Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

Huyu naye kuna mtu baadae ataoa kweli leo nimeamini MUNGU hakupi vyote
Wanaume tumeumbiwa mateso

Sijui kwann Mungu huwa anaruhusu, unakuta mwanaume umejitunza hujachakata mbunye Toka kuzaliwa kwako alafu mwishowe unakuja kuoa mtu kama mtoa mada na ndoa inafungwa kwenye nyumba ya ibada na Mungu anabariki kabisa!!

Laifu izi noti fea .
 
Inasikitisha lakini lazima tuzoee NDO dunia tulipo. Ila umetumia akili SANA ukaficha neno malaya kahaba muuza KU, ukatumia neno danga.



Kwishaaaaa
Nakukubali SANA Nusrat we ni zaidi ya BONGE la dada JAPO na wasiwasi we ni MWANAUME. Ukimuona wife material MWAMBIE bro Alex ANAKUSALIMU mkuu🙏🙏🙏



Kwishaaaaa
 
Ndio hapo huwa nashangaa yaani wale nice guy huambulia makombo kama haya halafu bad boys ndio wanajipigia tu Mali

Huyu kurumbembe kuna mtu ataoa kabisa
 
Muhimu mjali afya zenu tu, sasa kama hamjaolewa, mnatoa wapi hamu zenu za mapenzi? Hamuoni kuwa mtasababisha ugomvu mkitembea na waume za watu? Vipi ikiwa mtagonganisha wanaume? Maana mko huru nje ya ndoa
 
heshima kwako bibie mimi sikuhukumu nakupongeza kwa kuwa muwazi. Nikija pm usisite kunikaribisha tafadhali.
 
Punguza hasira mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…