Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

China na marekani wanazalisha hewa chafu inasafishwa huku na south america kwasababu ndiko kwenye miti. Lakini mataifa hayo ndo yenye uchumi imara. Bora na sisi tuchafue mwishowasiku tutajua tunaishi vipi. Hatuwezi kuwa omba omba milele

Sent using Jamii Forums mobile app
“The UNESCO World Heritage Committee made it clear earlier this month that the Selous’ World Heritage status is at risk should any damage result from the construction of Stiegler’s Gorge hydropower dam. Today’s development is largely symbolic, but it is a worrying indicator that Tanzania’s government plans to press ahead with the controversial project regardless.

“The Selous is a wilderness area of extraordinary importance to wildlife, while also providing livelihoods and numerous ecosystem services to local communities. It is essential it is protected for the benefit of future generations. WWF calls on Tanzania to invite UNESCO and the IUCN to carry out the necessary assessments of harm already caused to the site, and to consider less harmful energy alternatives.”

The Stiegler’s Gorge project is a planned hydropower dam across the Rufiji River, located within the Selous Game Reserve. The Selous, a designated World Heritage site since 1982, is home to globally important populations of elephants, hippos and African hunting dogs.

On 2 July 2019, a UNESCO World Heritage Committee decision highlighted that the Selous is at risk of losing its World Heritage site status if deforestation and other activities related to construction of the dam lead to irreversible damage to the site. The Committee called on Tanzania’s government to halt all damaging activities and invite a UNESCO/IUCN monitoring mission to assess any damage caused by preparatory logging.

WWF notes that alternative energy pathways are available to Tanzania, and highlights the opportunities presented by renewables such as solar, wind and geothermal energy to diversify the country’s energy mix.
 
Ndo maana Marekani ilivyoona maswala ya mazingira yanakwamisha mazingira akaachama na protocol zenu sijui Kyoto sijui nini huko chafua mazingira, haribu hali ya hewa na sasa ndo anatuchora tu.
Haya, sasa hivi Arusha umekata, shughuli ngapi zimekwama za kimaendeleo? 0.2% ya eneo zima haithobitishi uharibifu.
 
Mradi huu unasemekana unaharibu Mazingira kuharibu mazingira na kuharibu Viumbe hai.

Mradi huu UNESCO wamezungumzia na wanajua unaharibu sana, ndiyo maana hata tenda ya ujenzi makampuni makubwa yalihofu sana, yakashindwa na mwishowe kampuni ya ARAB COntractors ambayo ni WASTAAFU WA JESHI huko Misri wakaamua kuchukua,.

hii kazi itawagharimu sana, Na huyu mkuu wetu wa nchi anatupeleka shimoni
Hivi nyie vibaraka wa mabeberu hamjisikii vizuri mpaka kukashifu juhudi za serikali yetu tukufu! Mradi ni imara na unasonga mbele!
 
Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli.

Ukweli ni kwamba kabla ya mradi wowote mkubwa kutekelezwa lazima kifanyike kitu kinachoitwa Environment Impact Assessment.

Ukweli ni kwamba serikali iliunda team iliyojumuisha maprofesa nguli kufanya Environment Impact Assessment ambapo serikali yetu iliwalipa fedha kufanya kazi hiyo.

Ukweli ni kwamba team hiyo ilifanya kazi hiyo na kuandika ripoti yake ambayo ilieleza kwamba madhara ya kwnye mazingira kama mradi huu ukitekelezwa yatakuwa makubwa sana hivyo wakashauri mradi huu usitekelezwe na wakashauri serikali ijikite kwenye kuzalisha umeme kwa kutumia gesi ambayo inapatikana mtwara kwani uzalishaji wa umeme kwa kutumia umeme hautakuwa na madhara kwenye mazingira kama mradi wa stiglers gorge.

Sasa bana ripoti hii iliwasilishwa kwanza wizara inayohusika na mazingira ya bwana January.

Waziri akakubaliana na ripoti naye akaifoadi ikulu.

Bwana kolichotokea almanusura huyu jamaa apoteze kazi, .

Ukweli ni kwamba jiwe alimuita akamtukana sana kwanini amekubaliana na ushauri wa hao maprofesa na kisha akamtupia ripoti yake .

