Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

Lisu hakujiandaa Uraisi he is reckless hajali kukubalika na makundi yote ya wapiga kura vikiwemo vyombo vya dola Yeye huviponda anasahau kuwa vyombo vya dola Ni wadau muhimu moja Kama wapiga kura na familia zao na pili Kama Vetters!!

Nyalandu Yuko careful anapenda Watu wote wawe serikalini au vyombo vya dola sababu kura zao na familia zao anazitaka

Lisu ana makundi muhimu ambayo hataki kura zao wakati ndio washikao hatima yake ndani ya Chadema na nje ya chadema!!!
 
ukweli mchungu kwa wafuasi
wake.
 
Unaweza kuwa na hoja lakini hujatuwekea wazi udhaifu wa Lissu uko wapi? Mbona ni mzalendo tuu?
CCM wametaka kumnunua mara nyingi ili kumnyamzisha lakini alibaki kuwa mpinzani kwa maslahi mapana ya Taifa hili ili aliondolee ndwele ya maumivu ya CCM
Unao huo ushahidi wa ccm kutaka kumnunua Lissu?
Upo ushahidi mwingi tu wa Lissu kutokuwa mzalendo kwa Taifa lake na kwa sababu hizo anakosa uhalali wa kuongoza Taifa hili.
 
Hatuwezi kuongozwa na Rais mbeambea,
:- Elezea huo umbea wa Lissu ,
Rais asieweza kusimama peke yake katika maamuzi.

:-Elezea ni maamuzi gani ambayo Lissu ameonekana ameshindwa kuyasimamia

Rais huandaliwa na kuchunguzwa uadilifu wake kwa nchi yake.
:- Ni mambo gani ambauo Lissu kafanya yanamfanya asiwe mwadilifu.

Chuki ziweke pembeni, toa maelezo.
 
Hakuna anayefaa kuwa rais wa tzkama yuko nje ya ccm kama unabisha mtaje
 
Wengine wanasema wana ndoto za kuwa marais wa nchi lakini na kupataburaisi ni kutimiza ndoto zao naamin sio shida ..lakini kwa Tz sis wananchi wa kawaida tunawaza Tz yetu kwanza...namna ambavyo tunaweza kuendelea kukua kiuchumi n.k...tunahitaji mtu serious wa kuweza kubeba jambo hili kijamii tuone maisha yake ya kawaida na kazi zake kama ana uwezo huo..tofauti na hapo ngumu sana...ukweli ni kwamba wengine wataishia kuwa maraisi wa mitandaoni tu lakini ikulu wasahau...
 
Mi kwenye hizi siasa huwa sina chama lakini mara nyingi nasimama na anyeonewa.
Hii post inayomtaja Lissu kuwa hawezi kuwa rais ni post ya kipuuzi kabisa, imejaa chuki dhidi ya Lissu.
Mtoa post ni mpalilia tumbo lake na asiye na uzalendo wowote.
 
Lisu mroho anawaomba wazungu pesa halafu akija Tanzania anataka Watu wamrushie tigo rusha kibaka mkubwa

Hatakiwi kuomba pesa achangiwe anatakiwa asubiri uteuzi akiteuliwa Ndio Chama kiombe tigo rusha account ya chadema sio Simu binafsi ya Lisu au vibaka washirika wake

Lisu protocol Yuko zero kuomba tu ugombea akaomba Watu warushe pesa kwa wakala wake

Watia Nia Wenzie wanajielewa na wanaelewa taratibu za Chadema kasoro yeye

Baraza kuu chadema kuchuja majina angalieni pia obedience ya mgombea kwenye party protocols ni muhimu sababu Kuna methali isemayo anayekumulika na tochi mchana jua linawaka usiku atakuchoma

Lisu kwenye Chadema protocol yuko sifuri Yuko Kama mgombea binafsi ndani ya Chadema akiongea Mimi Mimi Mimi ziko nyingi mno as if yeye Ni self made kuwa chadema sio iliyomjenga!!!! Nyalandu Yuko different ana appreciate mchango wa Mbowe na Chadema kumfikisha alipo walau anaonyesha kuwa I am where I am today because of Mbowe and Chadema
 

Sawa, ushauri wako utafanyiwa kazi, je una maoni mengine?
 
Mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuwa rais ya nchi hii.
Ushasema mwenye akili timamu mtu akidhapata ulemavu wa kiungo hupelekea kuwa na ulemavu wa akili kama alivo Lissu lijamaa ni psycho akwende tu kuwa rais wa wagonjwa kiroho Safi na tunampa baraka zote ila rais wa JMT Hapana kwa kweli mutafute vya kuchezea.
 

Huu upuuzi kawapelekee wapuuzi wenzio wasiojua kuandika kwa ufasaha, ambao wanaweza kuelewa sentesi zisizo na koma, wala nukta.
 
Lisu hata wangekuja mabwana zenu kusimamia, angepigwa chini na magu.
Na nyinyi mlivyo, mtapewa tume mnayotaka, mtapigwa kwenye kura, mtatoa kisingizio, haijawai tokea since multipartism ianze bongo, upinzani kukubali kushindwa, so sababu zitatungwa tu to feed your egos
 

Ni kweli Magufuli anaweza kumshinda Lisu kukiwa na uwanja huru, ila itakuwa ni kwa margin ndogo sana. Wakati huo huo idadi ya wabunge wa upinzani itavuka 1/3, ambayo itakuwa ngumu wabunge wa ccm kupitisha jambo watakalo, na watakavyo kwa njia ya kura bungeni. Na ikitokea kuwe na tume huru ya uchaguzi, unahitaji chaguzi 2 tu ccm kuwa historia.
 
KAMA MTU MWENYE IQ NDOGO KAMA JIWE AMEWEZA KUWA RAISI WA TZ BASI KILA MTU ANAWEZA HATA KINGWENDU,GWAJIMA BASHITE.UKIWA NA UHAKIKA WA KUIBA KURA BASI UNASHINDA UCHAGUZI HIVI NDIVYO TUNAVYOPATA VIONGOZI WETU KARNE YA SAYANSI NA TECHNOLOGIA. FOMULA YA TANZANIA MWIZI WA KURA NDIO ANASHINDA URAISI ,WHAT A SHAME
 
Wewe jamaa una akili sana kuliko binadamu wengi
 
Huu upuuzi kawapelekee wapuuzi wenzio wasiojua kuandika kwa ufasaha, ambao wanaweza kuelewa sentesi zisizo na koma, wala nukta.
Umekuwa mwalimu sasa si ndio acha izo nenda kwenye jukwaa la wahariri linakufaa sana hapa ukileta umama wako unapa za uso saaafi.
 
Kwa maslahi mapana ya nchi BOX la kura is not essential, hata Marekani hawajawahi kulitegemea box la kura, huu ndiyo ukweli mchungu. Urais ni zaidi ya kushinda uchaguzi, hili nalo chungu
 
Kwa maslahi mapana ya nchi BOX la kura is not essential, hata Marekani hawajawahi kulitegemea box la kura, huu ndiyo ukweli mchungu. Urais ni zaidi ya kushinda uchaguzi, hili nalo chungu
Msumari kwenye mfupa mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…