Ukweli mchungu: Mayele bado ana miss kitu kimoja kikubwa sana!! Ndicho kinacho fanya Kibu Dennis aonekane bora kuliko Mayele

Yaani unamlinganisha kibu na Mayele? Huyu huyu Mayele anaye trend

Nyumba za ibada
Mitaani
Bungeni
Ndani na nje ya nchi...

Usitutanie bwana...
 
Mayele ana miss " Njaa" . N jaa ya kutaka kufun ga magoli mengi ndani ya mechi moja. Mayele akifunga goli moja kwenye mechi huwa anaridhika kabisa na huwa haonekani kama ana nia au lengo la kuongeza goli la pili kitu ambacho kinampunguzia credit ya kuwa striker anaehitajika katika mpira wa sasa hivi. Mayele huwa anakuwa na njaa kali sana akiwa hajafunga goli lakini akisha funga tu anakuwa hana njaa tena ndio maana anaweza kufunga goli moja na akakosa magoli mengine ya wazi manne au hata zaidi ya hapo.

Kwa mfano kwenye mechi nyepesi kama ya Yanga vs Mbeya Kwanza kwa fowadi mwenye uchu , kiu na njaa ya magoli kama Kibu Dennis angeweza kupiga hat trick bila wasiwasi wowote lakini hilo haliwezekani kwa Mayele kwa sababu hana njaa.

Meddie Kagere wakati wa ufalme wake alikuwa na njaa ya magoli ndio maana alikuwa anafunga magoli matatu au mawili karibu kila mechi nyepesi na mastraika wote duniani wanao ongozaka kwa wingi wa magoli huwa wanafunga magoli mengi kwenye mechi nyepesi " Score more goals in all easy game"

Kibu Dennis ana magoli manane ( ya kwenye ligi ) na alikuwa majeruhi plus bench kwa muda mrefu, hajacheza zaidi ya nusu za mechi z a Simba walizo cheza. Kama Kibu angecheza mechi zote kama alivyo cheza Mayele pengine sasa hivi angekuwa na goli 18 +.

It is high time now benchi a ufundi la Yanga waanze kumtrain Mayele kuwa na njaa ya kufunga magoli mengi ndani ya mechi moja sio unafunga kagoli kamoja tu unaridhika then unawekwa benchi.

Hata Makambo kwangu mimi ni bora kuliko Mayele kwa sababu ana njaa ya kufunga magoli mengi ndani ya mechi moja., Amesha fanya hivyo kwa kupiga hat trick kwenye FA. Tunataka kuwa na fowadi mwenye mentality ya aina hii.

Kwenye kikosi changu ukiniambia nimpange Kibu au Mayele nitaenda na Kibu without a doubt.

# Mimi ni mwanacha wa klabu ya Yanga, amabe nimekuwa disappointed na Mayele kuridhika baada ya kufunga goli moja kwenye mechi ya jana.
Hivi simba na mbeya kwanza hii game ya kufungia ligi Kibu hakucheza?? Kama alicheza mwenye matokeo utusaidie ili huu utata tuumalize
 
Kibu aendelee kuwepo?
 
.
 
Tate Mkuu. ukikaidi utapigwa2 kumbe kulikuwa na uzi mwingine wa Mayele vs Kibua
Ila kuna watu wanatakiwa kumuomba msamaha Fiston Mayele, kwa kumlinganisha na mchezani kama Kibu Denis.

By the way, Mayele ameimarika sana ndani ya hii miaka miwili. Mwanzoni alikuwa ni mshambuliaji wa kufunga magoli ya kushtukiza. Yaani anaweza asiguse mpira kwa muda mrefu uwanjani, halafu akipata nafasi moja tu anafunga.

Ila Mayele wa siku hizi, ana uwezo wa kuchambua mabeki! Ana uwezo wa kuwatimulia vumbi na wasimkute! Anafunga! Anatoa assist!!

Kiukweli Mayele wa sasa amekamilika kila idara. Na katika hili, waliomsajili wanastahili pongezi.
 
