UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

Kama huwezi kujibu Swali linaloulizwa kwanini hukai kimya ndugu.
Mimi Nawaliza Wakatoriki Mwanamke anayeitwa Maria wamemtoa wapi ?
Kwakuwa hayupo kwenye Injiri ya Yesu Kristo.
Hujaona Necromancy au Steve Wonder ?
 
GALILEO GALILEI (1564-1642): HISTORIA YA KANISA

Galileo Galilei alikuwa ni msomi Mkristo ambaye aliingia katika mgogoro mkubwa na Uongozi wa Roman Catholic Church kutokana na kutetea nadharia za msomi mwingine aliyeitwa Copernicus aliyekuwa akidai kuwa dunia huzunguka jua (Copernicus's heliocentric cosmology) tofauti na uelewa uliokuwepo kabla ambao ndio uliokuwa mtazamo wa Kanisa kwa wakati ule.

Kanisa wakati ule lilikuwa likitafsiri Maandiko kama yalivyoonekana (Literal Interpretation of the Bible) ambapo gunduzi na hitimisho za kisayansi (scientific conclusions) zilionekana kukinzana na mitazamo ya Kanisa kuhusu uumbaji. Hivyo, Galileo alitangazwa kama muasi kwa kushikilia ugunduzi wake ambao aliutetea kuwa haukupingana na Biblia.

Galileo alizaliwa mwaka 1564 na baadaye akawa profesa wa Hisabati katika Chuo Kikuu cha Padua, Kaskazini mwa Italia ambapo mwaka 1611 alifanya safari kadhaa Rumi kuonyesha darubini (telescope) yake pamoja na gunduzi alizofanya kwa kutumia darubini ile. Ugunduzi wake ulikubaliwa na kupokelewa na baadhi ya wakuu wakiwemo wataalamu wa anga (astronomers) katika Chuo cha Majesuiti (Jesuit College) cha Rumi.

Ugunduzi wa Galileo ambaye aliutetea kuwa Biblia siyo kitabu cha kisayansi na kuonya kuwa isitafsiriwe kama ilivyo ulimletea matatizo kutoka kwa Uongozi wa Kanisa ambao haukuwa tayari kuona Mkristo mlei (layman) kuwa na haki ya kutafsiri Maandiko (Biblia). Mwaka 1616, Ofisi Takatifu (Holy Office - Inquisition) ilihuisha na kukamilisha mashtaka dhidi ya Galileo na hivyo akaitwa mbele ya Muadhama Kadinali Robert Bellarmine aliyekuwa Mkuu wa Holy Office.

Galileo alipofika alijulishwa kuwa nadharia za Copernicus zilionekana kuwa ni uongo na kwamba zilikuwa ni kinyume na Maandiko Matakatifu (Biblia). Hivyo, Galileo aliambiwa aachane na mtazamo ule na alikatazwa kuushikilia, kuufundisha, na hata kuutetea kwa namna ye yote ile iwe kwa mdomo au kwa maandishi.

Mwaka 1623, Papa mpya alichaguliwa naye aliitwa Papa Urban VIII. Huyu alikuwa na msimamo wa kati na alikuwa na urafiki na Galileo. Hivyo akamruhusu Galileo kuandika kitabu kitakachojadili faida na athari za uelewa kuwa dunia huzunguka jua (heliocentrism) pasipo kutetea ukweli wa ugunduzi huo. Mwaka 1632, Galileo alitoa kitabu chake ambapo tofauti na alivyoelekezwa alitetea hoja zake na kwa ufundi mkubwa. Zaidi ya yote, akaweka maneno ya Papa mwishoni mwa kitabu ambayo yaliashiria kuwa alikuwa amekubaliana na hoja zile.

Papa alihisi kuwa amesalitiwa na Galileo, hivyo Galileo akashitakiwa kwa kukiuka pingamizi la mwaka 1616 lililomkataza kushikilia na kutetea heliocentrism. Galileo Galilei akapatikana na hatia ya uasi na uzushi na akalazimishwa kuyakana mafundisho yake pamoja na ugunduzi uliokuwa umefanyika. Katika miaka 10 iliyobaki ya uhai wake aliwekwa kizuizuni katika jumba kubwa nje ya mji wa Florence. Hakuweza kuteswa au kufungwa jela ila alinyamazishwa kabisa na hakuweza kusikika tena hadi umauti wake.

Leo ulimwengu wa taaluma ya anga unamtambua Galileo Galilei kama nguli na bingwa katika nadharia za anga. Yeye alikuwa ni Mkristo ambaye hakuweza kuikana imani take pamoja na kusongws na viongozi wa dini. Pamoja na kunyamazishwa yeye mwenyewe, lakini mawazo yake na ukweli uliokuwemo katika mawazo yake haviweza kunyamazishwa.

