UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Alipomaliza kazi akatimka kurudi nyumbani kwao, chadema mkaachwa mmeduwaa; mkakosa mwana na maji ya moto!Halafu Lowassa akaleta asilimia 40 ya kura za urais, haijawahi tokea. Mpaka kupelekea upinzani kupigwa stop mpaka leo. Kwa Sasa Tanzania ni mfumo wa chama kimoja, unaolazimisha wapinzani waonekane wapo.