

Mmja wa hao ni Mimi,yaani nihangaike kuwachagua harafu baadae wageuke Kisa asali,si bora kila mtu apambane kivyake kutafuta hiyo asali..

Sijawahi kushabikia kiongozi yeyote wa ccm ila kwa sasa naunga mkono Samia na sio ccm wala wapinzani.

Wakati huohuo watanzania nao wamelipuuza box la kura!
 
Back
Top Bottom