Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

North people mnamsakama sana magufuli na kumtoa kasoro, isitoshe wengi wenu hamuna kauli nzuri sio kwa viongozi wenu wala ninyi raia wakawaida mnategemea nini!!! Ngumu sana ndugu zanguni.

Wasukuma tumeamka hatutaki ujinga.
 
Sio kwamba Chadema ilikufa? Si Chadema chama cha Wachaga? Sacoss ya Mbowe? Hahahhahah dadeeeekk
 
We unavyo vyote lakin hata familia yako haiwez kuchagua kwa lolote[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mm najiulizaga Magufuli ilikuwaje akawa raisi mtu ambae hana break wala staha?
Jichunguze mkuu....kila mtu anamadhaifu
Kinachoangaliwa n strength ziwe nyingi kuliko weakness
 
Kwahiyo aliepo ni kama kingwendu au?

Hawa jamaa zetu wanadharau kupita kiasi, kisa tu "Raisi sio wa ukanda wao" ,,,,lau angekuwa lowassa, mrema au james mbatia ndio raisi wasingetoa maneno ya kashfa kihivyo. Mungu awaongoze aise
 
Kiongozi anaenda kusemelea Mambo ya nchi nchi nyengine.. huyu anatakiwa awekwe vizuri.
Atayaongelea wapi ikiwa hata akiitwa mkutano wa ACT mamlaka ya mawasiliano inaonya sauti yake isisikike
 
Narudia tena kwa mgombea kama lissu kushika dola bado
Badilisha katiba kuwe na tume huru uone,kama JPM,mwinyi,kikwete wameweza huyo lissu atashindwa vipi na ukiona yupo mile 1000 kuzidi hao niliowataja.
 
Ni kweli lakini labda wanafanya kusudi, ili waonekane wana nguvu ya sauti ya kumzidi Rais aliyepo. (sentensi za amri amri na shuruti).
Mtindo wa sauti na maongezi yao unaweza kuifanya jamii kuamini wao wakishika Dora wanaweza kuwa ni madikteta zaidi.

Ili wabadilike inabidi wbadili mbinu za kumuatack Aliyepo,na kushusha Temper kimaongezi hata kama wanaongea.......kitu ambacho...
......
 
Back
Top Bottom