Halafu Lowassa akaleta asilimia 40 ya kura za urais, haijawahi tokea. Mpaka kupelekea upinzani kupigwa stop mpaka leo. Kwa Sasa Tanzania ni mfumo wa chama kimoja, unaolazimisha wapinzani waonekane wapo.
Hakumaliza kazi yoyote, usitake kujifanya kuwa alikuja kwa kazi maalumu. Yeye hakuwa msafi, na rais muovu aliamua kutumia madaraka yake kumtisha. Na kwakuwa Lowassa hakuwa msafi, na muoga wa kupelekwa jela, ikabidi arudi kwenye chama cha wachafu wenzake ili kujisalimisha.