Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

Basi kanuna weeeh😊... Ila malaya wanapukutisha hela zetu vibaya mmo na kuna ambao ni wachawi!
Hawa wa kichawi ukiwachukua wanakubadilishia fisi au mbwa alafu wao wanakaa pembeni wanakung'ong'a tu au wanaenda kutafuta kichwa kingine 😣🤨🤨🤨
 
Asante
Punguza tu ulimbukeni na kujishtukia ili uenjoy maisha yako. Pussy ni yako ni haki yako kuitumia unavyotaka hakuna wa kukupangia.
Bila wanaume pussy yako haina thamani
Huna lolote la kunishauri na nikakusikiliza hata uje jukwaani uchi wa mnyama.
Huo ushauri wako wapelekee dada zako huko kwenu maana nao ni mtu na wana K kama yangu, labda tofauti ni mileage tu😅😅😅

Kubishana na mtoto wa kike nako unapenda kumbe!
Ila usikimbie tu hapa
 
Kwa kifupi wewe ni Malaya usipunguze ukali wa maneno. Umalaya nacho nikitu cha kujivunia
 
Kila mtu anajivunia career yake, sio ajabu wewe kujivunia udangaji coz that's your career.
 
Kwa kifupi wewe ni Malaya usipunguze ukali wa maneno. Umalaya nacho nikitu cha kujivunia
Mimi binafsi najivunia kwa kuwa ndio imenifanya niwe na vitega uchumi vyote hivyo.
 
😂😂
Hayo maoni yangu tu. Siwezi kukubishia kwa sababu pussy ni yako. Naona kama unajishtukia na una ulimbukeni ndo maana unashindwa kuenjoy kwa amani.
 
😂😂
Hayo maoni yangu tu. Siwezi kukubishia kwa sababu pussy ni yako. Naona kama unajishtukia na una ulimbukeni ndo maana unashindwa kuenjoy.
Nakuuliza kwa mara ya mwisho, battle yangu hapa kwenye huu uzi utaiweza?
Ila usije kuwaita mods tu yakikuzidia
 
Kama biashara unayoizungumzia ni tofauti na kudanga, hii ni chai yenye chumvi na pilipili
 
Dubai ipi uliyotokaa na hujaambatanisha picha😂🙌
Wadangaji wanaenda Dubai mbona. Anajifanya mfanyabiashara anaenda Dubai anakaa siku 28 anarudi na kabegi kamoja ka vinguo na vipafyumu. Costs zote hizo, nauli, VISA na kila kitu anavirudisha kwa kabegi kamoja na pafyumu za elfu 60 @ za kuzugia? Tafuta kijana yeyote anayeenda Dubai mara kwa mara akwambie uko wanaishije.

Ukiachana na Dubai, pia mtaani wapo, Kigamboni yupo mmoja nimemtoa Snapchat analipia mtoto private school, anapanga na anaishi vizuri ila hafanyi kazi yoyote kazi kujiuza ila yeye anasafiri kwenda Zanzibar.

Nilipokuwa chuo kuna demu mmoja agemate kabisa, sikujua anajiuza mpaka alipoomba nimuunganishe na OF akanipa na details zake za bank na mengine. Baadae tulipoteana sijui alienda wapi maana alipanda hadhi, last time tunaonana alikuwa amenunuliwa IST sijui na nani. Alikuwa ananikubali sana kuna vitu technical nilikuwa namsaidia, nilikuwa naenda kwake all the time ila mara zote kapanga nyumba tofauti.

Na kuna mmoja age kama 20 hivi namkadiria. Alidai anasoma Diploma ila nahisi uongo nimemfuatilia pattern sioni akikanyaga chuo. Huyo nimekutana nae supermarket nikamlipia bill yake ndogo sana haikufika 15k. Nikapewa namba ajabu akawa anaomba hela kila asubuhi na jioni, nikawa nampa sometime simpi siku nikamuita akakubali ila akataja dau nikasema sawa, aligoma kupima HIV nikamtimua sikumpa hela alikuwa ashakula hapo kabla.
Ila namba yake bado ninayo namuona anapishana kwenye mahoteli, last week katoka Arusha alikuwa hotelini.

So kwa mimi na washkaji zangu ambao tukikaa tukajadili yanayotusibu inaonekana Dar ni jiji gumu sana kwenye mahusiano. Wapenzi wa mikoani angalau tunadumu nao ila kwa hapa Dar hawajanyooka.
 
Punguza munkari na ushauri kwangu.
Hujawahi kuona Dokta kafia gesti?
Kaa kimya 🤫 na punguza ushauri kwenye maisha ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…