Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

Huyu naye kuna mtu baadae ataoa kweli leo nimeamini MUNGU hakupi vyote
Wanaume tumeumbiwa mateso

Sijui kwann Mungu huwa anaruhusu, unakuta mwanaume umejitunza hujachakata mbunye Toka kuzaliwa kwako alafu mwishowe unakuja kuoa mtu kama mtoa mada na ndoa inafungwa kwenye nyumba ya ibada na Mungu anabariki kabisa!!

Laifu izi noti fea .
 
Inasikitisha lakini lazima tuzoee NDO dunia tulipo. Ila umetumia akili SANA ukaficha neno malaya kahaba muuza KU, ukatumia neno danga.



Kwishaaaaa
Nakukubali SANA Nusrat we ni zaidi ya BONGE la dada JAPO na wasiwasi we ni MWANAUME. Ukimuona wife material MWAMBIE bro Alex ANAKUSALIMU mkuu🙏🙏🙏



Kwishaaaaa
 
Wanaume tumeumbiwa mateso

Sijui kwann Mungu huwa anaruhusu, unakuta mwanaume umejitunza hujachakata mbunye Toka kuzaliwa kwako alafu mwishowe unakuja kuoa mtu kama mtoa mada na ndoa inafungwa kwenye nyumba ya ibada na Mungu anabariki kabisa!!

Laifu izi noti fea .
Ndio hapo huwa nashangaa yaani wale nice guy huambulia makombo kama haya halafu bad boys ndio wanajipigia tu Mali

Huyu kurumbembe kuna mtu ataoa kabisa
 
Muhimu mjali afya zenu tu, sasa kama hamjaolewa, mnatoa wapi hamu zenu za mapenzi? Hamuoni kuwa mtasababisha ugomvu mkitembea na waume za watu? Vipi ikiwa mtagonganisha wanaume? Maana mko huru nje ya ndoa
 
Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.

Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.

Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.

Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.

Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?

Muhimu tujali afya zetu tu.
heshima kwako bibie mimi sikuhukumu nakupongeza kwa kuwa muwazi. Nikija pm usisite kunikaribisha tafadhali.
 
Kutombwa ovyo ovyo na wanaume nalo ni jambo la kujivunia? Tuliza pussy hiyo kwa mume

Inaonekana unapitia trauma umekuja kutafuta nafuu humu ujifariji

Sisi wanaume huwa tunawatumia wadangaji kama malaya

Kila aina ya sexual fantasies chafu ambazo hatuwezi kuwafanyia wake zetu wapendwa nyie ndio huwa majaribio yetu
​
Punguza hasira mkuu
 
Back
Top Bottom