KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafkiri ni utofauti wa lugha tuu. Mwingine atamuita Mariam, Maryam, maria, marySwali kwa Wakatoriki.
Mama wa Yesu ambaye aliolewa na Yusufu jina lake ni Mariam.
Mathayo (Mat) 1:16
Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
Luka (Luk) 1:30
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Katika kila Ibada ya Wakatoriki iwe ya mtu mmoja au wawili au watatu au Jumuiya au Kanisani ni lazima katika sala atajwe mwanamke anayeitwa Maria.
Tena inaenda mbali mpaka anaimbiwa nyimbo za kumtukuza atasikia.
" Salamu Maria eeh mamaa, salamu Maria eeeeeh"
Inaenda mbali hadi katika kila kanisa ni lazima iwekwe sanamu zaidi ya moja ya huyo mwanamke aitwae Maria.
Inaenda mbali mpaka sanamu hiyo inasujudiwa na waumini na kuwekwa mbele ya mimbari huku waumini wakisali kwa kuitizama na kuomba kusamehewa dhambi.
Nimeisoma Injiri Yesu kuanzia Mathayo hadi Ufunuo wa Yohana sijawahi kuliona jina la Maria, katika Biblia zote.
Nimesoma Qurani hakuna Aya inamtaja mwanamke aitwaye Maria Bali inamtaja Mariam tena imempa sura nzima ingawa inamtaja kwa makosa makosa ila inamaanisha Mariam Mama wa Yesu.
فَأَتَتْ بِهِ قَوْمَهَا تَحْمِلُهُ ۖ قَالُوا يَا مَرْيَمُ لَقَدْ جِئْتِ شَيْئًا فَرِيًّا
(MARYAM - 27)
Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!
Swali naliwauliza Wakatoriki.
Huyo Maria ni nani ?
Wakatoriki Naomba Jibu Tafadharini
Na kuna Miriam, ni jina moja.Nafkiri ni utofauti wa lugha tuu. Mwingine atamuita Mariam, Maryam, maria, mary
Ni kura tu. Acha kutukuza saana jambo linalofanywa na binadamu. Huoni huko juu wanachaguliwa na wengine mpka wanatoa rushwa.Ungejua tu Mchakato unaotumika kumpata PAPA ungeshangaaa.
Hilo Jina tu mpka lipenye uitwe PAPA kiruuuuu... We kausha tu mwanangu hayo unayoandika gongea tu mihuri.
Haya ndio Madhara ya kukaririshwa mistari uchwara ya biblia. Tumia akili usifate hisiaHata kama lakini hatuhami
Nimeelewa hoja yako. Hii naifananisha na ile hoja ya terehe 25 kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu. Wasabato, orthodox Roman Catholic huadhimisha tofauti. Lakini haiondoi kuzaliwa kwa Yesu. So hapo inshu ni kuwepo kwa mwanamke aliyemzaa Yesu ndiyo hoja ya msingi.No no no.
Mariamu na Maria ni majina mawili tofauti kabisa.
Hakuna Aya katika Injiri ya Kiswahili inavyo taja jina la Maria.
Qurani inamtaja Kama Maryamu kwakuwa Ina lafudhi ya Kiarabu labda. na inasound kama Mariamu na sio Maria.
Biblia hasa Injiri haina jina la Maria kabisa.
Kama lipo niwekee hiyo Aya.
Dada wa Musa aliitwa Miriamu je na yeye ni Maria pia?
Who is Maria ?
Mathayo (Mat) 1:18
Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. [emoji117]Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Kwani Dini yenu inasemaje?? Kiongozi wenu ni nani? Na Mafundisho yenu mnayapatia kupitia kwa nani? Kama sio huyo PAPA Mtumishi wa shetani kwenye kivuli cha UDINI???Hilo ndilo Jambo muhimu na thabiti hatuishi kwa ajili ya papa Bali kwa KRISTU mfufuka aliye hai
Kwahiyo wewe unapingwa wa mleta mada??? Fanya research kabla ya kuzungumza"Aliyezaa na bibi yake kahaba mwenye miaka 15. " Logically kuna uongo hapa.
Tatizo watu wanapenda kushikiwa akili, ukiwa na akili timamu plus maarifa, hekima, busara pamoja na utulivu wa hali ya juu huwezi kuwa na dini! Ila utaamini kuwa ipo nguvu kuu iliyomzidi binaadamu ambayo haina dini!! Kosa la huyu ndugu ni kupinga ushoga! Yaani kutetea maadili ya kweli eti ni kosa!Yawezekana papa Fransisi ni shoga au ana maslahi na ushoga
Katoliki na illuminati lao moja. Kuanzia ibada mavazi vinafanana sanaHii ni vita kati ya Illuminati na Jesuits na haikuanza leo.
BBC ni kama media tu inayotumika kupigana vita hii kueneza propaganda za Illuminati na kupotosha kauli za Papa.
Wajinga wengi mtaingizwa mkenge sana na BBC wakati kanisa lao church of England (Anglican) limehalalisha ndoa za jinsia moja hawana ugomvi nalo, sasa mgomvi wao ni Vatican ambayo IPO against na Illuminati.
Mimi hii hoja ya majina nayafananisha na majina ya Yesu, Yeshua, Jesus as longer as una mlifaa yeye Yesu Kristo kwa lugha yenu hakuna shida. Pia kuna ile inshu ya tarehe ya kuzaliwa kwa Yesu. Kinachotakiwa ktk ukristo ni kuamini kuwa Yesu alizaliwa, akafa na siku ya tatu akafufuka ktk wafu Yuko juu mbinguni kutuandalia makao na yeye peke yake ndiye mwenye uwezo wa kusamehe dhambi na kutupa ushindi dhidi ya dhambi. Hakuna tarehe, siku, wala miandamo ya mwezi inayotajwa kuhusika na wokovu.Na kuna Miriam, ni jina moja.
Paulo alionya kuhusu kuwapo wanaonena kwa roho bila kutafsiri.uwepo wa hizo, haimaainishi kwamba hakuna lugha halisi za Mungu ambazo mwamini yeyote inampasa kuwa nayo ili awasiliane na Mungu. kumbuka kuwa tunaweza kuongea/kuomba kwa akili, na tunaweza kuomba kwa Roho pia.
Umekaririshwa quran hakuna mtu anayekusumbua.Haya ndio Madhara ya kukaririshwa mistari uchwara ya biblia. Tumia akili usifate hisia
Sisi hatujaikariri Qur'an pekee, tunamini Katika vitabu vingine kuanzia TAURATI, ZABURI, NA INJILI.Umekaririshwa quran hakuna mtu anayekusumbua.
Kila mmoja akariri anachotaka
Sawa sio lazima tufanane.Sisi hatujaikariri Qur'an pekee, tunamini Katika vitabu vingine kuanzia TAURATI, ZABURI, NA INJILI.
b
Biblia ni mpango shetani Katika kuupotosha ulimwengu
Huna la kufanya zaidi ya kupiga kelele.Biblia ni mpango shetani Katika kuupotosha ulimwengu