Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

Ww kama ww utauonaje wakati unakupa maisha? Kwa taarifa yako hata Iddy Amin pamoja na mauaji yote aliyoyafanya, alikuwa na wapambe kama ww ambao waliona kuwa alikuwa sawa, na walikuwa wanasema kabisa kuwa ananyoosha nchi.
to be honest sioni ukabila tanzania hata udicteta pia
lakini ni sawa maana hatuwezi kufikiri the same ausio broh
 

Ujinga wa namna hii ndio chanzo kikuu cha umasikini na maradhi yetu!! Huoni kuna haja ya hivyo vyombo kuweka hadharani maoni yao huu ya Lissu ili aondolewe???

Kwa kuwa haujui hili, ngoja nikufahamishe. Katiba ndio inaweza kueleza nani asigombee cheo gani kwa sababu zipi. Kama unasema vyombo vya usalama havimtaki na vinaweza kuasi, hilo ni jambo lingine. Ndio maana wakuu wa vyombo hivo au huondolewa au kuendelea baada ya kiongozi mpya kuingia. Anayekuwa madarakani ndio anatoa mwelekeo wa namna gani vyombo hivo vitafanya kazi. Mawaziri na wakuu wengine huondoshwa au kubadilishwa.

Unachothibitisha hapa bila kufahamu, ni kuwa vyombo vya usalama vinahusika na kutaka kumwondoa Lissu kwa kuwa havimkubali??? Viliamrishwa??

Una haki ya kumchukia Lissu na hata kutomchagua. Hauna haki ya kumnyang’anya haki zake za kiraia isipokuwa kama atakuwa amehukumiwa na mahakama au hakidhi vigezo vya nafasi anazoziomba.

Haki hujenga taifa!!
 
Sema umechoka wewe siyo tumechoka!! Acha kutusemea wewe bwana mdogo!

Tumechoka mimi na mke wangu, ndio maana nimetumia wingi. Au ulitakaje labda?
 
Akichaguliwa na watanzania ujue kuwa anafaa kuwa Rais, nchi yenye zaidi ya wananchi milioni 50 hawezi wakamchagua Lissu halafu kichwa kimoja tu, ndicho kikajiona kuwa kina akili kwa kumuona Lissu hafai kuwa Rais kuzidi mamilioni ya watanzania waliomchagua Lissu.
 
Walio mshambulia Lisu ndo wazalendo
 
Katika watu ambao CCM hawataki kabisa itokee kuwa ndiye mtu atakayeaminiwa kuwa mpeperusha bendera wa CDM ktk kinyang'anyiro cha nafasi ya uraisi, basi mtu huyu ni Tundu Lissu. Wanajaribu kufanya kila lile wawezalo ili jambo hilo lisitokee.

Hofu kubwa yao juu yake inaotokana na ujengaji mkubwa wa hoja, uadilifu na weledi wake, uelewa wake mpana wa mambo wa kitaifa na kimataifa, kuaminika na kuuzika kirahisi mbele ya umma wa Watanzania, uzalendo wa kweli usiokuwa na shaka yoyote ile, kutokuwa na kashfa yoyote ile ya wizi wa mali za umma ama ufisadi. Huyu ni "charismatic leader". Vitu ambavyo anampita kwa mbali sana mgombea wao.
 
hii posti yako imenilenga mimi?
Bila shaka unajua hakuna shujaa alie hai

shkamoo mzee wangu
Najua topiki uliyoleta hapa itakutana na warusha kokoto wengi sana. Sijasoma huko nyuma kama umeshapata kokoto ngapi, labda kama manati yao yamelegea kwa sasa, lakini watarudi tu.
 
.. 'kuweza kuwa raisi' siyo 'kuwa raisi', ni kutekeleza matakwa ya wanaichi kwa mjibu wa sheria za nchi.
 
CCM hakuna msafi wote wana madhambi yao na ndicho kilimpelekea mtukufu kuipiga marufuku mikutano ya siasa akihofia madhaifu yao kuaniwa hadharani kweupe
 
Rubbish, Magufuli anafanya nini ambacho Kingwendu hawezi kukifanya?
 
ujinga na maradhi yako hayajaletwa na serkali

pambana aslong as unaelimu
 
sawa subirini uchaguzi
 
Najua topiki uliyoleta hapa itakutana na warusha kokoto wengi sana. Sijasoma huko nyuma kama umeshapata kokoto ngapi, labda kama manati yao yamelegea kwa sasa, lakini watarudi tu.
usipate shida mzee wangu nnawamudu hawa
ingawa naona wameanza kutukana na kunihusisha na ccm
kiujumla hawana madhara
 
Raisi wa taifa huandaliwa na nani? Systeme ipi haiwezi kumkubali? Kama hayo ulosema yapo kwa nini msiwaandae mapema na systeme imkubali mapema kuliko kuwaacha watu wakapoteza gharama zao mwisho wa siku akishinda hamumpi madaraka?
 
Fafanua taasisi ya urais imeshuka aje?na ni nani kaishusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…