Isingekuwa aibu ya jiwe akifahamu jinsi January alivyomfanyia figisufigisu ya kutengeneza matokeo yaliyomsaidia kumuweka madarakani pale mlimani city huyu january alikuwa afukuziwe mbali.

Sasa twende kwenye hoja, kwa nini serikali yetu inakataa repoti ya timu ya iliyoiunda na kuilipa ifanye kazi na wao wakafanya na wakashauri.

Mbona Serikali hiii hii haitoi vibali vya kuendeleza miradi ambayo environment impact assessment zimeshauri kwamb arhari za mradi ni hasi.

Kuna msemo wa kiingereza unaoheshimika sana unaosema "no research no right to speak"

Research imefanyika imeeleza mradi ni mbaya kwenye mazingira watu bila hata kufanya research nyingine wanakurupuka kuukataa ushauri wa wataalamu.

Tusiwalaumu sijui bunge la ujerumani , mimi binafsi siungi mkono kupangiwa mambo yetu na hao wajerunani.

Ukweli ni kwamba mradi huu ulikataliwa kwanza na timu yetu sisi wenyewe watanzania iliyohusisha maprofesa wataalamu ambao mwisho wa siku kama kawaida ya jiwe ukitoa mapendekezo tofauti na mtazamo wake unaitwa sio mzalendo au sijui umetumwa na mabepari.
Aina hii ya uongozi ya kukataa mapendekezo ya wataalamu ni mojawapo ya element za utawala wa kidikteta.
Tutakuja kumkumbuka Mzee Sinde Warioba, ndani ya rasimu ya katiba pendekezwa kulikuwa na mapendekezo ya kupunguza mamlaka ya Rais. Katika jambo hili kungekuwa na mjadala kwanza wa wataalamu wa mazingira, pasipo mtu mmoja kulazimisha hisia zake ili apate umaarufu wa kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bara la Giza.

Takataka mmoja anaharibu future ya watu milioni 58 na wao wapo wanacheka cheka tu kama mazwazwa

No Wmder Stephen Hawking anatabiri dunia itakuwa na watu SIFURI miaka ijayo maana imeelemewa na mzigo wa wapumbavu.
 
Sikumbuki vizuri nilisoma wapi siku mbili tatu zilizo pita,mradi huo wa tren la mwendo kasi umekwama vibaya ijapo sababu nilizo soma mm zinatofautiana na hizo.
Mbona hujaweka ukweli mkuu, hiyo ripoti ulishaiona wewe au unasikiasikia tu kama hao wasiojua? Nimesoma bandiko lote, lakini hata wewe naona unasikiasikia tu kuhusu hiyo ripoti.

Sikubaliani na Magufuli kama kaamua tu yeye mwenyewe kama kawaida yake ya kutumia mabavu. Lakini hata kama hiyo ripoti ipo kweli na hao wataalam waliona madhara ya mradi huo, lingekuwa jambo zuri kuitoa hiyo ripoti watu waisome na kuijadili. Bado Magufuli angekuwa na uwezo wa kushawishi ripoti iwekwe pembeni kwa sababu anazoona ni za lazima mradi ufanyike kwa manufaa ya taifa. Na mimi ningekuwa mmojawapo wa kuunga mkono hatua hiyo, kwa sababu naamini mradi huo una manufaa makubwa kwa taifa, na hizo sababu za uharibifu wa mazingira athiri yake ingeweza kupunguzwa katika 'design' ya mrada wenyewe.

Kwa hiyo taarifa yako hapa bado ni 'hearsay', na hasa ukifikiria Magufuli kaingia 2015, hiyo 'study' ya wataalam hao iliteuliwa na nani, lini na ilifanya kazi kwa muda gani. Je hata magazeti hayakuweza kutoa habari yoyote juu ya utafiti huo ukatuwekea hapa tusome? Hata majina tu ya waliohusika katika utafiti huo.

Ni akina nani hawa maprofesa, una jina hata la mmoja wao? Ni nani aliyewateua na lini?