Je, ni jambo gani limekushangaza kuhusiana na maisha ya kitaaluma ya Galileo Galilei? Je, vijana na wasomi wetu siku hizi wanaweza kuwa wanasayansi wazuri pasipo kuikana imani kama alivyofanya Galileo Galilei? Je, Kanisa kwa sasa lina mtazamo gani juu ya Wakristo wanaoshiriki siasa, biashara na hata wasomi katika taaluma mbalimbali? Pengine ni rahisi kushambulia mtazamo wa Kanisa katika enzi ya Galileo Galilei. Lakini je, ni misimamo gani ambayo viongozi wa Kanisa katika zama hizi wanaishikilia pasipo kufahamu kama wanapingana na umisioni wa Mungu (missio dei) kwa ulimwengu?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula ambaye ni mwandishi wa makala hizi ni Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani (World Fellowship of Moravian Revival Churches). Pia ni Mhadhiri wa Theologia, Falsafa, Historia ya Kanisa, Literature, Sosholojia, Missiologia, na Utafiti. Amefundisha masomo hayo kwa miaka kadhaa katika Chuo Kikuu, St. John's University of Tanzania.
 
Sina mapenzi yoyote kwa kanisa labda hujaelewa nilichoandika.

Ukitaka ukweli halisi kanisa na msikiti ndio adui namba moja wa Muafrica.

Ulaya hakuna kijana mfia dini, unajuwa kwa nini?
Hakuna wafia dini ulaya ??? Hahaha usichekeshe umma,, Kuna clip moja jamaa sijui walokole wale sijui ni dhehebu gani ni wazungu, wanahubiri sehemu za mashoga kuwa waache ushoga wao wataenda motoni....Au ufia dini maana yake nini
 
Unarukaruka tu kama Bata bukini, wewe si unaamini Taurati, zaburi na injili? Jibu sasa Injili ni kitabu cha nani?
INJILI ni kitabu cha M/Mungu aliyemshushia Nabii Issa bin Maryam (r.a) na Nabii Issa ndie aliyehubiri injili

MPAKA SASA SIJUI KAMA PAULO ALIKUWA AKIIHUBIRI INJILI AU IMANI YA WAROMA...!

Wagalatia:2.7
bali, kinyume cha hayo, walipoona ya kuwa nimekabidhiwa injili ya wasiotahiriwa, kama vile Petro ya waliotahiriwa;
Wagalatia:2.8
(maana yeye aliyemwezesha Petro kuwa mtume wa waliotahiriwa ndiye aliyeniwezesha mimi kwenda kwa Mataifa);

AJABU NAONA PAULO AKIMTAKA PETRO ALAANIWE KWA KUWA ALIMNASA PETRO AKIIBATILISHA INJILI ALIOPEWA!

Wagalatia:1.7
Wala si nyingine; lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza injili ya Kristo.
Wagalatia:1.8
Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.
Wagalatia:1.9
Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.

TAZAMA HAPA:

Wagalatia:2.11
Lakini Kefa alipokuja Antiokia, nalishindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu.
Wagalatia:2.12
Kwa maana kabla hawajaja watu kadha wa kadha waliotoka kwa Yakobo, alikuwa akila pamoja na watu wa Mataifa; lakini walipokuja wao, akarudi nyuma akajitenga, huku akiwaogopa waliotahiriwa.
Wagalatia:2.13
Na hao Wayahudi wengine wakajigeuza pamoja naye, hata na Barnaba pia akachukuliwa na unafiki wao.
Wagalatia:2.14
Walakini, nilipoona ya kuwa njia yao haiendi sawasawa na ile kweli ya Injili, nalimwambia Kefa mbele ya wote, Ikiwa wewe uliye Myahudi wafuata desturi za Mataifa, wala si za Wayahudi, kwa nini unawashurutisha Mataifa kufuata desturi za Wayahudi?

IKIWA HALI NDIO HII, JE PAULO NA WEWE ULAANIWE KWA VILE ULIKUWA UKIIHUBIRI IMANI YA WARUMI?

Warumi:1.7
kwa #wote walioko #Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Warumi:1.8
Kwanza namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa kuwa #imani yenu inahubiriwa katika dunia nzima.

JE NI YESU YUPI ALIYEMKABIZI HUYU PAULO HII IMANI YA WARUMI?

JE IMANI YA RUMI NAYO NI INJILI YA YESU KWA MUUJIZA GANI...?
 
Mtume Paulo ndio kaja kuhalibu injili ya yesu na kuwapotosha watu wanaojiita wakristo, kama naongopea toeni andiko ukristo ni dini,? Na wapi yesu kaseme Paulo ni mtume wangu?? . katika maandiko haya ndipo mtu utajiliza tu,

Rumi,1;1) Paulo mtumwa wa kristo yesu aliye itwa kuwa mtume, (hapa pana maswali aliye itwa kuwa mtume wa yesu,!?)

