silaha hakushinda.Sifa nzuri sio za kuwaridhisha hao wenye mandate wasiofahamika. Labda ungesema wazi hao wenye mandate ni kina nani, na wanachaguliwaje. Sisi tunajua mtu anapigiwa kura na wananchi, anayeongoza kwa kura ndio mshindi. Na hivyo ndio inavyopaswa kuwa, na sio kwa maamuzi ya kikundi kisichofahamika uwepo wake. Kama tatizo la hicho kikundi ni Tundu Lisu. 2010 alikuwa Slaa, mbona hicho kikundi hakikumtangaza? Ni kwanini hicho kikundi kiipendelee tu CCM, na Sio kinyume chake?
Haina maana kujificha kwa staili ya mbuniLumumba project kazini. Na mtaanzisha thread nyingi sana mwaka huu, ila ndo ivyo Tundu Antipas Lisse ni chaguo la wananchi na kama Mungu alivyomuepusha na kifo kwenye hila zenu mbaya ndivyo hivyo anaenda kumpa uraisi mwaka huu wa Tanzania.
Eti system haiwezi kukubali!! Hao vijana wenu mnaowatoa uvccm na kuwaingiza usalama wa Taifa ndo mnasema system.
Eti kuna misimamo ya Taifa,Magufuli mwenyewe kaenda tofauti na msimamo wa CCM na Sera zake kaiunga mkono Morroco ambao walipingwa na CCM na Baba wa Taifa miaka yote.
Sikiliza nikwambie mtu yeyote anaweza kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano kikubwa akidhi matakwa tu ya watanzania na katika hili TUNDU ANTIPAS LISSU amekidhi vigezo vyote.
Unaijua vizur N A M?Lumumba project kazini. Na mtaanzisha thread nyingi sana mwaka huu, ila ndo ivyo Tundu Antipas Lisse ni chaguo la wananchi na kama Mungu alivyomuepusha na kifo kwenye hila zenu mbaya ndivyo hivyo anaenda kumpa uraisi mwaka huu wa Tanzania.
Eti system haiwezi kukubali!! Hao vijana wenu mnaowatoa uvccm na kuwaingiza usalama wa Taifa ndo mnasema system.
Eti kuna misimamo ya Taifa,Magufuli mwenyewe kaenda tofauti na msimamo wa CCM na Sera zake kaiunga mkono Morroco ambao walipingwa na CCM na Baba wa Taifa miaka yote.
Sikiliza nikwambie mtu yeyote anaweza kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano kikubwa akidhi matakwa tu ya watanzania na katika hili TUNDU ANTIPAS LISSU amekidhi vigezo vyote.
silaha hakushinda.
af sio kikundi kama unavyosema ila ni officers walosomea kile ambacho sio kila mtu anasoma
Kazi yao ni kufanya mema kwa maslahi ya taifa hili kwa kiapo
technically hawapo chini ya yeyote yule
Unaijua vizur N A M?
nikwamba huu uzi umewazidi akili au?
Ni hivi, Magufuli hawezi ushindani wa kisiasa na hatakaa aweze. Hizi nyimbo zenu ni baada ya kujua Magufuli hataweza kushindana na Lissu kwa hoja, hivyo mnaanza kutengeneza mazingira ya Lisu kutokugombea. Kama nchi hii ingekuwa na hizo sifa za uhakiki, basi JK au Magufuli mwenyewe wasingekuwa marais wa nchi hii. Tunasema hivi, tunataka tume huru ya uchaguzi kwa amani, ili mshindi halali ndio atangazwe, tumechoka kuongozwa kwa shuruti na ccm.
Hao ambao unawasema "hatuwezi kuongozwa na Raisi mbeambea, Rais asieweza kusimama peke yake katika maamuzi" ni nani hasa, maana umeshasema "Lisu akishinda uchaguzi na CCM kuamua kukubali kushindwa na ku back down" sasa wanaobaki na kuunda system baada ya CCM kukubali ushindi wa Lisu ambao atakuwa amepewa na wananchi wengi waliomkubali, hao wanaobaki watakuwa nani, tuambie.Wakuu nawasalimu,
naomba muelewe kitu kimoja kuwa sio kila mtu anaweza kuwa raisi wa JMT hili mliweke akilini. Kwa ufupi tuu hata kama Lissu akishinda uchaguzi na CCM kuamua kukubali kushindwa na ku backdown 'system haiwezi kumkubali Lissu abadani... vyovyote itavyokua.
hatuwezi kuongozwa na Raisi mbeambea, Rais asieweza kusimama peke yake katika maamuzi.
Shida ya mada za wasio jielewa unapoteza hata appetite ya lunch kwani ni kama umeona kitu kichafu cha kinyaa. Hii thread yahusikakwa maslah hayohayo ya taifa lisu hawezi kua raisi hata kwa siku1
ndio ccm ilishindwa kumnunua ila mabeberu waliweza tena kwa kujipeleka mwenyewe sokoni..
ni vile tuu taasisi ya uraisi imeshuka heshma miongoni mwetu lakini trust me haijashuka heshma kwe mfumo hata chembe
Kwanza Nyerere hakujua kwamba kuna N. A. M???Unaijua vizur N A M?
nikwamba huu uzi umewazidi akili au?
Naunga mkono hojaLisu akuna wakuweza kumzuia kugombea isipokua chama chake.
nani aljua ccm ingempitisha JPM na sio lowasa au membe?
tuelewane pale linapokuja swala la kiinchi lazima watu wenyeakili na walopewa mandates kusimama Ustawi wa nchi wafanye uhakiki hii aijalishi mgombea anatoka wapi.
embu kasome sheria(na marekebisho yake) ilokianzisha hicho kikundi kama unavokiitaKwani officers sio kikundi? Ni kwanini wasiwe wazi tuwajue na mienendo yao, kama kweli wako kwa maslahi ya taifa hili? Hicho kikundi ni kikundi cha wahuni wachache, waliopo kwa maslahi ya ccm. Slaa hakushinda, tunaamini vipi wakati unasema baraka zinatoka kwa hicho kikundi? Na kwa haraka haraka hicho kikundi ni cha wanaccm. Iko siku mtaiingiza hii nchi kwenye machafuko, kwa kuwa na kikundi kinachoagiza chaguzi za nchi zinajisiwe kwa maslahi ya ccm.