Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa....Inahitaji akili kubwa sana kuchakata bandiko lako ili kupata rangi yako Halisi Mkuu.
"Tutatumia fedha yetu ya ndani" hapo ndo kitendawili, mapato yetu yameshuka sana,Mimi nimeosoma ripoti ya WWF kuhusu mradi huu, kama katiba tuu imeweza kukanyangwa na tuko ok kabisa, what is EIA compared?.
Kwenye hili mimi naungana na serikali yetu kuwa Tanzania is a sovereign state, tutaamua mambo yetu wenyewe bila kuingiliwa au kupangiwa na mataifa ya nje.
Natolea mfano wa mradi wa Kamba Samaki, shrimp farming kwenye Rufiji Delta, ulipitishwa vizuri tuu, lakini kabla ya utekelezaji, mashirika ya kimataifa ya mazingira yakaja na EIA nyingine, tukapigwa stop mradi ukafa. Hoja ya wanamazingira ni kilimo kile kingeathiri uoto wa asili wa mikoko.
Ukiangalia cost benefits na value benefits za mradi na faida za mikoko, mikoko are nothing compared.
Kama ulifuatilia issue ya Kihansi Hydro Electric Project, mradi ulichelewa sana kwa hoja ya vyura wa Kihansi hadi Marekani walipokubali kuwa relocate wakahamishwa, mradi ulipokamilika wakarudishwa. Ukiangalia faida za nchi inayohitaji umeme na faida ya vyura ni nothing compared.
Sasa kwenye Stieglers ni vile vile wanataka kutupangia, kule nyuma waliweza kwa sababu fedha walikuwa wanatoa wao. Kwa Stieglers, watakwama kwa sababu this time around fedha ni zetu.
Hili jambo niliisha lizungumza sana humu
Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kusupport mipango kamambe
ya maendeleo ya nchi yako hata kama mipango hiyo itasababisha maumivu kwa walio wengi as long as itakuwa na faida kubwa kitaifa huko baadae.
P
Dah Mkuu hiyo avator yako inanikumbusha miaka ya nyuma kidogo... Doh maisha yanaenda kasi sana...hahahaaa....
Mkuu huwa nakukubali. Hata hivyo kuna mambo hapa hauko sawa. Ingawa nia ya kuwa mradi mkubwa ni poa kabisa. Hata hivyoMimi nimeosoma ripoti ya WWF kuhusu mradi huu, kama katiba tuu imeweza kukanyangwa na tuko ok kabisa, what is EIA compared?.
Kwenye hili mimi naungana na serikali yetu kuwa Tanzania is a sovereign state, tutaamua mambo yetu wenyewe bila kuingiliwa au kupangiwa na mataifa ya nje.
Natolea mfano wa mradi wa Kamba Samaki, shrimp farming kwenye Rufiji Delta, ulipitishwa vizuri tuu, lakini kabla ya utekelezaji, mashirika ya kimataifa ya mazingira yakaja na EIA nyingine, tukapigwa stop mradi ukafa. Hoja ya wanamazingira ni kilimo kile kingeathiri uoto wa asili wa mikoko.
Ukiangalia cost benefits na value benefits za mradi na faida za mikoko, mikoko are nothing compared.
Kama ulifuatilia issue ya Kihansi Hydro Electric Project, mradi ulichelewa sana kwa hoja ya vyura wa Kihansi hadi Marekani walipokubali kuwa relocate wakahamishwa, mradi ulipokamilika wakarudishwa. Ukiangalia faida za nchi inayohitaji umeme na faida ya vyura ni nothing compared.
Sasa kwenye Stieglers ni vile vile wanataka kutupangia, kule nyuma waliweza kwa sababu fedha walikuwa wanatoa wao. Kwa Stieglers, watakwama kwa sababu this time around fedha ni zetu.
Hili jambo niliisha lizungumza sana humu
Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kusupport mipango kamambe
ya maendeleo ya nchi yako hata kama mipango hiyo itasababisha maumivu kwa walio wengi as long as itakuwa na faida kubwa kitaifa huko baadae.
P
"Tutatumia fedha yetu ya ndani" hapo ndo kitendawili, mapato yetu yameshuka sana,
Mleta mada ana roho ngumu kweli. Bado eti anaamini kwamba huu mradi hautafanikiwa.Nyie pigeni kelele Weeeeeeeeeeee ila mwisho wa siku mradi lazima utekelezwe, huko Site mambo ni Moto, wajukuu wa FARAO wapo speed sana bado miezi minne na nusu hivi waanze kazi rasmiSasa hivi wanaandaa mazingira ya kazi,piteni huko mjionee, msikae humu JF tu.Hizo kelele za bunge la ujerumani ndo zimeisha hivyo hivyo, by the way barua ya EU na USA ziliishia wapi?,..
Nyie pigeni kelele Weeeeeeeeeeee ila mwisho wa siku mradi lazima utekelezwe, huko Site mambo ni Moto, wajukuu wa FARAO wapo speed sana bado miezi minne na nusu hivi waanze kazi rasmiSasa hivi wanaandaa mazingira ya kazi,piteni huko mjionee, msikae humu JF tu.Hizo kelele za bunge la ujerumani ndo zimeisha hivyo hivyo, by the way barua ya EU na USA ziliishia wapi?,..
Wale partners wa Arab cobtractors wenye 45% wanasubiri mpunga uingie wakawekeza huku Uganda kwenye kiwanda chao cha kutengeneza vifaa vya umemeTushakopa tayari za kuanzia toka Egypt. Mjenzi ni Egypt na pesa tunakopa toka Egypt.
"hata kama mipango hyo itasababisha maumivu kwa walio wengi"Mimi nimeosoma ripoti ya WWF kuhusu mradi huu, kama katiba tuu imeweza kukanyangwa na tuko ok kabisa, what is EIA compared?.
Kwenye hili mimi naungana na serikali yetu kuwa Tanzania is a sovereign state, tutaamua mambo yetu wenyewe bila kuingiliwa au kupangiwa na mataifa ya nje.
Natolea mfano wa mradi wa Kamba Samaki, shrimp farming kwenye Rufiji Delta, ulipitishwa vizuri tuu, lakini kabla ya utekelezaji, mashirika ya kimataifa ya mazingira yakaja na EIA nyingine, tukapigwa stop mradi ukafa. Hoja ya wanamazingira ni kilimo kile kingeathiri uoto wa asili wa mikoko.
Ukiangalia cost benefits na value benefits za mradi na faida za mikoko, mikoko are nothing compared.
Kama ulifuatilia issue ya Kihansi Hydro Electric Project, mradi ulichelewa sana kwa hoja ya vyura wa Kihansi hadi Marekani walipokubali kuwa relocate wakahamishwa, mradi ulipokamilika wakarudishwa. Ukiangalia faida za nchi inayohitaji umeme na faida ya vyura ni nothing compared.
Sasa kwenye Stieglers ni vile vile wanataka kutupangia, kule nyuma waliweza kwa sababu fedha walikuwa wanatoa wao. Kwa Stieglers, watakwama kwa sababu this time around fedha ni zetu.
Hili jambo niliisha lizungumza sana humu
Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kusupport mipango kamambe
ya maendeleo ya nchi yako hata kama mipango hiyo itasababisha maumivu kwa walio wengi as long as itakuwa na faida kubwa kitaifa huko baadae.
P
Ohhhh kumbe nimekumbuka usukumaninhakuna miti zaidi ya hifadi na marneo yaliyotengwaKumbuka msukuma hana kitu kinachoitwa kutunza mazingira. Miti na uoto asili sio issue kwake.
Labda kutunza ng'ombe.
Mimi ndukiiiiii....
Sent using Jamii Forums mobile app