Ukweli mchungu: M/kiti CCM taifa wanachama wengi hawakupendi

Ukweli mchungu: M/kiti CCM taifa wanachama wengi hawakupendi

Mama namtabiria kuwa baada ya miaka mitatu ijayo atakuja kuwa kipenzi cha watu sana,

Nimeona watu wameanza kukubaliana na hali ya usafi mijini yale mabanda yaliharibu miji kwa kweli.

Ni suala la muda tu,kinachomuangusha ni mbowe kuwa ndani bila kosa.

Naota tu.
 
Umezungumza vizuri mwanzo ila mwisho umekuja kuharibu ulipotaja jina la mtu aonewe huruma apo tu baada ya kuweka maslahi ya taifa mbele kwanza umeweka yako binafsi na vyama vya siasa
Kuna kesi nyingi za uonevu ila ya mboe ni kielelzo ndo mana nimeitumia kama msisitizo.
Pia sijazungumzia mlengo wa kisiasa wa vyama Bali siasa kama mfumo wa maisha.

Ukifuatilia mwanzoni mwa mama niliandika nyuzi nyingi kumpongeza na kumtia moyo so Mimi sivyo unavyo nifikiria
 
Mama namtabiria kuwa baada ya miaka mitatu ijayo atakuja kuwa kipenzi cha watu sana,

Nimeona watu wameanza kukubaliana na hali ya usafi mijini yale mabanda yaliharibu miji kwa kweli.

Ni suala la muda tu,kinachomuangusha ni mbowe kuwa ndani bila kosa.

Naota tu.
Ni mzito kwenye kukemea mabaya
 
T
Asalaam Aleykum Mh. M/kiti,

Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla.

Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako unatoka kwa Allah na si kikundi cha watu wanafiki.

Mh. Wewe ni muislam nadhani unafahamu dua ya wanyonge Allah anavyoguswa nayo kuliko ya asiye haki.

Nikueleze ukweli CCM wenzako hawa wanachama ambao wengi ni RAIA hawana mapenzi na wewe isipokuwa ya kulazimishwa au kwakuwa wanamazoea na CCM watapata wapi bahasha.

Wengi wanakusema vibaya nje ya vikao vyenu, nje ya kamera mpaka wakiwa vyumbani mwao.

Mh. Haya mapambio ya watu maarufu na wanasiasa wenzako unayoyasikia SAA hivi ukiondoka ndo utakuwa uliwashibisha ili wake wajisaidie usoni kwako... M/kiti shtuka jifunze kwa mtangulizi wako.

Ushauri:
1. Kuwa mwepesi kukemea haraka dhulma zidi ya wananchi. Mfano madhila kwa wamachinga, mauaji yanayotokea mikononi kwa polisi, mfumuko wa bei nk.

2. Shauriana na DPP uondoe kesi inayotia aibu serikali yako aliyozushiwa Mboye usidhani ukimkazia Mboye ndo utatisha na kuogopewa. Si kweli kwasababu Allah alichokupa ni kikubwa ndo mana akakutunuku urais. Mtangulize yeye ili ukuepushe na wanafiki wanaokushauri mabaya.

Kumbuka kwa Tanzania hii hatutofautishwi na vyama eti kusema ukimkandamiza mpinzani wanachama wako watafurahia. Hii kesi hadi CCM wenzako hawaitaki.

3. Badilisha viongozi nyeti waliokuwa wakiendesha dhulma na kila aina ya maonevu hapo awali.

4. Wajibisha wateule wako wanaokwenda vibaya na matarajio yako.

5. Sikiliza wananchi sio kusema eti ufanye usifanye tutasema huko ni kujitia upofu maana sisi ndo wsnye nchi.

6. Jifunze kutoka kwa JK mentor wako alikuwa very positive kwenye kukosolewa hakuruhusu kutumia vyombo vyake kuzuia watu wasitoe maoni yao ama mitazamo yao na haikumzuia kufanya kazi yake.

Ni hayo mama Mh. M/kiti bado nafasi unayo kwa sababu urais wako wako ulilete tabasamu si Tanzania nzima Bali dunia nzima hivyo una msingi mzuri achana na nao wachache wanaokutisha ama kukudanganya wewe ni RAIA jembe unavyoweza kuaminika kwa kuitetea Tanzania na kusogeza mbele kweli kweli.
PALE TIMU MWENDAZAKE NA CHADOMO WANAPOUNGANA KUTUSEMEA SISI WATANZANIA TUNAOMPENDA RAIS WETU,SONGA MBELE MH.RAIS...!
 
Back
Top Bottom