Kamati na ripoti unayoiandika hapa iliteuliwa na kufanya utafiti wake" baada ya Magufuli kutaka bwawa lijengwe" au kamati hiyo iliteuliwa kabla na kuandika ripoti yake kabla ya kutangazwa na Magufuli kuhitaji mradi huo ufanyike?
Mimi sioni kumbukumbu za uteuzi wa kamati wakati Magufuli alipotangaza nia ya ujenzi wa mradi huo. Kama wewe unazo kumbukumbu hizo tuwekee hapa tuzione.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikumbuki vizuri nilisoma wapi siku mbili tatu zilizo pita,mradi huo wa tren la mwendo kasi umekwama vibaya ijapo sababu nilizo soma mm zinatofautiana na hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaah, kweli kabisa, "Hakuna uchawi"

Treni la mwendo kasi na Bwawa la Stieglers vimeingiliana kwa 'treni' kuwa la umeme, au sio?

Mambo yanachanganya kidogo!
 
Nikajua ungeweka hizo negative impact kumbe unaongea blabla
Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli.

Ukweli ni kwamba kabla ya mradi wowote mkubwa kutekelezwa lazima kifanyike kitu kinachoitwa Environment Impact Assessment.

Ukweli ni kwamba serikali iliunda team iliyojumuisha maprofesa nguli kufanya Environment Impact Assessment ambapo serikali yetu iliwalipa fedha kufanya kazi hiyo.

Ukweli ni kwamba team hiyo ilifanya kazi hiyo na kuandika ripoti yake ambayo ilieleza kwamba madhara ya kwnye mazingira kama mradi huu ukitekelezwa yatakuwa makubwa sana hivyo wakashauri mradi huu usitekelezwe na wakashauri serikali ijikite kwenye kuzalisha umeme kwa kutumia gesi ambayo inapatikana mtwara kwani uzalishaji wa umeme kwa kutumia umeme hautakuwa na madhara kwenye mazingira kama mradi wa stiglers gorge.

Sasa bana ripoti hii iliwasilishwa kwanza wizara inayohusika na mazingira ya bwana January.

Waziri akakubaliana na ripoti naye akaifoadi ikulu.

Bwana kolichotokea almanusura huyu jamaa apoteze kazi, .

Ukweli ni kwamba jiwe alimuita akamtukana sana kwanini amekubaliana na ushauri wa hao maprofesa na kisha akamtupia ripoti yake .

Isingekuwa aibu ya jiwe akifahamu jinsi January alivyomfanyia figisufigisu ya kutengeneza matokeo yaliyomsaidia kumuweka madarakani pale mlimani city huyu january alikuwa afukuziwe mbali.

Sasa twende kwenye hoja, kwa nini serikali yetu inakataa repoti ya timu ya iliyoiunda na kuilipa ifanye kazi na wao wakafanya na wakashauri.

Mbona Serikali hiii hii haitoi vibali vya kuendeleza miradi ambayo environment impact assessment zimeshauri kwamb arhari za mradi ni hasi.

Kuna msemo wa kiingereza unaoheshimika sana unaosema "no research no right to speak"

Research imefanyika imeeleza mradi ni mbaya kwenye mazingira watu bila hata kufanya research nyingine wanakurupuka kuukataa ushauri wa wataalamu.

Tusiwalaumu sijui bunge la ujerumani , mimi binafsi siungi mkono kupangiwa mambo yetu na hao wajerunani.

Ukweli ni kwamba mradi huu ulikataliwa kwanza na timu yetu sisi wenyewe watanzania iliyohusisha maprofesa wataalamu ambao mwisho wa siku kama kawaida ya jiwe ukitoa mapendekezo tofauti na mtazamo wake unaitwa sio mzalendo au sijui umetumwa na mabepari.
Aina hii ya uongozi ya kukataa mapendekezo ya wataalamu ni mojawapo ya element za utawala wa kidikteta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna namna unanufaika na huo miradi pamoja na aliyepuuza report ya wataalamu
Mbona hujaweka ukweli mkuu, hiyo ripoti ulishaiona wewe au unasikiasikia tu kama hao wasiojua? Nimesoma bandiko lote, lakini hata wewe naona unasikiasikia tu kuhusu hiyo ripoti.

