Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.

Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.

Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.

Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.

Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?

Muhimu tujali afya zetu tu.
Udangaji = umalaya = ukahaba.
Moderator futeni huu uzi unaohamasisha ukahaba nchini. Active
 
Duh!!
Huyo malaika apulize tu talumbeta....imetosha sasa!!....tufanye tu hesabu!!
20250115_053755.jpg
 
Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.

Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.

Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.

Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.

Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?

Muhimu tujali afya zetu tu.
Ukitoka kimboka au mwananyamala uje utuhadithie pia
 
Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.

Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.

Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuol
Hilo si jambo la kujivunia na kulitangaza na Mungu anasema katika Qur'an 24:19
"Hakika wale wanaopenda uovu usambae miongoni mwa walioamini, watapata adhabu chungu duniani na Akhera"
Omba ushauri wa kibiashara ubadilishe chanzo cha mapato yako.
 
Niliacha (kupumzika) ila nimemiss zile hekaheka za madifenda na kwenda vacation ndio maana.

Kukanyaga miwaga si rahisi endapo utafanya ngono salama
Umenifumbua macho kwa kweli,ndio maana naichukia zinaa,mungu alishaiona kua hazifai,,hivyo tuzingatieni aliyoamrisha mungu tufanye kwa imani zetu.
 
Siku zote mwendawazimu akiwa katika wazimu wake huwa anahisi yupo sehemu ya pekee na ya juu kuliko wote hadi anasahau kutenga mud kutafakari anguko lake litakuwaje.

Mlevi akiwa ana enjoy ulevi wake kila siku huwa anasahau kuwa magonjwa ya ini na figo yanamsubiria washinde wote 24/7 kila siku hadi umauti umkute.


Kijana boda boda au mkimbiza subaru anapokuwa anakimbiza gari au pikipiki kwa mwendo mkubwa kupita maelezo ule muda huwa anaamini kuwa yeye ndie kitu chenye kasi kuliko hata mwanga au sauti hadi anasahau kuwa ndani ya sekunde chache atabadili maisha yake na kuwa mlemavu maisha au pengine kuyakatisha kabisa kwa kifo kibaya sana aina ya Final destination.

Mwizi anapokwenda kuiba huwa anajisahaulisha kuwa siku hiyo inaweza kuwa ya mwisho na akikamatwa wakati wa kipigo hakuna mtu atakae mtetea hadi umauti umvae.

The same kwako sasa mwanamke ambaye umechagua kugeuza Foolish age kuwa permanent age maisha yako yote na kuzidisha hadi kupitiliza kipimo cha umri wa usichana na mambo yake.

Unahisi unaishi ila haujui kuwa inaishia. Hayo unayoyafanya kuna wenzako waliyafanya pia na sasa ni wazee na majuto.

Ingekuwa kwenda Dubai,kuliwa na wanaume tofauti,kubadilishwa mikao vitandani kwenye maisha ya ngono, kulala na kuamka na sura tofauti, kuishi kwa kutegemea mwili wako kama chanzo cha mapato na kukaa uchi mbele ya wanaume tofauti ndio ujanja na mafanikio then tungeona vitabi vya kiimani na hata watu wenye hekima wanahimiza wanawake kufanya.

Ila kwasababu ni kukosa maarifa basi wacha wewe ubakie kuwa mshindi tutakusubiria kwenye jukwaa la ushindi ukipewa tuzo na zawadi zako katika miundo tofauti ya magonjwa ya zinaa, upweke,matatizo ya kiakili, majuto, shida za uzazi, kulea watoto mwenyewe,kutengwa na jamii,kuzungukwa na watu wa hovyo ,na muhimu zaidi kujiliza mbele ya muumba wako.

Nimeandika hapa lengo ikiwa ni huu ujumbe uwafikie watu walio chagua maisha ya usichana wakati umri wa mwanamke eneo la usichana ni mfupi sana na uanamke au utuzima kama sio umama ndio mrefu zaidi. Najua wewe umeandika hapa kuchokoza hisia kama sio kutafuta likes kirahisi.

Ila nimeona nitumie eneo hili hili kuwafikishia ujumbe ambao wapo serious na aina hii ya maisha uliyoizungumzia.

Pole sana kwa kukosa maadili na malezi mazuri ona unavyotesa mwili wako.
Umepiga kwenye mshono...leo atakuwa anafir..i..ka huku anawaza huu ujumbe
 
Kitendo tu cha kwamba unaweza kutiwa tu na yeyote muda wowote simply tu ana pesa inatosha kukufanya usijilinganishe na mke wa mtu hata ndoa yao iwe na kipato kidogo namna gani. Usijivunie ujinga
 
Tena wanawake walio ndoani ndio wanatombwa kuliko maelezo.
Nyie jichanganyeni.

Kuwa mke wa mtu si kigezo cha kuwa msafi kiasi hiki.
Ni maisha yangu na amani yangu
Nakuunga mkono thus 60 ya watoto wa ndoa ni WA nje ya ndoa.
Thus waganga uchukua ubini wa Mama na sio baba
 
Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.

Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.

Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.

Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.

Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?

Muhimu tujali afya zetu tu.
Kiama kimejiri,,Allah Akbar.
 
Back
Top Bottom