Ukweli mchungu: Mwanaume anayejitegemea na mwenye vijihela vya kubadilisha mboga hawezi kuachwa na mwanamke

Wanawake wasio na vipato ndiyo hun'gan'gania wanaume wenye pesa.
depends. fact yako inaonekana unaenda kwa mwanaume because of pesa. hiyo ndio attaxment yako.. ukiwa nayo huendi.

wapo wanawake wana magari, lakin wamenasa kwa washkaji mbaya mbovu.
love ni game of sets, lazima uwe na more than one set inayo waunganisha.

otherwise tarajia failure
 
Wanawake wapo wengi tu,

Shida ni kumpata unae mtaka.
Hivi mleta mada unaelewa ugumu wake ?

Umewahi kupenda mwanamke ambae yupo kwenye mahusiano, ukatamani umpate wewe kwani wewe ndie sahihi kwake ??
Hahahah wewe unajuwaje kuwa ni sahihi kwake mzee au msukumo wa tamaa zako tu ndio unakuwa unakusumbua?
 
Hahaha usichokielewa ni kuwa kila mwanamke ana motive behind ya kuwa na mtu flani! The lucky guys ni wale ambao wamekamata nyoyo za warembo hao!

Huyu hata awe hajui kutia vizuri haachwiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hata amzingue vipi manz ataishia kulia lia na kuomba ushauri ila jioni yupo geto kwa mchizi anakula kipande
 
Utahudumia na mavuzi?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hela hawana ndio maana wanakula free
 
Mimi mmoja wao
 
Ebu jifunzeni kuandika maneno yote kwenye sentensi. Mwanaume mwenye ela awezi kuachwa na mwanamke masikini na asiye jitambua.
 
Hela za mboga ndani ya chumba cha kupanga ndio usiachwe?????


Haupo serious Mkuu!!!!
 
Huyo ni Malaya....huwa na sababu nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…