Ukija kwenye Aya hii nayo inaukakasi wake,

Wefeso,1;1) Paulo mtume wa kristo yesu kwa mapenzi ya mungu, kwa watakatifu walioko (efeso) wanao mwamini kristo yesu,

Swali utume huu wa Paulo kapewa na yesu,? Au kaupata kupitia yesu kwa mapenzi ya mungu
 
Paulo kaja kuhalibu injili ya yesu yeye na waandishi akina Luka, ukisoma, yohana, 20;30;31) utakuta hapo Paulo na waandishi wake ndio waliivuluga injili ya yesu, ukisoma hii Aya ndio utajua Paulo hakuwaonea raha watu hapa ulimwenguni,

Matendo, 1;1;2) kitabu kile cha kwanza nalikiandika theofilo, katika habari ya Mambo yote aliyoanza yesu kufanya na kufundisha

2) hata siku ile alipochukuliwa juu, alipokuwa amekwisha kuwaagiza kwa roho mtakatifu wale mitume aliwachagua,
Swali, la pili linakuja hapa, mbona Paulo hajasema kwenye hii Aya [emoji115][emoji115] soma uitakafali kiundani utajua Paulo hakuwa mtume,, Paulo akaja akatushtua hapa kwamba Kuna watu walio mfuata yeye kma mtume, hajawalazimisha ila katumia ujanja wke wakuzaliwa,

2,wakorintho,12;16) lakini na iwe hivyo, Mimi sikuwalemea Bali kwa kuwa Ni mwerevu, naliwapata kwa hila,

Uyu jamaa ndiye kaleta dini ukristo na kitabu cha biblia, lakini swali la kutakakujibiwa mungu wa hivi vitu viwili hivi ninani,? Izo Aya hpo juu soma, ukijibu kwa maandiko, kwenu mnaojiita wakristo.
 
NAWASHANGAA ROMA KUPONYA HAWAPONYI POMBE DISCO BANGI DIGARA VYOTE VYAO usiwaseme wasabato na walokole namana hata YESU ILIKUWA NI DESTURI KWAKE kufuata sabato najua utanielewa taratibu WAPARESTINA WAMEVAMIA TARE 7/10 siku ya sabato ambako waisrael wengi walikuwa wanajiandaa kwenda kuabudu
 
Kanuni ya kumsahihisha mtu, unamwambia mtu anasema kitu ambacho si kweli, ni wajibu wako kusema ukweli ni upi, siyo kuhororoja tu.
Kanuni ya kuhoji kitu flani usichokielewa ni kuuliza ili kupewa maelezo yakueleweka, na sio kutukana domination nzima kama ulivyosema wasabato ni "wajinga".
 
Kiukweli stori Yako nzuri...ila Haina urali na vina kupelekea kuwa ya moja kwa Kwa moja kwenye kueleweka...ni kama umeikopi BBC swahili wale waandishi wa kikenya...story zao nyingi hazina mlinganyo wala muendelezo wa Aya na Aya...

Ungetulia na kuandika kama wewe, ingekuwa Bora zaidi
 
Kutofautiana na Sera za hakukuanza leo, ni tangu mwaka 500 na kitu na ndio chanzo cha Orthodox kuwa na Papa wao na kujitenga na Roman Catholic na moja ya sababu kubwa ya kanisa katoliki la Mashariki ( Orthodox) kujitenga na kanisa katoliki la Magharibi (Roman Catholic) lilikuwa ni matumizi ya sanamu pamoja na kupinga swala la Roma Locuta, Causa Finita Est.

Je mkuu ulimpomsikia Papa akiongelea ushoga ulimsikia akiongea kwa lugha gani? Kilatini? Kireno? Kitaliano? Kingereza, Kijerumani au kwa lugha gani?
Mkuu Papa aliongelea Ushoga na bado yupo kusimamia hilo jambo usinibane kwenye Lugha mkuu si unajua wasafiri hizo ndio nguzo zetu kuu...
 
Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa

Wapendwa katika bwana TUMSIFU YESU KRISTU
Bwana Yesu alisema
"
Mathayo 10:16
Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.

