Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Mkuu Waarabu waliokuja East Africa ni wa Oman, uisilamu wao unaitwa Ibadhi, kwa Tanzania waisilamu ambao ni Ibadhi haifiki hata 0.1%.

Waisilamu ambao wapo Tanzania asilimia kubwa ni Sunni, uisilamu ambao upo practiced worldwide.

Ukisoma Historia ya Tanzania wakati wa vita na wareno kabla ya Oman kuja kuwa piga wareno,waisilamu wa East Africa waliomba msaada Kwenye khilafa akatumwa kamanda kuwasaidia wakapigwa, huu ni ushahidi kwamba uisilamu ulikuwepo kabla ya Waarabu/wazungu kuja Pwani hii.

Hii Ramani ya Africa ikionesha connection ya East Africa na Mecca/Madina.

Mfalme Najash ambae alipokea waisilamu wakati wanauliwa Empire yake ya Aksum ilikuwa Eritrea/Ethiopia ya Leo,

Hii picha ya Msikiti wa Somalia ambao unaelekea Jerusalem, Kibla kilibadilishwa toka Jerusalem kwenda Mecca wakati bado mtume yupo hadi, Ushahidi kwamba kulikua na waisilamu ukanda wetu wakati mtume bado yupo Hai

 
Uislamu haukuletwa na waarabu wala mkloni nina hoja kama unabisha andaa uzi , waite hao wenzio wote
 
wakiristo
Kuna wanaoswali Jumamosi - wasabato
Jumapili - Wakatoliki
Juma tatu - Kanisa la Yohova.
waislam wao siku 1 ni ijumaa.
sasa nani kachanganyakiwa?
 
Uzuri wa uisilamu ni kuwa na misimamo tu hapo napenda sana, yaani muumini akiambiwa na kiongozi wake chinja ajiulizi wala kujioji.
Hizi ni propoganda za kimangaribi … zimeshakuingia …
Hakuna muislam anaemriwa kufanya hivyo..
Hizo video na matukio yanayofadhiliwa na mataifa ya magharibi yasikuchanganye ukajua ni uislamu..
Acha kuangalia mbaali angalia waislamu waliokuzunguka hapo je wanachinjana!?

Usiamini kila unachokiona kwenye mtandao mengine ni unalishwa na kuwa brain washed … ili uwe upande walioukusudia…
 
Usijidanganye, Mungu anaeishi na yeyote mwenye akili timamu analijua Hilo. Haukujiumba na wajua mwisho wa hekima Yako ndio mwanzo wa kumtafuta Mungu. Kheri ufungue akili walau hata utafakari mwezi huo nani kauweka hao ulipo
 
Vipi kuhusiana na sura zilizopotea, je zile ziko wapi??

Maana Aisha anasema zililiwa na Mbuzi sasa kwa hiyo ina maana kitabu hakijakamilika????
 
wakiristo wakiambia na PAPA wote wanafata- Muislam anafata Quran na Hadithi
 
Dini ni Duniani, lakini wewe hata ukijiuliza Leo haujui kama utaenda Mbinguni. Yesu asema, Mimi ndimi njia, uzima na uhai. Na Quran inakiri kua anauwezo wa kumpa ndege uhai. Imani yenu imekuja miaka 500 baada ya Kristo, Bado mnajiaminisha kua nyie ndio "dini" ya kweli. Ukristo ni uhusiano na Mungu hapa Duniani, nyie mnaishi Kwa Imani ya matendo kama wapagani/Bhudhism Kwa Imani kua Mungu atawapokea. Mnajidanganya,

Uislam ni giza, mtafute Yesu mapema
 
Kumbe utafiti wako ni mdogo unaonaje ukachimba, we hangaika tu ila ukweli utabaki pale pale
 
Ukiletwa na nani East africa!?
Kumbe wewe hujui ? Waaabu hakuleta dini ...Pia weka hili kweny akili watu wa zamani walikuwa wabishi kuliko kiazazi hichi sio rahisi kueneza tamaduni mpya ...Ukiachana na waliosoma elimu ya mzungu .

Kalete picha za watemi wote wa zamani then nikuonyeshe kitu ...Utajua hapo mwanzo Africa walikuwa wanafuata dini gani .
 

Islam ina historia ya ugaidi gaidi tangu muarabu abuni hiyo dini miaka 500 baada Kristo.
Mpaka leo ni ugaidi kwa kwenda mbele.
 
Usijidanganye, Mungu anaeishi na yeyote mwenye akili timamu analijua Hilo. Haukujiumba na wajua mwisho wa hekima Yako ndio mwanzo wa kumtafuta Mungu. Kheri ufungue akili walau hata utafakari mwezi huo nani kauweka hao ulipo
🤣🤣.. unawaza mbalamwezi ..
Huko mbali sana waza tu vitu vilivyokuzunguka …
Mfano we mwenyewe unawezaje kuwa hivyo ulivyo bila Uwepo wa. Mungu!!?

Na usije ukachanganya …

Dini .. ni tamaduni ya watu flani wanaotumia kuabudu ..

Mungu .. ni nguvu kubwa iliyoyafanya yote tuyaonayo na tusio yaona..
 
Sanaa Palimpsest mbona ina tofauti.
Hata wewe unaweza uka andika quran ikawa tofauti, haimaanishi OG haipo, Sanaa one carbon dating yake sio ya mwanzo kama ya Birmingham, so kama Quran ya mwanzo kabisa kuwa carbondated inafanana na ya leo huo ni ushahidi mzito zaidi kuliko Quran ya baadae yenye utofauti.
 
Asante.
Huo ni mfano mmoja mdogo sana sheikh, vipi unakumbuka yale maandamano kule Pemba yalianzia wapi na yalikuwaje?.
 
Nipo upande wa watunzi maana ni magreat thinker,
Hizo mbinu zao walizopanga ni bab kubwa kuwatawala vilaza!
😁😁
Kilaza ni wewe ambae haujawahi kuexperience Mungu. Sisi tunaenjoy sana kua watoto wa Mungu 😄, Mungu anasema nasi Kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…