The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Nakwambia huna akili,hapo umeona nchi za Ulaya tuu? Hata kama ni za Ulaya inflation ni ile ile tena Bora huku ambako sehemu kubwa ya uchumi ni informal..Unajilinganisha na Muingereza wewe MAGAZIJUTO…
Tupe uhusiano wa kukua kwa uchumi na inflantion kwa nchi yako yenye viwanda viwili vyakutengeneza juisi

Asalaam Aleykum Mh. M/kiti,
Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla.
Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako unatoka kwa Allah na si kikundi cha watu wanafiki.
Mh. Wewe ni muislam nadhani unafahamu dua ya wanyonge Allah anavyoguswa nayo kuliko ya asiye haki.
Nikueleze ukweli CCM wenzako hawa wanachama ambao wengi ni RAIA hawana mapenzi na wewe isipokuwa ya kulazimishwa au kwakuwa wanamazoea na CCM watapata wapi bahasha.
Wengi wanakusema vibaya nje ya vikao vyenu, nje ya kamera mpaka wakiwa vyumbani mwao.
Mh. Haya mapambio ya watu maarufu na wanasiasa wenzako unayoyasikia SAA hivi ukiondoka ndo utakuwa uliwashibisha ili wake wajisaidie usoni kwako... M/kiti shtuka jifunze kwa mtangulizi wako.
Ushauri:
1. Kuwa mwepesi kukemea haraka dhulma zidi ya wananchi. Mfano madhila kwa wamachinga, mauaji yanayotokea mikononi kwa polisi, mfumuko wa bei nk.
2. Shauriana na DPP uondoe kesi inayotia aibu serikali yako aliyozushiwa Mboye usidhani ukimkazia Mboye ndo utatisha na kuogopewa. Si kweli kwasababu Allah alichokupa ni kikubwa ndo mana akakutunuku urais. Mtangulize yeye ili ukuepushe na wanafiki wanaokushauri mabaya.
Kumbuka kwa Tanzania hii hatutofautishwi na vyama eti kusema ukimkandamiza mpinzani wanachama wako watafurahia. Hii kesi hadi CCM wenzako hawaitaki.
3. Badilisha viongozi nyeti waliokuwa wakiendesha dhulma na kila aina ya maonevu hapo awali.
4. Wajibisha wateule wako wanaokwenda vibaya na matarajio yako.
5. Sikiliza wananchi sio kusema eti ufanye usifanye tutasema huko ni kujitia upofu maana sisi ndo wsnye nchi.
6. Jifunze kutoka kwa JK mentor wako alikuwa very positive kwenye kukosolewa hakuruhusu kutumia vyombo vyake kuzuia watu wasitoe maoni yao ama mitazamo yao na haikumzuia kufanya kazi yake.
Ni hayo mama Mh. M/kiti bado nafasi unayo kwa sababu urais wako wako ulilete tabasamu si Tanzania nzima Bali dunia nzima hivyo una msingi mzuri achana na nao wachache wanaokutisha ama kukudanganya wewe ni RAIA jembe unavyoweza kuaminika kwa kuitetea Tanzania na kusogeza mbele kweli kweli.
Akija kukumbuka shuka, kumekucha
We Baki na itikadi zako wenzako wanakula keki ya taifa... Sis tunakupigania wewe na uzao wakoumeanza vizuri nikawa nakusoma nilipofika namba 2 shauriana na dpp kuondoa kesi ya mbowe nikajua kumbe kumbe huyu chaggadema. nimekudharau
Hainishtui wala kubadilisha fact.... Hao wanapambania matumbo na si vingnevyoWanachama wa wapi hao? Leo wamepitisha jina la Spika pendekezo la Mwenyekiti na atachaguliwa sijui wewe unawazungumzia wanachama wa nyumba yako labda
View attachment 2103279
Wewe uache kupambania tumbo lako upambanie marehemu,una wazimu?Hainishtui wala kubadilisha fact.... Hao wanapambania matumbo na si vingnevyo
Hays mausomi yenu ndo yanatuharibia nchi fanyeni yoote mwishoe wananchi tunataka matokeoNakwambia huna akili,hapo umeona nchi za Ulaya tuu? Hata kama ni za Ulaya inflation ni ile ile tena Bora huku ambako sehemu kubwa ya uchumi ni informal..
Hiyo ni topic ,Rudi darasani kusoma economics ndio utaelewa,huenda neno inflation linakuchanganya..