Sikubaliani na Magufuli kama kaamua tu yeye mwenyewe kama kawaida yake ya kutumia mabavu. Lakini hata kama hiyo ripoti ipo kweli na hao wataalam waliona madhara ya mradi huo, lingekuwa jambo zuri kuitoa hiyo ripoti watu waisome na kuijadili. Bado Magufuli angekuwa na uwezo wa kushawishi ripoti iwekwe pembeni kwa sababu anazoona ni za lazima mradi ufanyike kwa manufaa ya taifa. Na mimi ningekuwa mmojawapo wa kuunga mkono hatua hiyo, kwa sababu naamini mradi huo una manufaa makubwa kwa taifa, na hizo sababu za uharibifu wa mazingira athiri yake ingeweza kupunguzwa katika 'design' ya mrada wenyewe.

Kwa hiyo taarifa yako hapa bado ni 'hearsay', na hasa ukifikiria Magufuli kaingia 2015, hiyo 'study' ya wataalam hao iliteuliwa na nani, lini na ilifanya kazi kwa muda gani. Je hata magazeti hayakuweza kutoa habari yoyote juu ya utafiti huo ukatuwekea hapa tusome? Hata majina tu ya waliohusika katika utafiti huo.

Ni akina nani hawa maprofesa, una jina hata la mmoja wao? Ni nani aliyewateua na lini?

Kamati na ripoti unayoiandika hapa iliteuliwa na kufanya utafiti wake" baada ya Magufuli kutaka bwawa lijengwe" au kamati hiyo iliteuliwa kabla na kuandika ripoti yake kabla ya kutangazwa na Magufuli kuhitaji mradi huo ufanyike?
Mimi sioni kumbukumbu za uteuzi wa kamati wakati Magufuli alipotangaza nia ya ujenzi wa mradi huo. Kama wewe unazo kumbukumbu hizo tuwekee hapa tuzione.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna namna unanufaika na huo miradi pamoja na aliyepuuza report ya wataalamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hukunisoma mkuu wangu 'The fact files'!

Unayo hiyo ripoti mkuu wangu. Kama unayo tafadhali, iweke nasi tuisome, na baada ya hapo tutakuwa na nafasi nzuri ya kuukataa mradi kwa uharibifu wake, au kuunga mkono kwa manufaa tunayodhani utaliletea taifa.

Sasa wewe mara unaniwekea lebo, ambayo andiko langu limeelezea wazi kuwa bila ripoti hiyo, sio sawa kuhukumu?

Tuwekee hiyo ripoti ya wataalam. Uwezo wa kuichambua tunao, na hapo ndipo tutakapoamua ni upande upi tuuunge mkono.
Hayo ya 'kunufaika' unayokimbilia ni dalili za kutokuwa na hoja.
 
Mimi nimeosoma ripoti ya WWF kuhusu mradi huu, kama katiba tuu imeweza kukanyangwa na tuko ok kabisa, what is EIA compared?.

Kwenye hili mimi naungana na serikali yetu kuwa Tanzania is a sovereign state, tutaamua mambo yetu wenyewe bila kuingiliwa au kupangiwa na mataifa ya nje.

Natolea mfano wa mradi wa Kamba Samaki, shrimp farming kwenye Rufiji Delta, ulipitishwa vizuri tuu, lakini kabla ya utekelezaji, mashirika ya kimataifa ya mazingira yakaja na EIA nyingine, tukapigwa stop mradi ukafa. Hoja ya wanamazingira ni kilimo kile kingeathiri uoto wa asili wa mikoko.

Ukiangalia cost benefits na value benefits za mradi na faida za mikoko, mikoko are nothing compared.

Kama ulifuatilia issue ya Kihansi Hydro Electric Project, mradi ulichelewa sana kwa hoja ya vyura wa Kihansi hadi Marekani walipokubali kuwa relocate wakahamishwa, mradi ulipokamilika wakarudishwa. Ukiangalia faida za nchi inayohitaji umeme na faida ya vyura ni nothing compared.

