Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Hata hivyo wanaume tunawaweka wanawake katika makundi mawili. Wapo wa kujirusha nao na wa kuoa na kuweka ndani kama mke? Hawa ni watu wawili tofauti. Hiyo ni sera ya wanaume wote wenye akili.
Hakuna mwanaume anayeoa mwanamke anayempa nyuma, nasema hakuna.
Hakuna mwanaume anayeweka kigezo cha manjonjo kitandani kudifine mke wa ndoa. HAKUNA.
Yes mapenzi yanahitaji ukichaa lakini sio ukichaa uliothihirishwa na jamii kwamba huyu ni mwehu. Ukichaa na uchafu uko chumbani na hakuna anayejua. Watu wengi wakijua huyu ni malaya wanaume hawaoi.
Mwanamke mwenye sifa za kuka naye bata haolewi hata siku moja. Ni asilimia ndogo wamaeolewa.
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app