Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Yaani hapa iwe chansi ya kuelezea kwa kina dini yetu,tumuelezee nani!?..hujajibu hoja ya dhumuni la roman empire ya kipagani kuanzisha dini mbili zinazopingana na zinazopinga upagani
 
Ule ni uongo kama ilivyouongo mwingine. Quran imecopy baadhi ya vitu kwenye Bible, vingine wakabadili details zake wakachanganya na taratibu za Kiarabu, tayari Quran ikakamilika.
Hamna kitabu cha Mungu kinaitwa Biblia , Qur an imenyooka hamna ilichocopy ila imeshuka kama ilivyo
 
Yaani hapa iwe chansi ya kuelezea kwa kina dini yetu,tumuelezee nani!?..hujajibu hoja ya dhumuni la roman empire ya kipagani kuanzisha dini mbili zinazopingana na zinazopinga upagani
Hiyo ilikua Arab conquest walitumia dini kuwaaminisha Waarabu kwamba Mungu kamtuma Mtume Mohammad Bin Abdula Mutalib kwao ili iwe rahisi kuwatawala kumbuka hizo Jamii za hapo ziliabudu miungu Mingi na ziligawanyika likiwemo kabila la Quraish la mod mwenyewe na master Mind alikua Mwamba Nestorian Monk Bahira wa Bosra huyu ndiye aliye mpa Mod plan za kufanya Ili kufanikisha agenda maana
One Religion, one morals and dogmas, one society ....
you conquer all of em!
 
Aisha ni mtoto wa Abu bakri siddiq,abu bakri na mtume kiumri wametifautiana miaka miwili,huyo anko padre wa Aisha ni mjomba au baba mdogo?!
Aahaa siyo Ayesha ni Bi Khadija,
Causin wa Bi Khadija ndie aliyekua priest Yaani Waraqah ibn Nawfal
The Roman agent akiwa kwenye plan na mwenzake Nestorian Monk Bahira wa Bosra!
 
This strategy led to the creation of the Christian version of the legend of Bahira during the reign of Caliph al-Ma'mun (813–33). Based on it, two recensions, East Syrian and West Syrian, later developed.[24] Since "Bahira" in Syriac was not a proper name but a way of addressing or describing a monk, "Sergius" was added to the character's name.[25] Later, a reworked recension in Arabic with more references to the Qur'an emerged, followed by a hybrid recension consisting of the Arabic translation of the Syriac legend and the concluding part of the previous Arabic one.[26] Generally, the stories describe the Qur'an as not a book of divine revelation but merely a compilation of Bahira's teachings to Muhammad.[27][28
 
Hii hawalijui kabisa tena asante kwa kuwapa ilmu maridhawa!
😁
 
Kuna "Nabii" Buza kwa Lulenge yupo Times FM usiku kucha anafufua maiti kwa kutumia simu, ingawa sijaona matukio haya yakiripotiwa na chombo kingine chochote zaidi ya vipindi vyake😁.
Hiyo ndio chant za spiritual awakening yako,acha bangi ya cha Arusha.
 
Huna akili, halafu mnajifanya mnajua sana habari za Ukristo huku hamyajui maandiko yenu ya Kiarabu.
Marko (Mar) 9:41
Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.
Sisi ni watu wa Kristo kwakifupi ni Wakristo.
Watu wa Afrika wanaitwa Waafrika.
Kichwani ni Zero brain.
 
Yaani waislam wajenge misikiti kuelekea Yerusaleem hivi we jamaa hii historia umeipata wapi? Wakati tangu Zamani Ethiopia inajukllikana ni kama vile Ina dini inayoshahabiana na Uyahudi. Tangu malkia zao wa anciety Ethiopian. Labda ungesema hayo yalikuwa mahekaki ya dini za kiyahudu lakini siyo uislam. Ktk historia Wareno walitamani kwenda Ethiopia kwa ajili ya kuunganisha nguvu na mfalme wa Ethiopia kupigana na usioama wewe unasema Ethiopia ilikuwa na waislam na walijenga mahekalu kuelekea Jerusalem mji wa Daudi!
Hivi hii historia yako iko sawa kweli?
 
