Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Umefikiri tofauti sana,wanaume sa ivi hatutaki story story kibao tunataka wanawake waelewa ambao teari wameshaeleweshwa Sasa ukifikiri kwa kawaida huwezi kuelewa
 
Mwanamke anayekaa kimalaya malaya anapendezesha dunia,ni burudani kuwaangalia,mimi huenda bar hasa za arusha kufurahsha macho yangu kuona watoto wa kimburu waktembea kwenye viunga vya bar,huwa na wish kuwa na mke wa pili mwenye tabia za kiumalaya ila asizae nataka wakunifurahsha tu
 
Anaolewa kutwa mara tatu!? 😳😳 au wanamtia kutwa mara tatu? Huyo si mke ni malaya tu ambaye wanaume wanamtumia kupunguza ugwadu wao kwa malipo.
 
Maneno ya mkosaji hayo!

Wewe kama umeshaokota malaya kazi ni kwako!

Lakini asili kabisa aliumbwa Adam na Hawa tu ingekuwa na ulazima angeumbwa zaidi lakini akauona hao wanatoshelezana kuzidi hapo ni kuathiriwa na asili.
 
fucvk no"" man love whores as their side piece but that good church girl thats for marriage, family and for your man https://jamii.app/JFUserGuide almost everythnig
 
Ukweli ni kuwa mwanaume akiwa na hitaji la lile tendo hawezi kumfuata mwanamke mtulivu maana atachelewa kupata.

Kwenye kuoa ni tofauti kidogo.
 
Kama kweli tunawapenda malaya tusingewachunga wenza wetu, tungewaacha huru ili wakubuhu. Ukweli ni kwamba tunawahitaji lakini hatuwapendi. Na wao wanalijua hilo ndio maana kuna vigezo na masharti wanavyojiwekea ili uwapate.
 
Ningekua na ela ningekununulia ballcone,
Nice comment
 
Njoo kwangu utanifaa kabisa,mahari sh ngapi nijipange nije toa nichukue mkee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…