This makes a lot of sense . Inawezekana ndio sababu hasa. Yeye alitaka wambembeleze ili wamuongezee mkwanja?Chama ambaye awali alitaka kuvunja mkataba mwenyewe akajua viongozi watambembeleza...wakamtolea nje,kaona ngoma ishakuwa nzito anafanya vituko ili Simba imvunjie mkataba
Hapa chama amefanya Mchezo wa kitoto Kula nyama kwa jirani alafu kafuta mdomo kwa mkono
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hasaa na alitaka aaminishwe namba Kwanza maana Simba sasa wanahangaika kupata mbadala wa chama. insha'Allah kikao cha kamati ya nidhamu kitatupa majibu sahihiThis makes a lot of sense . Inawezekana ndio sababu hasa. Yeye alitaka wambembeleze ili wamuongezee mkwanja?
Na hakuna timu ya mchezaji mmojaHakuna Simba bila Chama
Subiri team ifanye vibaya bila Chama utaona huo moto
Ndio mana nasema wafanye kama yanga walete mbada wa chama vinginevyo itakuwa kama unavyosemaSubiri team ifanye vibaya bila Chama utaona huo moto
Unajua Benchika alipoingia Simba alisema maneno hayaTulisema mapema benchika hataki goigoi kamwe
Method Mogella "fundi" alikuwa anacheza 6 mkuu,Said Mwamba baada ya kucheza straiker kwa muda mrefu baadae sana mwaka 1998 ndio alicheza 5 kwenye mashindano ya Afrika Mashariki na Kati kule Uganda,hata Hussein Marsha naye baada kucheza kiungo kwa muda mrefu aliishia kucheza 5 tena kwa kiwango cha juu mnoMiaka ya nyuma sana kombe la Afrca Mashariki lilifanyika hapa dar. Simba siku hiyo ilicheza na Gor Mahia. Kabla ya hio mechi Simba walikuwa wanasumbuliwa na mchezaji Frank Kassanga (Bwalya) kwa ulevi uliopindukia. Viongozi wakijaribu kumsihi lakn wapi nakuachia.
Mtangaziji alikuwa Ahmed jongo.
Nikiwa mwanafunzi mdogo tuliingia kwa kupenya chini ya geti mojawapo dogo upande wa Mashariki. Akiwa anatangaza list alisema ... "namb nne ni jamuhuri kiwelu na centre half ni method mogella. Method mogella fundi leo ni centre half..." uwanjani mzima uliguna.
Kweli method alikuwa bonge la mchezaji, lakn alikuwa alicheza kiuongo na mara nyingi namba nane ambaye hamis gaga ndie ilikuwa namba yake. Siku moja mechi ya Simba na Sigara, yeye method akianza kama namba nane na gaga alikaa nje. Kipindi cha pili kimeenda dk kadhaa uwanja unashangilia, mtangazaji anasema hizo kelele sio kuwa Simba imepata goli ila gaga anapasha Misuli. Kwahiyo walizoea kumwona fundi akicheza dimba la juu sio beki.
Method alikiwasha sio mchezo kiasi kwamba Simba hawakuona tena umuhimu wa Kasssangq. Na kuanzia hapo Kasanga alipumzushwa na msimu ulipoisha akatemwa. Najua Simba itampata mtu wa kuziba nafasi ya Chama soon or later.
Yanga nayo kombe hilohilo sijui kabunda au nani akizingua wakiwa Uganda, Said Mwamba Kizota akamaliza centre half, na alidumu sana kwny hio nafasi. Sijui kwann inakuwaga hivi maana hata Okwi naye akianza kuleta kama hizi
Haya madini muwe mnayaweka wazi daah thanks sanMethod Mogella "fundi" alikuwa anacheza 6 mkuu,Said Mwamba baada ya kucheza straiker kwa muda mrefu baadae sana mwaka 1998 ndio alicheza 5 kwenye mashindano ya Afrika Mashariki na Kati kule Uganda,hata Hussein Marsha naye baada kucheza kiungo kwa muda mrefu aliishia kucheza 5 tena kwa kiwango cha juu mno
Wamemlea viongozi na mashabiki oyaoyaMlimlea wenyewe. Kudekeza mtu ni sawa na kufuga chatu. Ukimpa chakula atajengeka kiafya na kupata nguvu ya kukumeza na ukimnyima atapata njaa atakumeza.
Jamaa yuko sahihi, Frank Kasanga "Bwalya" alikuwa beki mahiri but mwenye changamoto,mwaka 1991 kwenye fainali ya kombe la Afrika Mashariki na Kati kati ya Simba na SC Villa,aliibuka Jamhuri Kiwhelo akicheza vema sana akimzuia straiker hatari sana East Africa wakati huo Majidu Musisi,Bwalya ndio akapotea jumla kwani baadae Simba wakamsajili George Masatu kutoka Pamba,moja kati ya mabeki mahiri wa kati kuwahi kutokea Tanzania.
Safi Sana mkuu unaanza kunipa mwaka sisi wa 95 kuja juu shida sanaJamaa yuko sahihi, Frank Kasanga "Bwalya" alikuwa beki mahiri but mwenye changamoto,mwaka 1991 kwenye fainali ya kombe la Afrika Mashariki na Kati kati ya Simba na SC Villa,aliibuka Jamhuri Kiwhelo akicheza vema sana akimzuia straiker hatari sana East Africa wakati huo Majidu Musisi,Bwalya ndio akapotea jumla kwani baadae Simba wakamsajili George Masatu kutoka Pamba,moja kati ya mabeki mahiri wa kati kuwahi kutokea Tanzania.
Nimeandika mwaka mkuu,ni 1991 ndio Bwalya alipotea,mwaka 1992 Simba walisajili wachezaji mahiri sana kama kipa Mohammed Mwameja kutoka Coastal Union, George Masatu (beki wa kati) na Hussein Marsha (kiungo no 8) kutoka Pamba, Godwin Aswile na Thomas Kipese kutoka Yanga,Hawa ndio waliipeleka Simba Fainali ya kombe la CAF mwaka 1993Safi Sana mkuu unaanza kunipa mwaka sisi wa 95 kuja juu shida sana
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hizo ndiyo akili utopolo hazina nafasi kwa watu wenye akili timamu.Hakuna Simba bila Chama
Kwanza hii wameitaka viongozi wenyewe mwaka Jana wakati WA usajiri alitingisha kiberiti viongozi watambembeleza kama Mungu mtu ili abaki na mashabiki wakawaka bila chama hatuji uwanjani viongozi wakaona ohooo maji tushayavulia nguo wacha tuyaoge madhala yake ndio hayaYote kwa yote kama ni Kweli basi Chama atakuwa mjinga sana hajui wengi wazuri wamepita hapo na yeye atapita tu
umeniwlewesha vzr SanaNimeandika mwaka mkuu,ni 1991 ndio Bwalya alipotea,mwaka 1992 Simba walisajili wachezaji mahiri sana kama kipa Mohammed Mwameja kutoka Coastal Union, George Masatu (beki wa kati) na Hussein Marsha (kiungo no 8) kutoka Pamba, Godwin Aswile na Thomas Kipese kutoka Yanga,Hawa ndio waliipeleka Simba Fainali ya kombe la CAF mwaka 1993