Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

Kuna Makala nlliwahi kusoma (Iliandikwa na mwandishi mmoja wa JET...Waandishi wa Habari za Mazingira,sijui kama bado wapo) miaka kadhaa imepita sasa.Makala hiyo ilieleza jinsi shughuli za kibinadamu zinavyoharibu mazingira Mkoani Morogoro na kusababisha mito kadhaa inayopeleka maji mto Ruaha,na hatimaye Mto Rufiji inavyokauka kwa kasi.Hili halikwepeki kutokana na mabadiliko ya Tabia nchi je,tumejiandaje !
 
Endelea kubwabwaja na wenzako wanafanya kweli. Huo umeme ambao utatumia chini ya asilimia 2 ya eneo lote ukiingizwa kwenye gridi, wewe tafuta mitambo ya solar.
 
Hongera kamanda umejitahidi sana kuandika.
Lakini hata marekani hawafuati ushauri wa wataalam kwenye issues za mazingira zinazoathiri maslahi ya Marekani.
Lakini hawana element za UDIKTETA.
Inabidi Mwenyekiti aongee na January aje atupangie mwaka huu Membe wetu ashinde.
 
Nilikwenda pale kwa mguuwangu nikashuhudia kinacho endelea, sasaivi shuhuli za kuhamisha mto zinaendelea.
Nikweli kunauharibifu wa mazingira lakini mradiukikamilika faida itakuwa kubwa kuliko hasara.

Mnyonge mnyongeni.............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kubwabwaja na wenzako wanafanya kweli. Huo umeme ambao utatumia chini ya asilimia 2 ya eneo lote ukiingizwa kwenye gridi, wewe tafuta mitambo ya solar.

Tatizo mnabishana hadi na Sayansi na wasomi...!!
Kwenye bonde la Mto Rufuji tayari maji yashakuwa changamoto (bila mradi)... Mradi ukiwepo pale madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa viumbe vyote vinavyotegemea maji...! Fursa za tade-offs ni ndogo sana!
And in this era of global climate change time is the only parameter that separates the truth from rubbish decisions!
Mimi leo nabwabwaja... Na nitakuwepo hapa hapa kubwabwaja madhara yakivuka mipaka ya uharibifu!!
 
Uzi huu umerudishwa. Hebu tukumbushe aliyefanya hiyo EIA ni nani na ana sifa gani. Usiseme ni profesa maana siyo kila profesa anajua maana ya mazingira.
 
Sidhani kama hao walioandika EIA ya bwawa ni wanasayansi. Who are they for me to believe?
 
Sidhani kama hao walioandika EIA ya bwawa ni wansayansi. Who are they for me to believe?

Rejea kusoma EIA iliyorudiwa na inayopendwa na serikali... Mle ndani pamoja na kukiri kuwa "bwawa litasaidia kuzalisha umeme unaohitajika sana nchini lakini madhara yake kwa ustawi wa viumbe vyote vinavyotegemea maji na bionuai la bonde ni makubwa"!
Huo ndo ukweli... labda kama huyajui maeneo husika na shughuli mbalimbali zinazofanyika pale!
All in all... Tuache muda utasema...
Nyie si mnajua na mnaweza kila kitu... Hata kurejesha kina cha maji ndani ya Mt. Ruaha Mkuu kwenu halitakuwa tatizo...!!
Big Up!!
 
Nimeuliza nani aliyeandika hiyo EIA? Yeyote angeweza kuandika chochote.
btw. Hata mtembea kwa miguu ana madhara kwa mazingira, hata barabara kupita msituni ina madhara kwa viumbe. Kwa maana nyingine usipotaka viumbe kuathirika, usifanye lolote/chochote
 

Ndo manake!
 
credibility matters!
UNESCO World Heritage Centre › docu...PDF
Tanzania - UNESCO World Heritage Centre

Home - OECD Watch › ...PDF
Web results
Economic Feasibility of the Stiegler's Gorge Hydropower Project, Tanzania - OECD Watch

Tafuta na report ya Prof Raphael Mwalyosi..
Zisome kwa undani... Alafu urudi useme ukweli upo wapi...??!

"Better live one day as a lion than 100 years as a sheep"
 
Kuna vijiofisi kibao hapa Dar vinajidai kuandika EIA. Ukiona kinachoandikwa ni copy-paste game! Hakuna la maana kusumbua watu bila expertise. EIA siyo kitu cha kuokoteza watu wa kuandika na siyo kitu cha kuandika kwa kuonesha umwamba. Ni kuzungumza na mazingira kitaalamu.
 
Una matatizo. Nakuomba uniambie EIA ya Bwawa la umeme imeandikwa na mtalaamu gani? Kwa nini unaleta yote uliyonayo mfukoni nisome!

Kuwa mkweli; Hebu nipe composition ya hiyo timu iliyoandika EIA. Nataka nione kuna biologist gani? Socialogist gani? Physicist gani? Engineer gani? Chemist gani? Limnologist gani? Au taaluma nyingine ambayo nimeisahau. Kama ilikuwa kila kitu ni Mwalyosi wako, then it must have been a nonsensical report!
 
Una matatizo. Nakuomba uniambie EIA ya Bwawa la umeme imeandikwa na mtalaamu gani? Kwa nini unaleta yote uliyonayo mfukoni nisome!

Kama hutaki kusoma ujue kina nani wameandika hizo ripoti basi you are as good as an empty drum... Read by thyself!!
Chukua ushindi wa mezani kuwa umeshinda...!!
 
Kama hutaki kusoma ujue kina nani wameandika hizo ripoti basi you are as good as an empty drum... Read by thyself!!
Taarifa za OECD ndo EIA! Hapo ndo tulipo JF kwa sasa kweli?
 
Unatoa ushauri wa unayoyasikia au kufundishwa darasani. Unaujua ukweli wa hayo unayoandika? Hiyo Solar na wind unaijua maana yake ni nini ktk energy. Ukisikia TAnesco inajiingiza kwenye solar ujue wanatafuta upigaji tu!
 

Naona unabishana ili ulipwe fadhila.. Huyo Prof. alikuwa wa kwenu kabisa... Na aliwasiliana ripoti mliyoipenda... Please usiite report yake kuwa ni "nonsensical report"... Unadhalilisha mamlaka ya uteuzi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…