Sasa kwenye Stieglers ni vile vile wanataka kutupangia, kule nyuma waliweza kwa sababu fedha walikuwa wanatoa wao. Kwa Stieglers, watakwama kwa sababu this time around fedha ni zetu.
Hili jambo niliisha lizungumza sana humu

Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kusupport mipango kamambe
ya maendeleo ya nchi yako hata kama mipango hiyo itasababisha maumivu kwa walio wengi as long as itakuwa na faida kubwa kitaifa huko baadae.
P
Nenda Google uangalie wind and solar power installation in india, ndo utajua kuwa tulikuwa na alternative nyingi sana Tanzania swala hapa ni maslahi ya wachache, sisi hatuna pesa ya ndani ya kujenga mradi mkubwa kama stiggler's gorge. Tuna compromise mazingira kwa kukopa mikopo isiyolipika. Sasa leta hapa progress ya ujenzi wa mradi.

Installated cumulative national and state-wise capacity
Installed solar PV on 31 March [25]
Year Cumulative Capacity (in MW)
2010
2011
2012
2013
2014
2015
2016
2017
2018
2019
Installed solar power capacity ( MW ) [1]
State 31 March 2015 31 March 2016 31 March 2017 31 201
Rajasthan 942.10 1,269.93 1,812.93 3,2
Punjab 185.27 405.06 793.95 9
Uttar Pradesh 71.26 143.50 336.73 9
Uttarakhand 5.00 41.15 233.49 3
Haryana 12.80 15.39 81.40 5
Delhi 5.47 14.28 40.27 1
Jammu and Kashmir 0.00 1.36 1.36 1
Chandigarh 4.50 6.81 17.32 3
Himachal Pradesh 0.00 0.73 0.73 2
Total
Northern Region 3318.18 610 (21.
Gujarat 1,000.05 1,119.17 1,249.37 2,4
Maharashtra 360.75 385.76 452.37 1,6
Chhattisgarh 7.60 93.58 128.86 2
Madhya Pradesh 558.58 776.37 857.04 1,8
Dadra and Nagar Haveli 0.00 0.00 2.97
Goa 0.00 0.00 0.71
Daman and Diu 0.00 4.00 10.46 1
Total
Western Region 2701.78 616 (21.
Tamil Nadu 142.58 1,061.82 1,691.83 2,5
Andhra Pradesh 137.85 572.97 1,867.23 3,0
Telangana 167.05 527.84 1,286.98 3,5
Kerala 0.03 13.05 74.20 1
Karnataka 77.22 145.46 1,027.84 6,0
Puducherry 0.20 0.20 0.08
Total
Southern Region 5948.16 1549 (54.
Bihar 0.00 5.10 108.52 1
Odisha 31.76 66.92 79.42 3
Jharkhand 16.00 16.19 23.27 3
West Bengal 7.21 7.77 26.14 7
Sikkim 0.00 0.00 0.00
Total
Eastern Region 237.35 64 (2.2
Assam 0.00 0.00 11.78 2
Tripura 5.00 5.00 5.09
Arunachal Pradesh 0.03 0.27 0.27
Mizoram 0.00 0.00 0.10
Manipur 0.00 0.00 0.03
Meghalaya 0.00 0.00 0.01
Nagaland 0.00 0.00 0.50
Total
North Eastern Region 17.78 3 (0.
Andaman and Nicobar 5.10 5.10 6.56 1
Lakshadweep 0.75 0.75 0.75
Others 0.00 58.31 58.31
Total
Islands and others 65.62 1 (0.
Total India 3,743.97 6,762.85 12,288.83 28,4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwazuii kutoka sare na Polisi Tanzania😀😀😀

Just joking... nadhani mjadala umechelewa, bwawa linajengwa, miti ishakatwa basi tusubiri megawati 2150 za umeme na pia athari za uwekezaji huo, ziwe cha ya au hasi
Utapata lila kitu lakini megawatt 2150 haziwezi kutimia. Inakadiriwa 36% ya maji yaliyokuwapo wakati wa upembuzi yakinifu wa awali yanni mwaka 1978 hayapo kutokana na sababu mbali mbali zikiwapo; miradi mbadala ya Mtera na Kihansi, shughuli za bonde la Ihefu, ongezeko la idadi na shughuli za binadamu na mabadiliko ya tabia nchi.

