Ukweli mchungu: M/kiti CCM taifa wanachama wengi hawakupendi

Punguza kidomodo chako kwani yeye kawaambia anawependa!!?
 
Mkuu huogopi kesi wewe?
nitakupa kesi ya uhujumu uchumi kuwa ulitaka kuua wanyama wote wa ngorongoro😂
 

Acha kupotosha jamii wewe…
 
Acha kupotosha jamii wewe…
Wewe ndio mpuuzi na mpotoshaji,layman afu unajifanya kunyanyua Domo unaropoka ujinga ..

Unapozungumzia mfumuko wa bei unazungumzia Nchi kama hizi hapa chini,Tzn tuko level hiyo?👇























 
Ni mzito kwenye kukemea mabaya
Mama sio mkali.

Wamama katika uongozi wao huwa wanasifika kwa kutokuwa wezi,.

Kafundishwa kidini mwanaume huwezi kuthubutu kumkemea,saa amekutana na manyan,gau ndo mashauri yake,yanampotezaje sasa ili tu yampige chini 2025.
 
Hatuwezi kubishana na mawazo yako mkuu.
 
Uzi umetulia
 
Bora umemwambia mapema,tunamchukia saaana ila tunamchekea kwa nje maana Kuna kitu tunahitaji
 
Apendwe alichaguliwa nani?
An accident president
Amalize aende zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…