Naam na yale yote aliyosema yeye yametukia katika vipindi mbalimbali ndani ya kanisa

Kwa karne nyingi, kanisa Katoliki limekuwa likiongozwa na Papa, ambaye alikuwa ishara ya wema kama Kristo na sauti muhimu ya maadili kwa baadhi ya masuala muhimu zaidi ya kisiasa na kijamii duniani. Walakini, licha ya sifa yao ya kuwa mshiriki mwadilifu na mwenye maadili katika ulimwengu wa Kikatoliki, hii haijawahi kuwa hivyo kila wakati.
Leo ninakuletea baadhi ya mapapa waovu kuwahi kutokea katika kanisa kama ulidhani papa Fransisi ni muovu wa kwanza

Yohana XII
Tangu kutwaa uongozi akiwa na umri wa miaka kumi na minane tu, haungekuwa mwanzo mzuri kwa Papa John XII. Moyo wake mchanga haukuwa tayari kwa maisha ya Papa na hivi karibuni alibadilisha makazi yake kuwa danguro. Akienda chini zaidi kwenye shimo la sungura, alishiriki katika kuua, kushawishi pepo, na hata kufanya ngono na dada zake. Uzinzi wake uliishia kuwa kifo chake hata hivyo baada ya mume kumshika mke wake kitandani na John XII na kumpiga papa vibaya sana, kwamba alikufa siku tatu baadaye kutokana na majeraha yake.

(Kuna filamu inaitwa Young pope, itazame)

Boniface VIII
Nukuu maarufu na ya kuogofya ya Boniface VIII ilikuwa kwamba watoto wadogo hawakuwa na tatizo zaidi ya “kusugua mkono mmoja dhidi ya mwingine.” Alichaguliwa mnamo 1294, Boniface VIII alianzisha safu ya sanamu kuzunguka jiji hilo na hata kuharibu jiji la Palestrina kwa ugomvi wa kibinafsi. Alikuwa na sifa ya ukaidi na ustadi wa kuanzisha mapigano.

Benedict IX
Benedict IX alikuwa papa katika matukio 3 tofauti wakati wa uhai wake, na ya kwanza ikiwa ni alipokuwa na umri wa miaka 12 tu. Alikua mvulana mwovu na alikimbia kutoka kwenye nafasi hiyo na kujificha ndani ya jiji wakati wapinzani wa kisiasa walipojaribu kumuua. Katika muda kati ya utawala wake, alianza kuiba, kuua na kufanya ‘matendo mengine yasiyosemeka’ katika jiji lote. Akawa papa tena mnamo 1045, ambayo ilidumu miezi 2 tu kabla ya mtu kumlipa kuondoka. Miaka miwili baada ya kuondoka kwa mara ya pili, alijaribu tena, na kudumu miezi minane pekee wakati huu kabla ya hatimaye kufukuzwa na kutorejea tena.

Alexander VI
Alianza na upapa wake kwa kishindo cha kukaidi, akipata tu nafasi ya Papa kwa kuwahonga makadinali wenzake. Kabla ya kuwa Papa, alikuwa mwanachama wa Borgias, familia ya uhalifu ya Italia, na mtazamo wake haukubadilika baada ya kuwa Papa. Wakati wake, njama nyingi na ukosefu wa uaminifu ulimzunguka na maamuzi yake. Pamoja na kuwa papa mjuzi katika siasa, pia alikuwa mzinzi. Alizaa watoto wasiopungua tisa ambao tunawafahamu na alikuwa maarufu kwa kuandaa karamu nyingi katika kipindi chote cha utawala wake, huku mmoja akiitwa 'Joust of Whores.' Anazidi kuwa mbaya zaidi unapoona ripoti nyingi ambapo Alexander VI alifanya ngono na jamaa. binti yake, Lucrezia.
Sergius III
Sergius III hakumuua tu Papa kabla yake, lakini pia alimuua papa kabla ya hapo, akiweka wakati wa kuwasili kwake kutawala kikamilifu. Kisha alitumia uwezo wake kumweka mtoto wake, Papa John XI (young Pope), aliyezaa na bibi yake kahaba mwenye umri wa miaka 15, kuwa Papa miaka ishirini baada yake.

Leo X
Leo X ni maarufu kwa matumizi yake ya kifahari wakati wa utawala wake, na kuwa mlezi wa sanaa ambaye aliagiza kujengwa upya kwa Basilica ya St. Baada ya pochi ya kanisa kuwa nyepesi kidogo, Leo X kisha akawashawishi waumini wangeweza kununua njia yao ya kwenda mbinguni, kwa kuuza msamaha ambao ungepunguza dhambi zao (mshenzi sana huyu).

Stephen VI
Papa huyu alianza enzi yake kwa maonyesho mabaya, akimchimbua mtangulizi wake, Papa Formosus, na kuonyesha maiti yake kuhukumiwa. Mwili mlegevu wa Formosus uliimarishwa kwenye kiti cha enzi huku Stephen VI akipiga kelele kwa maswali ambayo hayajajibiwa, akimshutumu kwa kukufuru wakati wa ukuu wake. Haishangazi, papa aliyekufa alipoteza, na mwili wake ukatupwa kwenye Mto Tiber. Hata hivyo, baadaye mwili huo ulitolewa mtoni na kuzikwa ipasavyo na wafuasi wa Formosus. Stephen VI baadaye alifungwa na kunyongwa hadi kufa na wafuasi wa Formosus.

Kwa baadhi tu ni hao lakini wapo wengi sana mapapa waovu ambao walilipaka kinyeai na kuinajisi taswira ya kanisa ila kanisa limesimama na litasimama hadi miisho ya dunia

Angalieni upumbavu wa papa Fransisi;
Papa Francis amemvua uaskofu rasmi Askofu Joseph Strickland wa Tyler, Texas kwa kuwa "Mkatoliki kupita kiasi."

“Licha ya kuonywa mara kwa mara, Askofu Strickland alikataa kuacha kuwa Mkatoliki,” alisema Papa Francis. "Alishikilia kwa uthabiti fundisho la Kikatoliki, na hakuna nafasi kwa hilo katika Kanisa Katoliki la leo."

Kulingana na vyanzo, Askofu Strickland hapo awali alikasirisha Vatican kutokana na vipindi vingi vya yeye kukiri imani ya Kikatoliki hadharani. "Askofu Strickland alikuwa na ujasiri wa ajabu wa kufundisha Katekisimu ya Kanisa Katoliki," Kardinali Robert McElroy alisema. "Kama, hata sehemu zisizopendwa sana kuhusu jinsia na ndoa. Mambo hayo ni hivyo - Papa alisemaje - 'nyuma na nje ya kuguswa'! Hata hivyo, Papa Francis alitaka kuhakikisha kuwa Wakatoliki wote huko nje wanashikilia kwa nguvu. kwa mafundisho ya Kanisa wanapopambana na utamaduni unaozidi kuwa na uadui wanajua jinsi walivyo peke yao kweli."

Hata baada ya mawaidha mengi kutoka kwa Vatikani, Askofu Strickland alichagua kuthibitisha mafundisho ya kimahakimu ya Kanisa Katoliki badala ya kukubali itikadi kuu ya kitamaduni. Katika jitihada ya kufanya mashtaka dhidi ya Strickland kuwa ya kejeli iwezekanavyo, Vatikani ilimshutumu Askofu Strickland kwa kuchagua itikadi za kitamaduni badala ya mafundisho ya Kanisa Katoliki. "Kicheshi kweli ni kitamu, sivyo?" Alisema Papa Francis akitabasamu. "Ni kama nilipopiga marufuku kusherehekea Misa ya Kilatini, ikidaiwa kuwa kwa ajili ya umoja wa kanisa - wakati Misa ya Kilatini bila shaka ni njia ya kuunganisha Wakatoliki katika vizazi na tamaduni. Pia, parokia hizo za Misa ya Kilatini zilikuwa zikikua - ilibidi katika chipukizi."

Wakati wa uchapishaji, Wakatoliki walikuwa wamekumbuka kwamba historia ya Kanisa ilikuwa imejaa Mapapa wakorofi ambao kwa hakika waliwachoma moto watu kwa kuwa Wakatoliki kupita kiasi, lakini milango ya Kuzimu haitamshinda bibi-arusi wa Kristo.

Yawezekana papa Fransisi ni shoga au ana maslahi na ushoga, haya mambo tulikuwa tunayashangaa kwa waanglikana na walutheri na hata walokole wa magharibi kuhusu kulegeza Sheria najisi zinazopingana na ukristu Sasa nasi yametufika. Ulimwengu haujaisha huu ushawishi wa kishetani utaenda na kufika hata katika jamii za waadventista na waislamu, muda utasema tu (Niliwahi kusoma makala moja kuhusu msikiti wa mashoga ujerumani)

Hivyo wapendwa katika Kristu msife moyo maana shetani halali anapotaka kutawanya huja hata Kati yetu Jambo la pekee ni kujua kuwa KRISTU YEAU NDIYE TUMAINI LETU

Yohana 16:33
Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
yaani mtu Anangolea mambo ya mwaka 1000 na anadaiwa bum, yupo kwa shemeji yake
 
Brother hujui kitu.

Ni watu kama nyie ndo mnaosambaza false news, hamna kitu ulichiandika hapo ambacho ni cha kweli.

Cha kukushauri tuu brother, ukitaka kujua kuhusu dini flani, nenda kweny mwongozo wa hio dini, usiwe unatumia maneno unayosikia kwa watu or maybe umekutana na msabato asiyejitambua akashindwa kujielezea vizur ndo ukafanya kuwa ndo msingi wa imani yako kuhusu dhehebu la kisabato.

ukitaka kufahamu kuhusu ukatoliki nenda kweny muongozo wa kanisa la katoliki, ukitaka kujua kuhusu Lutheran nenda kweny muongozo wa kanisa la lutheran na ukitaka kujua kuhusu kanisa la SDA nenda kweny muongozo wa kanisa la SDA.

usiwe kama huna akili ndugu yangu.
Usabato ni laana

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Prove kwamba Mungu hayupo angalau kwa kuumba tu sisimizi.
Hii ni logical fallacy, logical non sequitur.

