Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ila wakristo wengi waliojaribu kuujua uislamu wameishiwa kuvutiwa nao embu cheki story ya huyu muigizaji wa nigeria amehamia jirani na msikiti hadi anataka kupeleka sadaka msikitini kwakuwa umebadilisha maisha yake
Uongo,

Mkristo Alie na uhusiano na Kristo hajawahi kurudi gizani, kujaribiwa atajaribiwa lakini si kurudi Kwa shetani.

Niambie kifungu Cha Quran mungu wako amekuambia anakupenda, au Aya inalipa wewe matumaini ya kuishi na mungu baada ya kufa. Aya ya kukuambia kua mungu anakujua wewe na anazungumza na wewe alafu ndio utaamini kua huyo ni mungu unamwabudu I mungu asie sikia na hayupo
 
As I said before, fuata huo huo Ukristo wako, vaa kama Yesu, swali kama Yesu, ishi kama Yesu utajikuta Automatic unakua muisilamu bila hata kusoma quran.

Tatizo la wakristo wengi wa sasa hamfuati Biblia na inachosema badala yake munaishi tu kimazoea.
 

Kwa mara ya kwanza ukristo uliingia maneo ya ethiopia karne ya 4 tena baada ya mfalme wao kuamua kuwa mkristo…
Baada ya hapo ulianza kusambaa taratibu hadi kufikia karne ya 18 . . Na kanisa la kwanza kusimikwa afrika mashariki ni 1840.. na liliwekwa na wamishenari wa kijerumani ambapo baadae ndio walikuja kuwa wakoloni wa eneo letu … sasa unakataa nini kama hakuleta mkoloni!?

Naona wewe unaamini sana dini kuliko Mungu..

Amini Mungu aliehai.. acha kuamini dini za kidunia hazina maana yoyote zaidi ya kuwa biashara za watu …
So amka …
SALI sana ila usiamini kuwa dini flani ndio ipo sahihi!!
 
Hii comment yako inaonesha huna lolote unalojua kuhusu Quran, kuna Aya sio moja wala 10 bali zaidi ya 100 zinazoelezea hicho unachosema hakipo baadhi ya mifano

Indeed, those who have said, "Our Lord is Allah " and then remained on a right course - the angels will descend upon them, [saying], "Do not fear and do not grieve but receive good tidings of Paradise, which you were promised.

We [angels] were your allies in worldly life and [are so] in the Hereafter. And you will have therein whatever your souls desire, and you will have therein whatever you request [or wish],

As accommodation from a [Lord who is] Forgiving and Merciful.


β€œ[Some] faces, that Day, will be radiant,

Looking at their Lord”

[al-Qiyaamah 75:22-23].


And we have certainly honored the children of Adam and carried them on the land and sea and provided for them of the good things and preferred them over much of what we have created, with [definite] preference. -(Qur’an 17:70)

Spend in the way of Allah and do not put yourselves into destruction, and do good. Of course, Allah loves those who do good.
 
Ndio maana nikakwambia porojo Soma vizuri maeneo aliyotembelea paulo kwanza ndio utajua
 

View: https://youtu.be/40DclW84HkM?si=QWEwu2sTcMnexYTF

View: https://youtu.be/E3f8f0Lj23A?si=AEuT43mI5OzzMmPY
 

Mpaka Mtume Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran.
Muhammad mwenyewe hajui Qur'an Γ­poje na unasura ngapi Kwa sababu hakuiandika na Wakati inaandikwa hakuwepo

Hakuna dini isiyo na chawa.
Wakristo NI Chawa wa Yesu.
Waislam NI Chawa wa Muhammad

Angalau kidΓ΄go Wayahudi
 

usinichoshe pambana kwanza na mzee wa upako ndio uje kwangu
 

Attachments

  • Screenshot_20240530-084924_Instagram.jpg
    230.2 KB · Views: 1
Hapa umeonesha namna ulivyo hujui kitu nini maana ya Qur an?. Yani bora hata unge kaa kimya
 
Ukiristo ulietwa na Paulo kARNE 19
Hahaha hii ndio maana nimeanzisha mada Ili nijue the way mlivyo vilaza aisee
Paul ndio mwanzilishi wa Ukristo?
Hivi umesoma history of first christian?
😁😁
 
Watu wako bize Yesu sio Mungu, Yesu sio Mwana wa Mungu.
Wako bize kusoma na kuipinga biblia
Yale ya kwao, wala hawana haja ya kuyajua!
 
Ngoja waamke kutoka kwenye bibaraza vya masjid al itikad
 
Upofu sio wa macho, bali ni nyoyo zilizopo kwenye vifua.
 
wakiristo
Kuna wanaoswali Jumamosi - wasabato
Jumapili - Wakatoliki
Juma tatu - Kanisa la Yohova.
waislam wao siku 1 ni ijumaa.
sasa nani kachanganyakiwa?
Dogo,
Usimthibitishe mtoa uzi kama wewe nawe ni miongoni mwa wenye ufahamu finyu.
Baada ya mfungo kuna wale wanao wahi kufungua na kuna wanao chelewa hapa Unataka kusema, mmechanganyikiwa pia?
 
Mi Naona kuna tatizo la lugha ya Kiarabu.
Wengi wanakaririshwa maneno tu lakini hawajui maana yake.

Ndio maana kukisomwa Aya flani wenyewe kwa wenyewe wanabishana hadi kila mtu anatoka na maana yake.

Hili ndilo tatizo kubwa kwao.
 
Naam, umeniita?

Tatizo nini?

Kwanza nakushauri fanya editing, kuna makosa mengi ya Kingereza.

Ukimaliza "editing" nambie tatizo lako nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…