Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Kabisa Dada yangu! Usipoolewa mwaka huu kuwa nasubira mwakani naongeza mke wa pili, nitakupa kipaumbele dada yangu! Hongera kwa utilivu!

Malaya wanaolewa mapema sana
 
Unakosea sana kusema tunspenda wanawake malaya.

Unstakiwa useme tunapenda wanawake watundu kitandani.

Kinachowafanya malaya waolewe sio umalaya wao,bali ni ule uzoefu wa utundu wao kitandani akikufanyia wewe akakuonjesha unapagawa lakini sio kwwmba unapagawa nae na kutaka kumuoa kwa sababu ya kuwa ana wanaume wengi,bali kwa sababu ya utundu.

Kama wewe unapenda malaya kwa sababu ya umalaya wake na sio utundu basi naomba iwe kwako tu mkuu.

Ndio maana wengi wanaooa malaya wanasifia kwamba wanajua msmbo,kuna mijanamke mimalaya inagawa tu lakini haina inachojua kwenye uringo wa mapenzi,hawa hawaolewi ng'o hata kama ni malaya,mtu ataishia kwenda kuzini kutoa nyege zake tu.

Malaya wanapendwa kwa utundu wao na sio kwa sababu ya umalaya wao
 
Uzoefu na juhudi wakati wa sex, ujuzi wa kuhandle na kucare mwanaume, ucheshi mbele ya mwanaume, ubunifu kabla na baada ya sex, attraction, hiz ndio siraha kubwa wanawake malaya huzitumia kututeka akili. Bahati mbaya asilimia kuvwa ya wanawake wastaarabu hawana
 
I'm doing a simple pilot survey (questionnaire)
At ur free time may u participate by answering the questions.

I would much Appreciate your participation.

Please share with your friends

 
Utundu hupatikana kwa umalaya
 
Hayo yote hadi awe Malaya ndo atayajua
 

Kumbe mshedede aa kila siku mnaenjoy ee
 
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]

Hii ni special kwa mtoa mada na wanaomuunga mkono

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…