Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo chiniI know I have never used the word accident in this thread. If I have, please quote that in my very own words.
Perhaps you are confusing me with someone else.
Bahati ni jambo linalotokea bila kupangwa kutokea, by randomness.
Meaning kunakuwa na nguvu isiyo onekana inayo sababisha jambo hilo kutokea rightBahati ni jambo linalotokea bila kupangwa kutokea, by randomness.
Randomness si accident.Hapo chini
Kwa nini unasema kuna nguvu isiyoonekana?Meaning kunakuwa na nguvu isiyo onekana inayo sababisha jambo hilo kutokea right
Anabaki nacho ila kinachakaa..🙂🙂asee hii biashara ina faida kwa 100% unauza kitu alafu unabaki nayo 🤣🤣
I know that theory.
Wewe sasa naona ndiyo unaanza kuchanganya mambo.Randomness si accident.
Accident inaweza kutabirika kwa hesabu.
Ndiyo maana mashirika ya bima yanajua kupiga mahesabu ya vipi kupata faida kwenye biashara ya ku insure accidents.
True randomness haitabiriki.
Usichanganye mambo.
Which theory?I know that theory.
It's nothing, ni kama nilivyosema wanatumia randomness kama chanzo cha kupata rule.
"They interweave together like facts and fiction in a historical novel."
Ni sawa na James Bond's gadgets, they were fictitious. Now everyone has them.
Accident inaweza kutabirika, inawekwa mpaka kwenye mahesabu ya bima.Wewe sasa naona ndiyo unaanza kuchanganya mambo.
Unaposema jambo linalotokea bila kupangwa kutokea ni sawa na kusema accident. Haipangwi ila husababishwa, wakati bahati hupangwa kwa kutayarisha.
Ok let me read it and will come back to you soon thereafterKwa nini unasema kuna nguvu isiyoonekana?
Soma hapa kuhusu randomness inatoka wapi ma vipi iko intrinsic katika nature
Pesa yoyote ile inayopatikana kwa njia zisizo halali imelaaniwa vibaya sana budaa.. Huwezi ukaitumia kupanga nayo mikakati ya maendeleo.Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
SanaaKichaa anachekesha kama siyo ndugu yako.... Omba sana, maisha hayana adabu
Wanatafuta mtaji au hiyo ndio njia ya kuendesha maisha yao?Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
😃duhWala hata.
Binti akijiwekea malengo, akawa anatunza akiba hatumii ovyo anatoboa kwa kudanga mbona
Mikosi ni dhana potofu tu ya kufanya waogope kudanga
Acha woga Mkuu,Kichaa anachekesha kama siyo ndugu yako.... Omba sana, maisha hayana adabu
Ok sawa,, kwahyo Kuna watu kama watano hivi unawafahamu walitoka kimaisha Kwa kupitia hiyo kaziAcha woga Mkuu,
Ni biashara nzuri tu yenye faida.
Ndio.Ok sawa,, kwahyo Kuna watu kama watano hivi unawafahamu walitoka kimaisha Kwa kupitia hiyo kazi
Amepigapiga mizinga kafungua duka la nguo , kwa siku hauzi kiasi alichopata kwa urahisi kwenye mizinga , obviously atarudi kwenye KitongaMabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.