Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
No research no right to speak. Usiipake serikali matope wakati huna facts.Uthibitisho watapewa CCM wenye Akili wewe mvuta Bangi endelea kusumbua watu mitandaoni
Sio Ccm hii inayowafanyia mema watanzania. We subiri JNHPP ikamilike alafu utumie umeme uliozalishwa na Ccm.ipo siku Tanzania itaisahau CCM na kuwa chama cha upinzani
Well, huu ni mjadala mkubwa sana.Matusi gani hayo? Manake sikuhizi hata uzalendo umebadikishwa maana Yake. Lakini pia huwa tunasikia matusi ya viongozi kwa wanao waongoza,au hayo huwa huyasikii?
Nakuunga mkono chief![emoji16][emoji16] hata akitaka kua raisi wa tff au wa bank flan anaweza ila sio raisi wa JMT na hatakua, teyari anadoa litalomzuia kua raisi wa JMT
Tokea lini wewe Minyoo ukawa na akili? Kichwa kimejaa minyoo kama Idd Amin.Uthibitisho watapewa CCM wenye Akili wewe mvuta Bangi endelea kusumbua watu mitandaoni
Sema mgombea wako sio wenu.Kifupi jiandae tu kisaikolojia Lisu ndani ya chadema hapitishwi.Mark my words
Nipo tumboni mwako kila kona nimekutia njaa wewe changudoa mpaka sasa unagawa mwili wako kusaka uteuzi, changudoa gani huna hata mwelekeo kwa kuwa umeamua twende na ufala wako nitakunyoosha mpaka upate mimba yenye HIV , eti CCM wanakutegemea uwatetee mitandaoni? CCM wamekosa watu mbaka wakaamua kukutumia wewe mbweha?Tokea lini wewe Minyoo ukawa na akili? Kichwa kimejaa minyoo kama Idd Amin.
haina maana kujificha kwa style ya mbuniWewe ni nani hadi UHITIMISHE kwamba Lissu hawezi kuwa Rais? Huo utafiti wako uliufanyia wapi na sample yako ilikuwa na ukubwa gani? Acha kuja na dhana potofu bila ya kuwa na CONCRETE EVIDENCE ya UPUUZI wako.
Hivi siwezi kulike mara2Wakuu nawasalimu,
Naomba muelewe kitu kimoja kuwa sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT hili mliweke akilini. Kwa ufupi tuu hata kama Lissu akishinda uchaguzi na CCM kuamua kukubali kushindwa na ku backdown 'system haiwezi kumkubali Lissu abadani... vyovyote itavyokua. Hatuwezi kuongozwa na Rais mbeambea, Rais asieweza kusimama peke yake katika maamuzi.
Rais huandaliwa na kuchunguzwa uadilifu wake kwa nchi yake, nikimuangalia Lissu sioni akiwa na sifa hiyo hata robo
bora Membe, Maalim hata Mbowe. Hawa wana uadilifu kwa nchi yao kuliko Lissu
Kama nilivyosema huu ni ukweli mchungu kwa wafuasi wake ila ni bora mkajua mapema kabisa!!
Pia naomba mjifunze historia ya nchi hii nzuri, mjifunze misingi ya uendeshaji wa nchi hii nzuri pia mjifunze sera mbalimbali zinazotumika kitaifa na kimataifa za nchi hii nzuri.
haina maana kujificha kwa style ya mbuni
Jipe moyo kwenye hamna
kama nilivyo sema huu ni ukweli mchungu ila hamna budi kuuzoeaToa ujinga wako kutuletea upuuzi humu halafu ukiulizwa maswali unaruka ruka huku na kule kama kicheche.
kama nilivyo sema huu ni ukweli mchungu ila hamna budi kuuzoea
siku mkituletea mtu mwadilifu kwa taifa lake mnaweza kutoa upinzani kwa chama tawala lakini mkiendelea hivi mtaishia kulalama tuu
Hivi ni vetting ipi ilifanyikanacdm 2015, ni vetting ipi itafanyika na act 2020. Ccm tu ndo wana utaratibu unaoelewekaUraisi mtu lazima afanyiwe vetting ya nguvu awe CCM au Upinzani .Sababu kugombea Ni kutaka vyombo vya dola viwe chini yake .Haviwezi kukubali kuwa chini ya mtu ambaye vetting ripoti yake mbaya .Vitaiba au kukimbia hata na masanduku ya kura au kumtangaza wanayemuona anafaa hata Kama hakushinda
Lisu vetting report yake ya vyombo vya dola bila Shaka hahitaji kuambiwa anaijua vizuri
Maeneo yote, atafanya atakalo yeye.be specific hazibitiki eneo gani?