Sisimizi hana uhusiano wowote na Mungu.

Nikiumba au nisipoumba sisimizi, hakuna kinacho prove Mungu hayupo hapo.

Kama unabisha, prove kwamba kuumba sisimizi kuna prove Mungu hayupo.
 
Proved
Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa

Wapendwa katika bwana TUMSIFU YESU KRISTU
Bwana Yesu alisema
"
Mathayo 10:16
Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.

Naam na yale yote aliyosema yeye yametukia katika vipindi mbalimbali ndani ya kanisa

Kwa karne nyingi, kanisa Katoliki limekuwa likiongozwa na Papa, ambaye alikuwa ishara ya wema kama Kristo na sauti muhimu ya maadili kwa baadhi ya masuala muhimu zaidi ya kisiasa na kijamii duniani. Walakini, licha ya sifa yao ya kuwa mshiriki mwadilifu na mwenye maadili katika ulimwengu wa Kikatoliki, hii haijawahi kuwa hivyo kila wakati.
Leo ninakuletea baadhi ya mapapa waovu kuwahi kutokea katika kanisa kama ulidhani papa Fransisi ni muovu wa kwanza

Yohana XII
Tangu kutwaa uongozi akiwa na umri wa miaka kumi na minane tu, haungekuwa mwanzo mzuri kwa Papa John XII. Moyo wake mchanga haukuwa tayari kwa maisha ya Papa na hivi karibuni alibadilisha makazi yake kuwa danguro. Akienda chini zaidi kwenye shimo la sungura, alishiriki katika kuua, kushawishi pepo, na hata kufanya ngono na dada zake. Uzinzi wake uliishia kuwa kifo chake hata hivyo baada ya mume kumshika mke wake kitandani na John XII na kumpiga papa vibaya sana, kwamba alikufa siku tatu baadaye kutokana na majeraha yake.

(Kuna filamu inaitwa Young pope, itazame)

Boniface VIII
Nukuu maarufu na ya kuogofya ya Boniface VIII ilikuwa kwamba watoto wadogo hawakuwa na tatizo zaidi ya “kusugua mkono mmoja dhidi ya mwingine.” Alichaguliwa mnamo 1294, Boniface VIII alianzisha safu ya sanamu kuzunguka jiji hilo na hata kuharibu jiji la Palestrina kwa ugomvi wa kibinafsi. Alikuwa na sifa ya ukaidi na ustadi wa kuanzisha mapigano.

Benedict IX
Benedict IX alikuwa papa katika matukio 3 tofauti wakati wa uhai wake, na ya kwanza ikiwa ni alipokuwa na umri wa miaka 12 tu. Alikua mvulana mwovu na alikimbia kutoka kwenye nafasi hiyo na kujificha ndani ya jiji wakati wapinzani wa kisiasa walipojaribu kumuua. Katika muda kati ya utawala wake, alianza kuiba, kuua na kufanya ‘matendo mengine yasiyosemeka’ katika jiji lote. Akawa papa tena mnamo 1045, ambayo ilidumu miezi 2 tu kabla ya mtu kumlipa kuondoka. Miaka miwili baada ya kuondoka kwa mara ya pili, alijaribu tena, na kudumu miezi minane pekee wakati huu kabla ya hatimaye kufukuzwa na kutorejea tena.

Alexander VI
Alianza na upapa wake kwa kishindo cha kukaidi, akipata tu nafasi ya Papa kwa kuwahonga makadinali wenzake. Kabla ya kuwa Papa, alikuwa mwanachama wa Borgias, familia ya uhalifu ya Italia, na mtazamo wake haukubadilika baada ya kuwa Papa. Wakati wake, njama nyingi na ukosefu wa uaminifu ulimzunguka na maamuzi yake. Pamoja na kuwa papa mjuzi katika siasa, pia alikuwa mzinzi. Alizaa watoto wasiopungua tisa ambao tunawafahamu na alikuwa maarufu kwa kuandaa karamu nyingi katika kipindi chote cha utawala wake, huku mmoja akiitwa 'Joust of Whores.' Anazidi kuwa mbaya zaidi unapoona ripoti nyingi ambapo Alexander VI alifanya ngono na jamaa. binti yake, Lucrezia.
Sergius III
Sergius III hakumuua tu Papa kabla yake, lakini pia alimuua papa kabla ya hapo, akiweka wakati wa kuwasili kwake kutawala kikamilifu. Kisha alitumia uwezo wake kumweka mtoto wake, Papa John XI (young Pope), aliyezaa na bibi yake kahaba mwenye umri wa miaka 15, kuwa Papa miaka ishirini baada yake.

