Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Reality! Na hakuna mwanamke asiye Malaya kama pako waz,tunatofautiana mnato wa K tu.Aringe bikra.
 
Mnyazi Mungu akuweke sana udugu wangu Dmkali
huo ndo ukweli, wanaume wanapenda malaya, aivo nna udugu wangu mwenyewe Zainab malaya wa mburahati anaolewa kutwa mara 3, mie nipo tu kama yatima niliesuswa, Poooh malaya nimefungwa kuolewa... Aivo naenda kisarawe kwa bibi angu kambaulaya malaya wa TANU mwenye ndoa 7 akanifungue!

Poooh ukweli ndo huu udugu wangu Dmkali malaya ndo wanaolewa, sisi watulivu tumekalia Salamaleko Mnyanzi Mungu atusaidie.
Mmekalia salamaleko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmekalia salamaleko[emoji23][emoji23][emoji23] kama unajua kupika chapati soft, njoo nikuoe
heheeee Nimipata bwana usiku usiku kama mwizi wa mpunga Pooh!! mwashabani mwenye nyota yangu ya usiku Mnyazi Subaalna wataala kasikia kilio changu, njoo mpenzi wangu nikukogeshee mfezafeza, nikufukize karafuu Napika chapati laini kuliko maisha yako , Pooh karibu mpenzi penzi tulienzi...
 
Duh salaale SEX ina mambo mengi hii maana mpya ya kila mwanamke HUJIUZA ndio maana yake siijui labda
ulichozungumzia wewe naona ni hii ya KUDANGA ikiwa na maana ya kujiuza na kupata shilingi akarudi kwa mumewe na inawezekana akatega mahali na yupo katika Ndoa hao ndipo NAKATAA
Kuna ile SEX ya kazini kupata Vyeo mpaka vya kisiasa, kuna ya Vyuoni ili kufaulu, kuna ya Majeshi kupata shushi au post laini km Traffic nk hapo napo ni KUJIUZA?
basi ambao hamjao msioe tena, tuachieni tunaogongewa bila kujua

Mkuu, kwani mkeo hajiuzi... unamla bure?

Ulimtolea mahari, unamhudumia kila siku ukate pochi kubwa.... huko ni kulipia huduma kama hupendi tutumie neno kujiuza.
 
Kimtazamo unaweza kudhani ni kweli wanaume hatupendi Malaya!

Lakini kiuhalisia sivyo kabisa!

Leo nawasanua muelewe somo hili mjifunze!

Asilia (Nature) haitaweza kubadilika kamwe!

Mwanaume kaumbiwa matamanio mengi mwilini!
Mbaya zaidi matamanio hayo yanahitaji kutibiwa immediately pasipo kuchelewa!

Mfumo wa matamanio kwa mwanaume umekaa kama haja! Ukibanwa sharti ujisaidie hata porini almradi tu haja itoke!

Hivyo pori litakalokustili Leo ukajisaidia haja hata ukiambiwa lina miimba ww hujali sana, cha mhimu unawaza ukibanwa litakustili fasta!

Ndivyo ilivyo kwa mwanamke Malaya alivyo na thaman kubwa kwa mwanaume!

Mwanamke Malaya anatambuliwa na ubongo wa mwanaume kama LULU inayostarehesha!

Hivyo ni rahisi sana mwanamke Malaya kuolewa kuliko huyo anaebana bana kutoa penzi!

Mwanamke hata awe katoka guest kutafunwa mda huo, akipita kwa mwanaume rijali huonekana anafaida kwa matumizi ya baadae hivyo ni asset!.

Kama hauamini ebu tafakari!

Ebu tafakari ni Malaya wa ngapi wameolewa na tabia zao zinafahamika wazi!

Tena wengine hata ndoa 5 zote wanaolewa na matarumbeta, lakini mrembo aliyetulia tabia akizeekea nyumbani kwao!

Halafu kibaya zaidi wanawake wengi waliotulia, wakiamua kutoa kutoa mbususu hujikuta wanatiwa mimba chap na kutelekezwa kwasababu hawajui mbinu za kukwepesha Mimba, hawajui kula p2, hawawezi kutoa Mimba, hawawezi mchezea mwanaume amwage inje siku za hatari, hawawezi kutoa tigo siku za hatari! Hivyo mbinu pekee ya kuepuka hayo wao HUZINGUA KUFANYA MAPENZI (umalaya) KWA KUSUBIRI NDOA na kuhesabika ni wasumbufu, wasioelewa, wabishi na katili.

Kwahiyo Nathibitisha kwenu Leo, Wanaume hupenda zaidi Mwanamke Malaya kuliko watulivu!

Ewe mwanamke kama unataka ndoa chap, Jichetue, Toa Papa Mara tano halafu omba pesa Mara moja au mbili,
Ukifanya hivyo kwa wanaume watatu lazima mmoja atangaze ndoa fasta!

Lakini hii njia ya nipe Nikupe,yaani toa pesa kwanza ili nikupe penzi. Hakika ndoa kwenu mtaisikia!

UMALAYA WENYE MALENGO HAUCHELEWI KUJIBU!

