Tena wanawake walio ndoani ndio wanatombwa kuliko maelezo.Kama maisha ya kuwa Dustin la wanaume kutupia makohozi yao ukupa furaha unahitaji uponyaji.
Siku soko lako likiisha hio furaha utaipitia wapi
Story za kijinga?View attachment 3435100
😃😃😃
Mitandaoni hakuna faraja na ni tabia mbaya sana kuleta story za kijinga kama hii unajiongezea sonona tu Bibie
😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 basi sawa umeshindaKwani kwa dunia ya sasa unadhani kuingiliwa nyuma ni suala la kificho?
Pole sana kwa kuishi upande wa pili wa shilingi.
😂😂😂Acha umbea mtoto wa kiume!
Naona unajifanya unanijua sasa.Siku zote mwendawazimu akiwa katika wazimu wake huwa anahisi yupo sehemu ya pekee na ya juu kuliko wote hadi anasahau kutenga mud kutafakari anguko lake litakuwaje.
Mlevi akiwa ana enjoy ulevi wake kila siku huwa anasahau kuwa magonjwa ya ini na figo yanamsubiria washinde wote 24/7 kila siku hadi umauti umkute.
Kijana boda boda au mkimbiza subaru anapokuwa anakimbiza gari au pikipiki kwa mwendo mkubwa kupita maelezo ule muda huwa anaamini kuwa yeye ndie kitu chenye kasi kuliko hata mwanga au sauti hadi anasahau kuwa ndani ya sekunde chache atabadili maisha yake na kuwa mlemavu maisha au pengine kuyakatisha kabisa kwa kifo kibaya sana aina ya Final destination.
Mwizi anapokwenda kuiba huwa anajisahaulisha kuwa siku hiyo inaweza kuwa ya mwisho na akikamatwa wakati wa kipigo hakuna mtu atakae mtetea hadi umauti umvae.
The same kwako sasa mwanamke ambaye umechagua kugeuza Foolish age kuwa permanent age maisha yako yote na kuzidisha hadi kupitiliza kipimo cha umri wa usichana na mambo yake.
Unahisi unaishi ila haujui kuwa inaishia. Hayo unayoyafanya kuna wenzako waliyafanya pia na sasa ni wazee na majuto.
Ingekuwa kwenda Dubai,kuliwa na wanaume tofauti,kubadilishwa mikao vitandani kwenye maisha ya ngono, kulala na kuamka na sura tofauti, kuishi kwa kutegemea mwili wako kama chanzo cha mapato na kukaa uchi mbele ya wanaume tofauti ndio ujanja na mafanikio then tungeona vitabi vya kiimani na hata watu wenye hekima wanahimiza wanawake kufanya.
Ila kwasababu ni kukosa maarifa basi wacha wewe ubakie kuwa mshindi tutakusubiria kwenye jukwaa la ushindi ukipewa tuzo na zawadi zako katika miundo tofauti ya magonjwa ya zinaa, upweke,matatizo ya kiakili, majuto, shida za uzazi, kulea watoto mwenyewe,kutengwa na jamii,kuzungukwa na watu wa hovyo ,na muhimu zaidi kujiliza mbele ya muumba wako.
Nimeandika hapa lengo ikiwa ni huu ujumbe uwafikie watu walio chagua maisha ya usichana wakati umri wa mwanamke eneo la usichana ni mfupi sana na uanamke au utuzima kama sio umama ndio mrefu zaidi. Najua wewe umeandika hapa kuchokoza hisia kama sio kutafuta likes kirahisi.
Ila nimeona nitumie eneo hili hili kuwafikishia ujumbe ambao wapo serious na aina hii ya maisha uliyoizungumzia.
Pole sana kwa kukosa maadili na malezi mazuri ona unavyotesa mwili wako.
Nani huyo kakufuata PM?Story za kijinga?
Unasema Story za kijinga halafu baadae mtu unakuja Pm, pole
Naona tangu ulivyoumbuliwa na yule dada sijui kaka kule Pm umekuwa msemaji wa Jf.😂😂😂
Daah Mbeya ni wewe unayeleta siri zako humu kwa faida ya nani na upate nini?
Hangaikia hiyo dipresheni Dada au tafuta kitu kitakachokuwa mbadala wa huo udangaji
Haipendezi hizi mambo Dada unaandika sasa hivi lakini kesho itakuwa nayo ni siku yenye mambo mengine.Naona tangu ulivyoumbuliwa na yule dada sijui kaka kule Pm umekuwa msemaji wa Jf.
Ila wanaume wa humu wa hovyo sana.
Ila jamaa wewe una mistari Pm 😄😄😄
Basi kinanilii chako kitakuwa mpaka kimebadilisha rangi na kuwa cheusi kwasababu ya kusuguliwa na watu weusi, waarabu na wazungu. HahahahUtakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.
Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.
Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.
Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.
Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?
Muhimu tujali afya zetu tu.
Au passportDubai ipi uliyotokaa na hujaambatanisha picha😂🙌
Mzee hii chuma imeenda millage nyingi sanaKuna tofauti kubwa kati ya K ya mdangaji na ya wife material View attachment 3435077
K ya mdangaji kwanza ni kubwa halafu haina hata ladhaKuna tofauti kubwa kati ya K ya mdangaji na ya wife material View attachment 3435077
Dogo ushakula kiapo cha utii kwa mwamba mkombozi wa waislamu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S?Ogopa sana kiumbe kiitwacho mwanamke tena kinachoongozwa na hisia kufanya maamuzi. Nusratt pitia na kitabu cha power of the pussy kitakusaidia pia kwenye udangaji wako.