Narudia tena kukueleza inflation sio tatizo kuubwa kwenye uchumi na in fact ni kitu kizuri isipokuwa tuu ina erode welfare ya watu maskini but kama unafanya Kazi pesa Unapata wala sio shida..
Uchumi wa Uturuki unakua kwa 9% lakini inflation ni 40% 😝😝.
Marehemu bb ako?Wewe uache kupambania tumbo lako upambanie marehemu,una wazimu?
Mie nimemuona mbowe ndo lilikuwa lengo lako.Asalaam Aleykum Mh. M/kiti,
Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla.
Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako unatoka kwa Allah na si kikundi cha watu wanafiki.
Mh. Wewe ni muislam nadhani unafahamu dua ya wanyonge Allah anavyoguswa nayo kuliko ya asiye haki.
Nikueleze ukweli CCM wenzako hawa wanachama ambao wengi ni RAIA hawana mapenzi na wewe isipokuwa ya kulazimishwa au kwakuwa wanamazoea na CCM watapata wapi bahasha.
Wengi wanakusema vibaya nje ya vikao vyenu, nje ya kamera mpaka wakiwa vyumbani mwao.
Mh. Haya mapambio ya watu maarufu na wanasiasa wenzako unayoyasikia SAA hivi ukiondoka ndo utakuwa uliwashibisha ili wake wajisaidie usoni kwako... M/kiti shtuka jifunze kwa mtangulizi wako.
Ushauri:
1. Kuwa mwepesi kukemea haraka dhulma zidi ya wananchi. Mfano madhila kwa wamachinga, mauaji yanayotokea mikononi kwa polisi, mfumuko wa bei nk.
2. Shauriana na DPP uondoe kesi inayotia aibu serikali yako aliyozushiwa Mboye usidhani ukimkazia Mboye ndo utatisha na kuogopewa. Si kweli kwasababu Allah alichokupa ni kikubwa ndo mana akakutunuku urais. Mtangulize yeye ili ukuepushe na wanafiki wanaokushauri mabaya.
Kumbuka kwa Tanzania hii hatutofautishwi na vyama eti kusema ukimkandamiza mpinzani wanachama wako watafurahia. Hii kesi hadi CCM wenzako hawaitaki.
3. Badilisha viongozi nyeti waliokuwa wakiendesha dhulma na kila aina ya maonevu hapo awali.
4. Wajibisha wateule wako wanaokwenda vibaya na matarajio yako.
5. Sikiliza wananchi sio kusema eti ufanye usifanye tutasema huko ni kujitia upofu maana sisi ndo wsnye nchi.
6. Jifunze kutoka kwa JK mentor wako alikuwa very positive kwenye kukosolewa hakuruhusu kutumia vyombo vyake kuzuia watu wasitoe maoni yao ama mitazamo yao na haikumzuia kufanya kazi yake.
Ni hayo mama Mh. M/kiti bado nafasi unayo kwa sababu urais wako wako ulilete tabasamu si Tanzania nzima Bali dunia nzima hivyo una msingi mzuri achana na nao wachache wanaokutisha ama kukudanganya wewe ni RAIA jembe unavyoweza kuaminika kwa kuitetea Tanzania na kusogeza mbele kweli kweli.
Hao wengine taja wewe!!Mie nimemuona mbowe ndo lilikuwa lengo lako.
Kwani ni wangapi wanaozushiwa kesi yaani wewe mahabusu ama magereza zote watu wamesingiziwa wamebaka ama wamewekewa bangi mfukoni,marisasi wamekamatishwa umemuona mbowe tu mkuu.
Na hao wengine kumbukaa wanaoza Kama mbowe atakavyooza aama Kama sie Mana hatuwezi jua idadi za hair yetu
So Kama unapenda haki usiwe biased
Walimpenda zaidi mtangulizi wakeAkipendwa na Polisi inatosha
Uwezo gani?? Huo ni ushauri toHuu utafiti wako ni mzuri sana nimeupenda, ila badilisha ni mwenyekiti wa ccm wa kijiji chenu na sio taifa,huna uwezo huo.
Mwandishi yuko vizuri sanaYAANI MAWAZO YAKO UNAFANYA KAMA MAWAZO YA KILA MTU? KWELI HIYO DISH LAKO LIMEYUMBA SANA
Alishauriwa eti Ili ashinde kilaini 2025 kwanza amfunge mbowe. Na chadema ife,
Alafu eti Wawanunue ACT ambao ni yesman ndo washiriki kuhalalisha uchaguzi 2025 mama Apite kwa ulaini. Waendelee kuitafuna nchi
Saikologisti 100%Asalaam Aleykum Mh. M/kiti,