Leo X
Leo X ni maarufu kwa matumizi yake ya kifahari wakati wa utawala wake, na kuwa mlezi wa sanaa ambaye aliagiza kujengwa upya kwa Basilica ya St. Baada ya pochi ya kanisa kuwa nyepesi kidogo, Leo X kisha akawashawishi waumini wangeweza kununua njia yao ya kwenda mbinguni, kwa kuuza msamaha ambao ungepunguza dhambi zao (mshenzi sana huyu).

Stephen VI
Papa huyu alianza enzi yake kwa maonyesho mabaya, akimchimbua mtangulizi wake, Papa Formosus, na kuonyesha maiti yake kuhukumiwa. Mwili mlegevu wa Formosus uliimarishwa kwenye kiti cha enzi huku Stephen VI akipiga kelele kwa maswali ambayo hayajajibiwa, akimshutumu kwa kukufuru wakati wa ukuu wake. Haishangazi, papa aliyekufa alipoteza, na mwili wake ukatupwa kwenye Mto Tiber. Hata hivyo, baadaye mwili huo ulitolewa mtoni na kuzikwa ipasavyo na wafuasi wa Formosus. Stephen VI baadaye alifungwa na kunyongwa hadi kufa na wafuasi wa Formosus.

Kwa baadhi tu ni hao lakini wapo wengi sana mapapa waovu ambao walilipaka kinyeai na kuinajisi taswira ya kanisa ila kanisa limesimama na litasimama hadi miisho ya dunia

Angalieni upumbavu wa papa Fransisi;
Papa Francis amemvua uaskofu rasmi Askofu Joseph Strickland wa Tyler, Texas kwa kuwa "Mkatoliki kupita kiasi."

“Licha ya kuonywa mara kwa mara, Askofu Strickland alikataa kuacha kuwa Mkatoliki,” alisema Papa Francis. "Alishikilia kwa uthabiti fundisho la Kikatoliki, na hakuna nafasi kwa hilo katika Kanisa Katoliki la leo."

Kulingana na vyanzo, Askofu Strickland hapo awali alikasirisha Vatican kutokana na vipindi vingi vya yeye kukiri imani ya Kikatoliki hadharani. "Askofu Strickland alikuwa na ujasiri wa ajabu wa kufundisha Katekisimu ya Kanisa Katoliki," Kardinali Robert McElroy alisema. "Kama, hata sehemu zisizopendwa sana kuhusu jinsia na ndoa. Mambo hayo ni hivyo - Papa alisemaje - 'nyuma na nje ya kuguswa'! Hata hivyo, Papa Francis alitaka kuhakikisha kuwa Wakatoliki wote huko nje wanashikilia kwa nguvu. kwa mafundisho ya Kanisa wanapopambana na utamaduni unaozidi kuwa na uadui wanajua jinsi walivyo peke yao kweli."

Hata baada ya mawaidha mengi kutoka kwa Vatikani, Askofu Strickland alichagua kuthibitisha mafundisho ya kimahakimu ya Kanisa Katoliki badala ya kukubali itikadi kuu ya kitamaduni. Katika jitihada ya kufanya mashtaka dhidi ya Strickland kuwa ya kejeli iwezekanavyo, Vatikani ilimshutumu Askofu Strickland kwa kuchagua itikadi za kitamaduni badala ya mafundisho ya Kanisa Katoliki. "Kicheshi kweli ni kitamu, sivyo?" Alisema Papa Francis akitabasamu. "Ni kama nilipopiga marufuku kusherehekea Misa ya Kilatini, ikidaiwa kuwa kwa ajili ya umoja wa kanisa - wakati Misa ya Kilatini bila shaka ni njia ya kuunganisha Wakatoliki katika vizazi na tamaduni. Pia, parokia hizo za Misa ya Kilatini zilikuwa zikikua - ilibidi katika chipukizi."

Wakati wa uchapishaji, Wakatoliki walikuwa wamekumbuka kwamba historia ya Kanisa ilikuwa imejaa Mapapa wakorofi ambao kwa hakika waliwachoma moto watu kwa kuwa Wakatoliki kupita kiasi, lakini milango ya Kuzimu haitamshinda bibi-arusi wa Kristo.

