Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Kipindi hicho Waarabu wa Hejazi walikuwa wanaabudu Masanamu yao bila kuchinjana ndipo Misahafu ya Kiaramaik ikapelekwa na kukopiwa na ritual nyingine kukopiwa kutoka kwenye Zoroastranism na kwenye Upagani.

Watu wakaanza kuchinjwa kwa kisingizio cha Jihaad ambayo inasumbua Dunia mpaka leo kwa umwagaji mkubwa wa Damu.

Na kupenda Damu 👇
View attachment 3038330
View attachment 3038335
Ibada hizi👆 ni za Kipagani.View attachment 3038340View attachment 3038343
Wanawachinja wenzao halafu wanasema Allaahu Akbar!!
Ni mazoezi ya kuchinja watu kwa jina la Allah.
Alaf utawasikia huu sio Uislamu.
Salman Rushdie alishaweka ushahidi wote na umeshindwa kujibiwa Hadi hii leo.
Majibu yake ni kumkamata na kumchinja tu.
 
Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.

Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,

Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.

Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.

Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)

Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,

Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!

Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!

Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!

Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger

#La gizani!
😁😁
Chai
 

Attachments

  • 1718457352462.jpg
    1718457352462.jpg
    145.7 KB · Views: 2
Kama una muda wa kuandika kwamba Quran haina different variations bila kufanya historic review bac utakuwa na muda wa kufatilia waliyotenda hao watu.

Plus, kama ungekuwa na interest ya kweli ya kujua, isingekuwa shida kwako kutafuta materials na kusoma, kama hutaki bac endelea hivohivo kuamini kwamba quran haijawahi kuwa na different versions.
Mimi tena nitafute? We si ndio unapinga hoja ulete ushahidi? Mimi nimeweka ushahidi wangu
1. Quran ya zamani kabisa ipo Birmingham hata sio museum ya waisilamu na inafanana 100% na Quran ya sasa, ni Quran ya karne ya 7

2. Waisilamu tu nasoma Quran kwa kuihifadhi, mambo ya tech za mawasiliano yameanza karibuni ila waisilamu wa Indonesia, Africa, Middle East etc hawakuwa wakionana mara kwa mara kungekua na version tofauti basi walichohifadhi waisilamu duniani kingetofautiana, leo mtafute mtu kijijini Indonesia mtafute mwengine kijijini TANZANIa waambie wa some sura moja watasoma Sura ile ile.

Wewe unaesema kuna version tofauti za Quran zilete hapa tuambie Aya gani ama sura Gani zinatofautiana so far unaimba tu taarabu na kukwepa kuleta huo ushahidi.
 
Dini zote zimeletwa Ili utawalike , maana dini zote Zina vifungo tu kama Mila na desturi
 
Tatizo lako hutegi sikio la kuelewa bali unatega sikio la ukishajibiwa ujibu nini!

Na ndiyo maana watu wengineo hawakujibu. Wanakuacha uandike kwa nafsi yako mpaka itakapo kinai.

Jawabu la swali lako ni kwamba
Suratul Fatiha ni sura imebeba mambo mawili.

Mosi imebeba mja kumuitakidi anaye kwamba yeye ni mja wa Allah na ndiye anaye muabudu tu.

Pili, imebeba maombi kwa mja ya kwamba baada ya mimi kukuabudu wewe basi maombi yangu niongoe.

Nidyo maana mwanzo wa fatiha mja anasema:

-Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu.

-Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola mlezi wa viumbe wote.

- Mwingi wa rehema mwenye kurehemu.

-Mwenye kumiliki siku ya Malipo.

-Wewe tu tunakuabudu, na wewe tu tunakuomba msaada.

Baada ya hapo aya zinazofuata ni za kumuomba huyo anayemuabudu na anayemuomba msaada. Hivyo mja anamuomba Mungu wake kwa kuwa dunia imejaa mitihani na yeye binadamu amekuja kutahiniwa hapa duniani. Hivyo!

-Tuongoze njia iliyonyooka.

-Njia ya uliyowaneemesha, siyo ya waliyokasirikiwa wala waliyopotea.
Kwa maneno yako kumbe sura ya Fatiha ni sala ya Mtume Muhammadi.
Au sio
 
Dini zililetwa na watu ila Wokovu ni kwa mmoja tu Yesu Kristo wa Nazareth!
Sura yako halisi sasa imeonekana. Mara ya kwanza ulikuja kama Atheist. Lakini kwa sasa umeshindwa kujificha.