Biblia imeandikwa Kwa kipindi Cha miaka zaidi ya miaka 2,700-4,000 na mabara manne yametajwa kwenye biblia na vitabu vimepatikana mabara tofauti tofauti yote yakieleza kuhusu huyu Mungu mkuu.

Quran imekuja miaka 500 Baada ya Ukristo na imeandikwa ndani ya miaka 23 TU. Taarifa nyingi zimeibwa kutoka Imani tofauti tofauti na hata practices za uislam nyingi ni za kipagani (Nyota na Mwezi ilikua ya uturuki na miungu yao, Kaaba lile jiwe wapagani walikua wakiliabudu limeingizwa kwenye uislam. Mungu wenu hajawahi kuwajibu, haongei, haponyi, mahubiri yenu ni kuambizana kuhusu kifo, lakini nakuambia Leo Mungu wetu huzungumza kuhusu uhai wa milele. Hata Quran inakiri Yesu anauwezo wa kumpa mtu uhai, inakiri kua yeye ndie atarudi kuhukumu ulimwengu, inakiri hakuzaliwa Kwa mbegu za nwanaume lakini Bado mpo gizani tu.
 

Attachments

  • images (11).jpeg
    28.1 KB · Views: 4
  • images (8).jpeg
    39.8 KB · Views: 3
Ukristo umeanzishwa na paulo , maneno yake ndio anawaambia wagalatia , wakorintho sio maneno ya yesu .

Rudia kusoma vizuri kijana 😀 😀

Wakorintho 1:1
''Paulo, aliyeitwa kuwa mtume wa Yesu Kristo kwa mapenzi ya Mungu, na Sosthene ndugu yetu''

Hapo ni salamu ya paulo sio Yesu alikuwa kashaondoka
 
Tunaposema ilishuka ni maneno ndio Qur an sio kitabu yaani yale maneno alikuwa anaambiwa mtume , sio kitabu kwamba kilishuka 😀 😀

Qur an ni yale maneno sio makaratasi .
Ushahidi unasema mtume wenu alikua anaongea na makini na si Mungu, Torati mnayo, someni na mumjue Mungu mkuu na msome Quran yenu mtuambie kua ni mungu mmoja. Huyo ni shetani akijaribu kuondoa watu katika kumjua Kristo. Hata Edeni aliwadanganya binadamu Kwa maneno Yale Yale aliosemq Mungu mwanzo "Eti ni kweli Alisema mkila tundra haya mtakufa, mtakua kama yeye", lakini awali Mungu alishamfanya Mwanadamu Kwa mfano wake.

Qurani yenu inakuja na uongo, eti "Yesu hakufa, Bali mwanafunzi wake ndio aliuliwa wakidhania ni Yesu".
 
😀Unajitahidi sana mpakwa mafuta ila wapi , Alipewa ujumbe na malaika ....Mussa ndio alikuwa akribu zaidi ya Mungu sio Yesu
 
Kuna maeneo aliongozwa na roho, kumbuka Mungu hutumia watu. Kuna maeneo kwenye Biblia Paulo alishauri kama yeye na Kuna maeneo kama Sheria. Paulo hakuanzisha Ukristo, na Kwa ufupi Ukristo sio dini ni uhusiano na Mungu. Kutembea nae, kuishi nae na baada ya kifo kuishi nae Mbinguni
 
Njaaa kali ngurue sio haramu nimegundua Mudy alikuwa anatupangaa ili ale yeye peke ake tu
 
Baba mwajuma kama unadhani hakukuwahi kuwepo various different versions of the quran bac my brother you're ignorant.

Najua unamjua Zayd Ibn Thabit na najua unamjua Caliph Uthman, swali kwako sasa je, baba mwajuma hawa watu wawili walifanya nn kuhusu different versions of the Quran??(kama hujui tumia hata google)

Baba mwajuma, Usiseme tena quran ilikuwa haina different versions kwa sababu kitu alichofanya Caliph Uthman ni historic fact, sio mambo ya kutunga hata baadhi ya Islamic scholars wanakiri alichofanya ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…