heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Sa mwanaume uliekamilika unaogopa kuachwa what a fc.k bruh!!,ogopa kugongewa maana ni zaidi ya kudharaulika,anyway kama unaogopa kuachwa tafuta pesaHajasema hutogongewa. Amesema hutoachwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa mwanaume uliekamilika unaogopa kuachwa what a fc.k bruh!!,ogopa kugongewa maana ni zaidi ya kudharaulika,anyway kama unaogopa kuachwa tafuta pesaHajasema hutogongewa. Amesema hutoachwa.
Wanawake goal keepers na sisi hatuwataki karne hii ya 21 na wanaachwa kila siku huku Tandale. Yaaani mwanamke kila kitu anaomba kwa mumewe mpaka pesa ya kumnunulia mama yake mzazi kitenge.Nakuhakikishia hakuna mwanamke atayekuacha ukiona umeachwa ujue una tatizo
Ndio alichomaanisha mtoa mada. Ukitaka usiachwe tafuta pesa. Kugongewa hakuna formula, mwanamke hata umgonge vizuri anavotaka yeye anaweza akagongwa na MTU mwingine kisa star mtaani, kazini au popote pale. Anaweza akagongwa kisa tuu amesikia rafiki zake wanamuongelea vzr mwanaume mwingine. Huwezi control kugongewa ila unaweza control kutoachwa.Sa mwanaume uliekamilika unaogopa kuachwa what a fc.k bruh!!,ogopa kugongewa maana ni zaidi ya kudharaulika,anyway kama unaogopa kuachwa tafuta pesa
Ndio maana nakupenda sanaWanawake wasio na vipato ndiyo hun'gan'gania wanaume wenye pesa.
😀😀 Wacha weeehNdio maana nakupenda sana
Valentine's Day ya mwaka huu patakuwa hapatoshi😀😀 Wacha weeeh
FactMngewauliza wenye pesa kama hawasumbuliwi na wanawake
😀😀😀😀 EmbuuuuValentine's Day ya mwaka huu patakuwa hapatoshi
😄 nn sababu mkuu?kuna jamaa yangu kaachwa juzi tu
Mpaka apitie iyo hali ndio ataelewa.Wanawake wapo wengi tu,
Shida ni kumpata unae mtaka.
Hivi mleta mada unaelewa ugumu wake ?
Umewahi kupenda mwanamke ambae yupo kwenye mahusiano, ukatamani umpate wewe kwani wewe ndie sahihi kwake ??
Sasa mkuu wewe huoni huyo manzi ni masikini wa kutupwa? Kisa kuku ndo umekua ukimla kwa miaka yote hio? Masikini wa dizaini hiyo atakuja kukuacha sababi kuna mtu ana vitu vya kukuzidi weweMkuu umenena kabisa wanaokuja kukupinga wakupinge , kuna dem namtafuna mwaka na nusu sasa sababu ya uzembe wa jamaa yake kibrazamen wavaa soksi wale kazi yao ni kut...mb tu kuhudumia hawajui
Dem alikuwa anampenda jamaa hadi whatsapp anakuweka dip, ukiambiwa hamna mwanamke anayekaa sehem ya kupauka kubali aisee, yule dem skumoja nilitoka nae out tu nikamlambisha kuku , nikamleta hom kwangu akakuta kupo full, ndio mazima nikaanza kumla na kugaramia nagaramia hadi leo mwaka wa pili natafuna na heshima anayo ya kutosha na kile kibrazameni chake kinalialia hadi kesho
Jamani tafuteni hela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wameanza kukiri "hazarani"...na bado klm.my.kUtanyooka tuu wewe mshabiki wa mataga
Ilifikiri upinzan ndiyo utaumia tuu??
Utakula mavi yako
Kwahiyo unataka kusema nini kuhusu wanawake na hela..??Wanaume wenzangu tafuteni pesa tengenezeni maisha yenu hakikisha kwa umri wako
Una gheto lako liko fresh Lina kila kitu
Lakini pia hela ya kubadilisha mboga haikupigi chenga
Nakuhakikishia hakuna mwanamke atayekuacha ukiona umeachwa ujue una tatizo
CHAPUTA ndio hawajui hizo stress za kukimbiwa kabisa kila siku kama jana na kesho
yna2:Wanawake wasio na vipato ndiyo hun'gan'gania wanaume wenye pesa.