Yawezekana papa Fransisi ni shoga au ana maslahi na ushoga, haya mambo tulikuwa tunayashangaa kwa waanglikana na walutheri na hata walokole wa magharibi kuhusu kulegeza Sheria najisi zinazopingana na ukristu Sasa nasi yametufika. Ulimwengu haujaisha huu ushawishi wa kishetani utaenda na kufika hata katika jamii za waadventista na waislamu, muda utasema tu (Niliwahi kusoma makala moja kuhusu msikiti wa mashoga ujerumani)

Hivyo wapendwa katika Kristu msife moyo maana shetani halali anapotaka kutawanya huja hata Kati yetu Jambo la pekee ni kujua kuwa KRISTU YEAU NDIYE TUMAINI LETU

Yohana 16:33
Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
Mimi binafsi nimetoa ushauri sana hapa JF mara nyingi kuhusu dhehebu na imani ya Kikatoliki,it is anti-christ.Nimeliita dhehebu kwa kuwa ndivyo lilivyo,sio Kanisa.Kanisa ni mkusanyiko wa watu wanaomuamini Bwana Yesu,Waroma hawamuamini Bwana Yesu,wanamuabudu Shetani bila wao wenyewe kujua,and the top brass knows what is going on.Msikilize Pope Francis hapa chini,utaona kwamba anajua kinachoendelea,na,hapa ameamua kusema ukweli about himself and the teachings of Catholicism,obviously kwa kusukumwa na Mungu aseme ukweli huo.Bwana Yesu amesema pando asilolipanda Mungu litang'olewa,in this case amemtumia Pope mwenyewe,how surprising.

Mathayo 15:13
13 Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa.

View: https://youtu.be/lzmRVmlqGKU?si=z-mur23DirjsCxs5

Infact hata kuita Catholicism dhehebu au Dini ni kuliheshimisha sana,it is a cult.Satanism in Catholicism is very obvious and has been there since the inception of the denomination.The symbolism, teachings na vitendo vya viongozi tells it all,ni kwa sababu tu waliomo humo wameziba masikio yao,hawataki kujifunza ukweli, kwa hiyo nikiri kwamba hawana nia kabisa ya kwenda mbinguni,it is total hipocricy.Wao naona wameridhika siku ya Jumapili ambayo sio siku ya ibada anyway, na hata Pope Francis amekiri kwenye clip,kuingia na kutoka kwenye nyumba zinazoitwa za ibada,wakidhani wanamuabudu Mungu wa kweli,kumbe wanamuabudu Shetani,inatia huruma sana.

Mkatoliki mwenye nia ya kujifunza na kujua ukweli akiisoma Biblia kwa nia ya kweli ya kumjua Mungu, hawezi kuwa Mroma.Pia Mroma akitafuta ukweli kuhusu the Jesuits ambalo infact ni kama jeshi la Papa, hawezi kuendelea kuwa Mroma,it is such an evil organization,haina tofauti yeyote na underground societies zingine kama Skull and Bones or Freemasons.It is important to note that Pope Francis is a Jesuit member.

I believe It is time to wake up,watu watadanganywa mpaka lini?
 
Masuala ya dini nayaogopa sana, ngoja Wakatoliki wenyewe waseme.
Mdakuzi maoni yako tafadhali ktk hili kama Mkatoliki.
B..., ni bahati mbaya haya mambo ya imani nayaogopa sana kuyawekea maoni yangu binafsi hadharani, kwa kuwa yameshika hisia za wengi.

Maoni yangu yoyote hapa sasa hivi, yanaweza kupindua imani ya mtu fulani mahali ambaye tangu awe duniani amekuwa akiishika.

Na iwe bahati mbaya kuwa, maoni yangu yawe yalipotosha mahali. Naogopa sana.

Ova
 
Hakuna wafia dini ulaya ??? Hahaha usichekeshe umma,, Kuna clip moja jamaa sijui walokole wale sijui ni dhehebu gani ni wazungu, wanahubiri sehemu za mashoga kuwa waache ushoga wao wataenda motoni....Au ufia dini maana yake nini
Unaona tatizo lako lilipo? Mimi nineishi ulaya kwa kitambo unaandika uhalisia, wewe upo kwenu Kimanzichana una angalia clip YouTube unataka kubishana na Mimi?

Ulaya makanisa ni wanakwenda wazee na si kwamba vijana wanajiunga na Uislamu Bali wanaojuwa ukweli kwamba dini project za watu tu hili wazungu wanalijuwa vizuri na wameshajikombowa nalo.

Ukiona kijana wa Kizungu ni religion Man basi ujuwe ni sehemu yake ya maisha kwenye organisation zao za kukusanya pesa.
 
B..., ni bahati mbaya haya mambo ya imani nayaogopa sana kuyawekea maoni yangu binafsi hadharani, kwa kuwa yameshika hisia za wengi.

Maoni yangu yoyote hapa sasa hivi, yanaweza kupindua imani ya mtu fulani mahali ambaye tangu awe duniani amekuwa akiishika.

Na iwe bahati mbaya kuwa, maoni yangu yawe yalipotosha mahali. Naogopa sana.

Ova
Kama una hakika kwamba imani yako ni ya kweli,you must share it,ndivyo Mungu alivyoamuru.

Mathayo 5:15
15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.
 
Back
Top Bottom