Ukweli mchungu: M/kiti CCM taifa wanachama wengi hawakupendi

Mama namtabiria kuwa baada ya miaka mitatu ijayo atakuja kuwa kipenzi cha watu sana,

Nimeona watu wameanza kukubaliana na hali ya usafi mijini yale mabanda yaliharibu miji kwa kweli.

Ni suala la muda tu,kinachomuangusha ni mbowe kuwa ndani bila kosa.

Naota tu.
 
Umezungumza vizuri mwanzo ila mwisho umekuja kuharibu ulipotaja jina la mtu aonewe huruma apo tu baada ya kuweka maslahi ya taifa mbele kwanza umeweka yako binafsi na vyama vya siasa
Kuna kesi nyingi za uonevu ila ya mboe ni kielelzo ndo mana nimeitumia kama msisitizo.
Pia sijazungumzia mlengo wa kisiasa wa vyama Bali siasa kama mfumo wa maisha.

Ukifuatilia mwanzoni mwa mama niliandika nyuzi nyingi kumpongeza na kumtia moyo so Mimi sivyo unavyo nifikiria
 
Ni mzito kwenye kukemea mabaya
 
T
PALE TIMU MWENDAZAKE NA CHADOMO WANAPOUNGANA KUTUSEMEA SISI WATANZANIA TUNAOMPENDA RAIS WETU,SONGA MBELE MH.RAIS...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…