Wanaume hupenda Malaya ingawa tunaonekana tunapinga!

Hata huko bungeni yule mbunge aliyesemekana kavaa nguo za utupu, Shingo za wanaume zilikatika kwa kumgeukia kwasababu Malaya anagusa mtima!

UMalaya ni kama sinki la choo! Linasemwa vibaya sana lakini kila mtu analo nyumbani kwake anafrash kimya kimya!!!
Shetani ana akili sana aliwaweka wadada wazuri wawe malaya ili wawaangushe wanaume kwenye dhambi ya uzinzi. Malaya wengi wazuri ila tabia zao zinawafanya wasidumu kwenye ndoa
 
Hakuna mwanaume Duniani anapenda kuoa Malaya.. nadhani ilitakiwa kusema mwanamke anae jua mapenzi ila sio Malaya.. yani mwanaume ukimpenda mwanamke hutamani hata kidogo kusikia mwanamke wako ame cheat au umesahau msala wa Winy Mandela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

"Mwanaume anapenda mwanamke mtu lakini atulie.. amlage mwenyewe tu"

Hawa Malaya ni wa kuchapa na kusepa.. sio kuoa yani Sex is not everything kwenye Ndoa.
Nadhani mleta mada angeweka 'muhuni/mtundu kitandani' angeeleweka kiurahisi zaidi
 
Mkuu watu wana perceptions za ajabu sana ktk swala la mahusiano
Inashangaza kuona kuwa mwanaume anaoa kwasababu anataka kumtunza mke. Yaani mwanamke kashindwa kujitunza sasa yeye ndo anamuonea huruma anamuoa ili amsaidie kumtunza.
.
.
Ni Kama vile mwenye uhitaji sana wa ndoa ni mwanamke, mwanaume aaingia kwenye ndoa ili kumsaidia mke. So pathetic.
Kwa mawazo hayo ya wanaume wengi wa kiafrica ndoa zitaendelea kukosa uthamani na kufa kabisa, maana si wanawake wote watakaokubaliana na mawazo Kama hayo.

Glenn pale juu nilimaanisha hivi.
 
Ni kweli mkuu, na kwa bahati mbaya zaidi, hali hii pia inachangiwa na baadhi ya wanawake walio wengi pia
 
Ni kweli mkuu, na kwa bahati mbaya zaidi, hali hii pia inachangiwa na baadhi ya wanawake walio wengi pia
Wanawake tangu zamani wamekaririshwa kuwa ndoa ni kila kitu na ukiachika au usipoolewa ni aibu jamii inakushangaa.
Mwanamke kafundishwa uvumilivu no matter what usiachike, ukiachika hata Kama kosa ni la mwanaume atanyooshewa kidole mwanamke na kuambiwa mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe.

Wanawake wapo kwenye ndoa wanavumilia kila kitu, vipigo,matusi na mengine kibao. Wengine wamepata ulemavu lkn bado wapo tu. Mtu unapata stress za kufa mtu lkn ndo unashindwa kuondoka eti kisa umeolewa...watoto wangu itakuaje? Inasikitisha kwa kweli.
.
.
Binafsi naamini katika mapenzi, mahali nisipopendwa sikai hata nionekane vipi huwa sijali naondoka. Anayenipenda atabadilika kwaajili yangu...asipobadilika naondoka mchana kweupe na maisha yatasonga with or without him!
 
Maisha ya ndoa ni fahari kwa watoto wako kwa kuishi na baba na mama kuna watoto wamekatishwa haki na furaha zao kuishi na baba zao kisa vihasira na viwivu vya mwanamke na kusababisha mtoto kujihisa vibaya anapoona watoto wenzao wapo na baba zao na anabaki kuita baba madanga yenu ambayo kila kukicha una danga jipya, ntakomaa na my wife na wanangu mwanzo mwisho na siku zote ntajitahidi sana nisimkwaze kwa sababu zisizo na msingi.
 
Ufahari wa wana ndoa unaletwa na wanandoa wenyewe. Ni vizuri umeamua kukomaa na wife means unamthamini hata mbele ya watoto na jamii kwa ujumla.
Watoto hawawezi kuona ufahari kama mama yao au baba yao anadhalilishwa na mmoja wao, zaidi utawajenga kuwa wakatili na hata wao hawatathamini ndoa zao hapo baadae maana wameshuhudia ya kutisha kwa wazazi wao.

Kuna mtoto wa ndugu yangu ana miaka mitano Jana ananisimulia jinsi baba yake alivyomfukuza mama yake na panga. Imagine mtoto wa miaka mi5 imemkaa kichwani. Ufahari hapo uko wapi zaidi ya kumuharibu mtoto kisaikolojia?
Ndoa zenye ubabe wa kishamba ni majanga kwa watoto.
Ukikomaa na mke wako hata yeye atakomaa na wewe hayo madanga unayoyazungumzia hayatakuwepo.

Ni jukumu lako wewe baba/mama kuleta ufahari kwa watoto wako. Mfanye maujinga yenu hlf mseme ni ufahari kwa watoto haipo hivyo na haiwezi kuwa hivyo kamwe.
 
Back
Top Bottom