Mbali na hilo swali langu hujalijibu kiongozi.

Umesema unaujua uislam. Nikakuuliza nini maana ya Kashfi?

Hujajibu mpaka sasa! Tatizo ni nini?
 
Naunga mkono hii mada,maislamu Yana upeo mdogo sana kwenye kuelewa mambo ya kiroho
Kweli mkuu nawashangaa utakuta wanafanya ibada kwa siku mara 5 lakini wakipata changamoto ya kiafya au tatizo lolote lile utakuta wanaenda kwa waganga. Tofauti na waumini wa wakristo.
 
Swali langu hujalijibu kiongozi.

Umesema unaujua uislam. Nikakuuliza nini maana ya Kashfi?

Hujajibu mpaka sasa! Tatizo ni nini?
Nilishajibu hukuona au
Kashfi ni Safi yaani too clear!
Una lingine?
😁😁
 
Sura yako halisi sasa imeonekana. Mara ya kwanza ulikuja kama Atheist. Lakini kwa sasa umeshindwa kujificha.

Mbali na hilo swali langu hujalijibu kiongozi.

Umesema unaujua uislam. Nikakuuliza nini maana ya Kashfi?

Hujajibu mpaka sasa! Tatizo ni nini?
Hua sisomeki mkuu nikiwa vitani hua nachagua upande wenye manufaa jichanganye
Uliwe kichwa!
I choose the right position to stand during battle ukinikalili utaumia!
😁
 
Kwani ni nini maana ya wahyi (ufunuo)?
Mtume wako anapofunuliwa huwa panasemwa
"Sema"
Au
"imefunuliwa kwangu"
Hapo tunajua hayo ni maneno ya Mtume.

Sasa mnatofautishaje maneno ya Allah na Muhamadi kwenye Qurani yenu ?

قُلْ مَا كُنتُ بِدْعًا مِّنَ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ ۖ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰ إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ

[ AL - AH'QAAF - 9 ]
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

قُلْ أُوحِيَ إِلَيَّ أَنَّهُ اسْتَمَعَ نَفَرٌ مِّنَ الْجِنِّ فَقَالُوا إِنَّا سَمِعْنَا قُرْآنًا عَجَبًا

(AL - JINN - 1)
Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
 
Nilishajibu hukuona au
Kashfi ni Safi yaani too clear!
Una lingine?
😁😁
Tatizo lako una Google! Na hilo ndiyo tatizo. Halafu unakuja hapa unasema unaujua uislam?

Hahahah!

Usiniletee tafsiri ya kilugha ya kiarabu, niletee tafsiri ya kiistilahi ya Kiislam.

Maadamu unaujua uislam hili halito kushinda. Nini maana ya Kashfi kwa tafsiri ya kiistilahi ya kiislam?
 
Kama unaona wapo wataje!
Hawapo, ni Muhammad Pekee ndiye anasema Mungu hana mwana.
Akina Yahaya, Musa, suleiman, isaya Daniel etc wanasema Mungu ana Mwana. Na mungu mwenyewe anasema ana Mwana na Yesu mwenyewe anasema Mungu ni baba yake.. Sasa why Muhammad nabii asiyekuwana na bloodline ya wayahudi adai kinyume?.
Muhammad anadai hivyo ni kwasababu hakutumwa na Mungu na Quran ni shahidi kuwa Muhammad hakutumwa na Mungu bali kuna watu ama viumbe walimtuma Muhammad na mungu akaangali tu.
Soma:-
مَّا أَصَابَكَ مِنْ حَسَنَةٍ فَمِنَ اللَّهِ ۖ وَمَا أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٍ فَمِن نَّفْسِكَ ۚ وَأَرْسَلْنَاكَ لِلنَّاسِ رَسُولًا ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا

[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. NASI TUMEKUTUMA kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
MUNGU YEYE ALIANGALIA TU MUHAMMAD AKITUMWA KUWA MTUME.. SO ITOSHE KUSEMA MUHAMMAD SI MTUME WA UTUMWA NA MUNGU BALI WATU.
 
Back
Top Bottom