Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Mkuu somesha watoto na wajukuu acha kulalama na kulia wivu, ndio suluhisho la kumkomboa mtu kutoka katika umaskini.
Kusoma sio kutawala au kuwa tajiri!! Kusoma ni kunikutanua akili, utajiri na kuwa mbunge waziri Rais hiyo ni habari nyingine baba unaweza soma sana ukafa bila kusogelea jengo la bunge

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli gani mchungu hapo? Kikwete ameweza ku-maintain wengine wameshindwa. Babake alikuwa chief wa Bagamoyo. Machief walikuwa wengi uongozi ni kipawa ndg
 
Kwa hiyo ishu ya kusomesha watoto haina mantiki hata haoa bongo diamond,fei toto hawakusoma .mafanikio ni yana njia nyingi plus bahati
Somesha lakini usitegemeee mtoto wako kuwa tajiri au kuwa mbunge, Rais, waziri, mkuu wa mkoa, wilaya utajiri ni kipaji sio kusoma

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukimtoa ridhiwani
Nape
Makamba

Hakuna atayekuja kuwa kutoka hizo familia
Miaka ishirini iliyopita hao wote hawakuwa wakijulikana,succession plan yao iko vizuri,kuna wengine wataandaliwa au wataextend familia yao kwa kusajili familia nyingine.na wameshaanza,Samia Mchengerwa,mwinyi family
 
Huo ni uoga wako tu,mtoto mmoja wa kikwete kuwa mwanasiasa haimaanishi ndo kututawala milele,ni kawaida mtoto kuvutiwa na kazi ya babaake.wakina George bush au Akina Adam Jones kuwa Marais wa marekani baba na mtoto sio kwamba ndo kuitawala Marekani milele.clinton na mkewe hawajaitawala USA milele.Hata mwinyi na mwanae vipindi vyao vitapita watakuja wengine.Kusema watoto wengine ni marubani,madaktari etc ni fikra potofu kwanza Kuna familia nyingi za kawaida zenye watu wenye hzo professional sembuse familia ya Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…