Ukweli Mchungu kuhusu Kudanga

Ukweli Mchungu kuhusu Kudanga

🙂🙂asee hii biashara ina faida kwa 100% unauza kitu alafu unabaki nayo 🤣🤣
Anabaki nacho ila kinachakaa..

Gari inabaki na tyre zake ila inapopita njia tofauti tofauti inapata damage mbali mbali.

Kuna tofauti ya gari inayopita njia nzuri yenye lami na ile inayopita kwenye njia za vumbi, makorongo, tope n.k
 
I know that theory.
It's nothing, ni kama nilivyosema wanatumia randomness kama chanzo cha kupata rule.

"They interweave together like facts and fiction in a historical novel."

Ni sawa na James Bond's gadgets, they were fictitious. Now everyone has them.
 
Randomness si accident.

Accident inaweza kutabirika kwa hesabu.
Ndiyo maana mashirika ya bima yanajua kupiga mahesabu ya vipi kupata faida kwenye biashara ya ku insure accidents.

True randomness haitabiriki.

Usichanganye mambo.
Wewe sasa naona ndiyo unaanza kuchanganya mambo.
Unaposema jambo linalotokea bila kupangwa kutokea ni sawa na kusema accident. Haipangwi ila husababishwa, wakati bahati hupangwa kwa kutayarisha.
 
I know that theory.
It's nothing, ni kama nilivyosema wanatumia randomness kama chanzo cha kupata rule.

"They interweave together like facts and fiction in a historical novel."

Ni sawa na James Bond's gadgets, they were fictitious. Now everyone has them.
Which theory?
 
Wewe sasa naona ndiyo unaanza kuchanganya mambo.
Unaposema jambo linalotokea bila kupangwa kutokea ni sawa na kusema accident. Haipangwi ila husababishwa, wakati bahati hupangwa kwa kutayarisha.
Accident inaweza kutabirika, inawekwa mpaka kwenye mahesabu ya bima.

True randomness haitabiriki.
 
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Pesa yoyote ile inayopatikana kwa njia zisizo halali imelaaniwa vibaya sana budaa.. Huwezi ukaitumia kupanga nayo mikakati ya maendeleo.
 
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Wanatafuta mtaji au hiyo ndio njia ya kuendesha maisha yao?
 
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Amepigapiga mizinga kafungua duka la nguo , kwa siku hauzi kiasi alichopata kwa urahisi kwenye mizinga , obviously atarudi kwenye Kitonga

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom