Kuna Makala nlliwahi kusoma (Iliandikwa na mwandishi mmoja wa JET...Waandishi wa Habari za Mazingira,sijui kama bado wapo) miaka kadhaa imepita sasa.Makala hiyo ilieleza jinsi shughuli za kibinadamu zinavyoharibu mazingira Mkoani Morogoro na kusababisha mito kadhaa inayopeleka maji mto Ruaha,na hatimaye Mto Rufiji inavyokauka kwa kasi.Hili halikwepeki kutokana na mabadiliko ya Tabia nchi je,tumejiandaje !Hao wanaotengeneza sora! Je viwanda vyao vinategemea solar?
Utafiti mzuri niule unaozingatia hasara na faida!
Kama hasara ni ndogo kuliko faida unaamua!
Sasa pale Rufiji tukipata huo umeme unajua vizazi vitakavyofaidika?
Waambie baada ya miaka 3 waje waone nchi yetu itafikia kiwango gani cha umeme.