Mwanzo nilimfatilia Mayele kipindi anasajiliwa Yanga kuna clip flani hivi anawachsmbua wachezaji kama watano huko Congo then akapiga bao moja maridadi Sana. Nilipoiona Ile clip nilitabasamu tu moyoni nikasema ipo siku watatubu!
Alikuja kufanya hivo mara kadhaa kwenye ligi kuu Lakini kwakua watu hua wanabeza timu za bongo bado nikasema ipo siku watatubu!
Jana msouth kakimbizwa Kwa staili ya kipekee then Jamaa Katoa Pasi maridadi sana Kwa Kenny Musonda (Ile ndo assist Bora Sana ya mashindano) Naye Kenny hakumuangusha kapiga Goli matata...
Aisee Hadi mwanasimba wenyewe Banda umiza walisema "hakika Mayele ni balaa"

Naaam kosa kubwa alilifanya Langa chivaviro kufunga Goli lake la sita Sawa na king fiston. Hilo Goli ndo litatupa kombe kwani naamini lazima Mayele atafunga Goli ili awe top scorer wa michuano...

Tukutane Fainali...
 
Mayele ana miss " Njaa" . N jaa ya kutaka kufun ga magoli mengi ndani ya mechi moja. Mayele akifunga goli moja kwenye mechi huwa anaridhika kabisa na huwa haonekani kama ana nia au lengo la kuongeza goli la pili kitu ambacho kinampunguzia credit ya kuwa striker anaehitajika katika mpira wa sasa hivi. Mayele huwa anakuwa na njaa kali sana akiwa hajafunga goli lakini akisha funga tu anakuwa hana njaa tena ndio maana anaweza kufunga goli moja na akakosa magoli mengine ya wazi manne au hata zaidi ya hapo.

Kwa mfano kwenye mechi nyepesi kama ya Yanga vs Mbeya Kwanza kwa fowadi mwenye uchu , kiu na njaa ya magoli kama Kibu Dennis angeweza kupiga hat trick bila wasiwasi wowote lakini hilo haliwezekani kwa Mayele kwa sababu hana njaa.

Meddie Kagere wakati wa ufalme wake alikuwa na njaa ya magoli ndio maana alikuwa anafunga magoli matatu au mawili karibu kila mechi nyepesi na mastraika wote duniani wanao ongozaka kwa wingi wa magoli huwa wanafunga magoli mengi kwenye mechi nyepesi " Score more goals in all easy game"

Kibu Dennis ana magoli manane ( ya kwenye ligi ) na alikuwa majeruhi plus bench kwa muda mrefu, hajacheza zaidi ya nusu za mechi z a Simba walizo cheza. Kama Kibu angecheza mechi zote kama alivyo cheza Mayele pengine sasa hivi angekuwa na goli 18 +.

It is high time now benchi a ufundi la Yanga waanze kumtrain Mayele kuwa na njaa ya kufunga magoli mengi ndani ya mechi moja sio unafunga kagoli kamoja tu unaridhika then unawekwa benchi.

Hata Makambo kwangu mimi ni bora kuliko Mayele kwa sababu ana njaa ya kufunga magoli mengi ndani ya mechi moja., Amesha fanya hivyo kwa kupiga hat trick kwenye FA. Tunataka kuwa na fowadi mwenye mentality ya aina hii.

Kwenye kikosi changu ukiniambia nimpange Kibu au Mayele nitaenda na Kibu without a doubt.

# Mimi ni mwanacha wa klabu ya Yanga, amabe nimekuwa disappointed na Mayele kuridhika baada ya kufunga goli moja kwenye mechi ya jana.
andr

@Andriz

@Andriz na @kelphine hebu mje kuona kumbe kuna jina lingine tulilisahau huku.
 
Mwanzo nilimfatilia Mayele kipindi anasajiliwa Yanga kuna clip flani hivi anawachsmbua wachezaji kama watano huko Congo then akapiga bao moja maridadi Sana. Nilipoiona Ile clip nilitabasamu tu moyoni nikasema ipo siku watatubu!
Alikuja kufanya hivo mara kadhaa kwenye ligi kuu Lakini kwakua watu hua wanabeza timu za bongo bado nikasema ipo siku watatubu!
Jana msouth kakimbizwa Kwa staili ya kipekee then Jamaa Katoa Pasi maridadi sana Kwa Kenny Musonda (Ile ndo assist Bora Sana ya mashindano) Naye Kenny hakumuangusha kapiga Goli matata...
Aisee Hadi mwanasimba wenyewe Banda umiza walisema "hakika Mayele ni balaa"

Naaam kosa kubwa alilifanya Langa chivaviro kufunga Goli lake la sita Sawa na king fiston. Hilo Goli ndo litatupa kombe kwani naamini lazima Mayele atafunga Goli ili awe top scorer wa michuano...

Tukutane Fainali...
 
Attachments

  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    FB_IMG_1685865513846.jpg
    74.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom