Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

ARAB Contractors wameandika barua ya kuacha rasmi mradi huo February 2020 baada ya kupigwa mkwala mzito na taasisi za kimataifa. Sasa mradi unakufa.
 
Hapo kwamba fedha ni zetu naona kama ndiyo siyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama watalaam wetu ni wa aina ya Tundu Lissu na Zuberi Kabwe ambao walituaminisha kuwa kwenye sakata la makenikia kuwa serikali ingeshindwa vibaya na matokeo yake yangetugharimu vibaya sana. Ni bora kuendelea na wataalam ambao walitoa mapendekezo ya namna ya kutekeleza mpango huo bila athari kubwa na ndiyo maana eneo husika halifiki 2% ya eneo lote.. Wakati wa Mwalimu hali ilikuwa kama hivyo tofauti ni kwamba tulikuwa tunawategemea wafadhili wa magharibi zaidi na kwa hivi sasa dunia imebadilika.
 

..ktk sakata la makinikia tumeshindwa.

..serikali ilitoa taarifa kwamba tunawadai accacia usd 191 billion.

..baada ya malumbano na majadiliano serikali imeachana na madai hayo.

..pia serikali ilisema smelter itajengwa hapa Tz ili kuchenjua makinikia. Majuzi makinikia yameanza kusafirishwa nje.

..serikali ilisema kesi na mashauri yote yanayohusu madini na nishati zitaamuliwa na mahakama za Tz. Baada ya majadiliano serikali imesaini mkataba na Barrick unaolekeza kuwa kesi zitaendelea kuamuliwa nje ya nchi.

..Mwisho, hakuna mhusika yeyote aliyetajwa ktk ripoti za Prof.Mruma na Prof.Ossoro amepelekwa mahakamani.

..Serikali iliwapa waTz matumaini makubwa lakini ilicho-deliver ni kidogo. Na imefyata mkia haizungumzi tena kwa ubabe.
 
Umebadilika saana Kaka..,.mwanzoni nilijua unafikisha ujumbe kwa kinyume na unachoandika Ila baada ya kukufuatilia kwa muda nikagundua kua una maanisha na kusimamia kauli zako za kuunga mkono...inawezekana ule wito wa dodoma pamoja na onyo ulopewa au umeingia katika pay roll ili utumie taaluma yako kutupotosha na kumsifia mfalme..,.Kaka hujui tu jinsi hadhi na thamani uliokua nayo katika mioyo ya wadau wengi wa hapa JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye makubaliano ninadhani kuna kipengele kipya ambacho kinaipa nchi ubia wa asilimia 16. Kwa hili ninadhani tumefanya vizuri sana kwani faida itakayotokana na hisa hizo ni endelevu mpaka mwisho wa uhai wa mgodi.
 
Kwenye makubaliano ninadhani kuna kipengele kipya ambacho kinaipa nchi ubia wa asilimia 16. Kwa hili ninadhani tumefanya vizuri sana kwani faida itakayotokana na hisa hizo ni endelevu mpaka mwisho wa uhai wa mgodi.

..hicho kipengele 16% ni kizuri.

..lakini hatujui migodi ina muda gani mpaka itakapokwisha.

..tumechelewa kuchukua hatua. Pia tulikuwa na papara ya kusaini mikataba awamu ya 3 na 4.

..waTz wenzetu kama Tundu Lissu na Rugemeleza Nshala walijaribu kuishauri serikali na bunge kuhusu ubaya wa mikataba ktk sekta za madini na nishati lakini hawakusikilizwa.

..Tundu Lissu na Rugemeleza Nshala walifunguliwa kesi na serikali kwa kupinga mkataba wa mgodi wa Bulyankhulu kati ya mwaka 1998 na 99.

..Imechukua muda mrefu sana kwa serikali na CCM kusikiliza kilio cha wananchi na wanaharakati kwamba rasilimali zetu zilikuwa zinachotwa bila ya nchi kufaidika.

.
 

PUMBAAAAAAAAAA
 
Paskali .....bado this time hizi fedha Ni zetu!?
 
Paskali .....bado this time hizi fedha Ni zetu!?
Uzalendo ni pamoja na kuamini bila mashaka chochote unachoambiwa na serikali yako. Tumeambiwa miradi ya kimkakati tunatekeleza kwa fedha zetu za ndani, kununua midege, kujenga reli ya SGR, Stigler, kujenga Tanzania ya viwanda na kuhamia Dodoma, ni fedha za ndani, then ni fedha za ndani!.
P'se usiniulize kwanini deni la taifa linazidi kupas!.
P
 
Zile USD za WB alizozipiga pini ZZK zilikua za kazi gani sasa? Au ndio zilikua ziingie gulioni kununua watu?
 
Hii kamati iliteuliwa baada ya magufuli kutaka kujenga hilo bwawa , ila baada ya kusoma ripoti yao akaikataa na kuitupilia mbali .
Huo ndio ukweli wenyewe
Acha upotoshaji wewe.
Sasa tushajenga nenda kawaambie Mabeberu tena
 
Uzalendo wa kweli wa taifa lako ni pamoja na kuisupport mipango mkakati ya maendeleo ya taifa lako hata kama wewe binafsi hukubaliani nayo!.
P
 
Hilo litakuwa linakua by default!
 
Hao wanaotengeneza sora! Je viwanda vyao vinategemea solar?
Utafiti mzuri niule unaozingatia hasara na faida!
Kama hasara ni ndogo kuliko faida unaamua!
Sasa pale Rufiji tukipata huo umeme unajua vizazi vitakavyofaidika?
Waambie baada ya miaka 3 waje waone nchi yetu itafikia kiwango gani cha umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…