Wewe si Mkatoliki.Nakupa pole sana Kwasababu unatumia nguvu nyingi sana kwa kitu ambacho kipo out of your Control;Kanisa Katoliki umezaliwa ukalikuta utakufa utaliacha likiendelea kushine,Papa Francis ni mteule wa Mungu mwenyewe wewe hutaweza kumuangusha.Kashfa km hizo wewe si wa kwanza kuzizusha,Soma Vizuri Historia ya Kanisa Katoliki utajionea jinsi Kanisa na Viongozi wake walivyozushiwa kila aina ya ubaya,lkn cha kujiuliza kwanini hadi leo Kanisa Katoliki bado lipo?,na ndio linaongoza kwa kuwa na Wafuasi wengi?,Kwamba wote hao hawana akili?,Aisee!!,Nguvu ya Mungu ni kubwa kuliko unavyodhani,hili Kanisa liache km lilivyo hutaweza kuliyumbisha wala Viongozi wake.
Sent from my V1901A using
JamiiForums mobile app