Hapo ni upotevu wa raslimali tu unafanywa na Dikteta asiyeshaurika
 
B
Utapata lila kitu lakini megawatt 2150 haziwezi kutimia. Inakadiriwa 36% ya maji yaliyokuwapo wakati wa upembuzi yakinifu wa awali yanni mwaka 1978 hayapo kutokana na sababu mbali mbali zikiwapo; mirada mbadala ya Mtera na Kihansi, shughuli za bonde la Ihefu, ongezeko la idadi na shughuli za binadamu na mabadiliko ya tabia nchi.

Hapo ni upotevu wa raslimali tu unafanywa na Dikteta asiyeshaurika
Bahati mbaya zaidi ni kwamba, mambo yakiharibika hali ya awali hairudishiki tena!
 
Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli.

Ukweli ni kwamba kabla ya mradi wowote mkubwa kutekelezwa lazima kifanyike kitu kinachoitwa Environment Impact Assessment.

Ukweli ni kwamba serikali iliunda team iliyojumuisha maprofesa nguli kufanya Environment Impact Assessment ambapo serikali yetu iliwalipa fedha kufanya kazi hiyo.

Ukweli ni kwamba team hiyo ilifanya kazi hiyo na kuandika ripoti yake ambayo ilieleza kwamba madhara ya kwnye mazingira kama mradi huu ukitekelezwa yatakuwa makubwa sana hivyo wakashauri mradi huu usitekelezwe na wakashauri serikali ijikite kwenye kuzalisha umeme kwa kutumia gesi ambayo inapatikana mtwara kwani uzalishaji wa umeme kwa kutumia umeme hautakuwa na madhara kwenye mazingira kama mradi wa stiglers gorge.

Sasa bana ripoti hii iliwasilishwa kwanza wizara inayohusika na mazingira ya bwana January.

Waziri akakubaliana na ripoti naye akaifoadi ikulu.

Bwana kolichotokea almanusura huyu jamaa apoteze kazi, .

Ukweli ni kwamba jiwe alimuita akamtukana sana kwanini amekubaliana na ushauri wa hao maprofesa na kisha akamtupia ripoti yake .

Isingekuwa aibu ya jiwe akifahamu jinsi January alivyomfanyia figisufigisu ya kutengeneza matokeo yaliyomsaidia kumuweka madarakani pale mlimani city huyu january alikuwa afukuziwe mbali.

Sasa twende kwenye hoja, kwa nini serikali yetu inakataa repoti ya timu ya iliyoiunda na kuilipa ifanye kazi na wao wakafanya na wakashauri.

Mbona Serikali hiii hii haitoi vibali vya kuendeleza miradi ambayo environment impact assessment zimeshauri kwamb arhari za mradi ni hasi.

Kuna msemo wa kiingereza unaoheshimika sana unaosema "no research no right to speak"

Research imefanyika imeeleza mradi ni mbaya kwenye mazingira watu bila hata kufanya research nyingine wanakurupuka kuukataa ushauri wa wataalamu.

Tusiwalaumu sijui bunge la ujerumani , mimi binafsi siungi mkono kupangiwa mambo yetu na hao wajerunani.

Ukweli ni kwamba mradi huu ulikataliwa kwanza na timu yetu sisi wenyewe watanzania iliyohusisha maprofesa wataalamu ambao mwisho wa siku kama kawaida ya jiwe ukitoa mapendekezo tofauti na mtazamo wake unaitwa sio mzalendo au sijui umetumwa na mabepari.
Aina hii ya uongozi ya kukataa mapendekezo ya wataalamu ni mojawapo ya element za utawala wa kidikteta.
Huu ndio uandishi wa kipashkuna. Hakuna substance yoyote. Kama huna maelezo ya kile unachokiandika funga bakuli na macho yako. Nyambafu kabisa
 
Mawazo ya ajabu ajabu sana haya!! Kitu kama si fani yako hata usome kwa telescope bado hutojua/hutoelewa!!
Huo mradi bila hata kufikiria mara mbili mbili...
Una madhara makubwa sana kwa ustawi endelevu wa viumbe hai vyote vinavyotegemea maji na mazingira husika...
Time will tell the truth!!

Back
Top Bottom